| Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe akiupongeza uongozi wa Vodacom wakati wa hafla ya kukabidhiwa leseni ya masafa ya 700MHz, iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Vodacom ilibuka mshindi wa mnada wa masafa ya Mawasiliano uliofanywa na TCRA hivi Karibuni. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi, Kaimu Mkurugenzi wa kitengo cha Sheria Olaf Momburi na Mkuu wa kitengo cha Udhibiti (Head of Regulatory Affairs) wa Vodacom Tanzania Plc Ngayama Matongo. |
No comments:
Post a Comment