Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 31 July 2018

NMB BANK EXPANDS FOREX SERVICES

Business people can now undertake cash transactions of three East African currencies at the borders securely and hassle-free after NMB Bank introduced new three regional currencies in its foreign exchange trade.

A Senior Foreign Exchange Trader at the NMB Bank Treasury and Global Market Department, Mr. Jeremiah Lyimo said in Dar es Salaam over the weekend that the initiative aims at facilitating smooth flow of businesses in the region.

“Conversions of three East African currencies to facilitate exports and imports have been formalised through the NMB branches located at all border posts,” he said mentioning the currencies as Rwandan franc, Kenyan, and Ugandan shillings.

He said the bank increased the number of currencies traded in the region to capitalise on the vacuum left by the bureau de change closed after failing to abide with the Bank of Tanzania (BoT) tough conditions.

He said the increased flow of businesses in the region is the major reason for the move to add the number of currencies traded, also the source of income for the bank through fees and commissions.

He said the bank work very closely to the customers to ensure clear, right and timely market information on foreign exchange trading are provided in order to avoid risks of falling into losses.

BENKI YA KCB YADHAMINI LIGI KUU YA SOKA TANZANIA BARA

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania, Cosmas Kimario akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 420 kwaajili ya udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia (kulia) na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya KCB Bi. Fatma Chillo pamoja na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi hiyo Boniface Wambura.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania, Cosmas Kimario (wapili kulia) na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Wallace Karia wakisaini Mkataba wa makubaliano ya Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania wenye thamani ya shilingi milioni 420 zilizotolewa na benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi hiyo Boniface Wambura pamoja na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya KCB Bi. Fatma Chillo. 
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania Wallace Karia (katikati), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya makubaliano ya Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania wenye thamani ya shilingi milioni 420 zilizotolewa na benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB Cosmas Kimario na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi hiyo Boniface Wambura. 
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania, Cosmas Kimario (kulia), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya makubaliano ya Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania wenye thamani ya shilingi milioni 420 zilizotolewa na benki hiyo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi hiyo Boniface Wambura.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa benki ya KCB Tanzania Christina Manyenye akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB Bw. Cosmas Kimario na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya KCB Bi. Fatma Chillo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Bw. Wallace Karia, wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa KCB Bank na TFF.
Dar es Salaam, 30 Julai 2018 - KCB Bank Tanzania imengia mkataba na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kudhamini Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (VPL) kwa msimu wa mwaka 2018/2019. Mkataba huo wenye thamani ya shilingi za Kitanzania 420,000,000 ulitiwa saini leo na Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Bank, Nd. Cosmas Kimario na Rais wa TFF Nd. Wallace Karia katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

KCB Bank Tanzania imeongeza thamani ya udhamini wake kwenda ligi hiyo kutoka kiasi cha shilingi za Kitanzania 325,000,000 msimu wa 2017/18 mpaka shilingi 420,000,000 msimu wa 2018/19 ongezeko la ziadi ya milioni 90,000,000, ongezeko linaloashiria dhamira ya benki hiyo kutaka kunyanyua vipaji na kuendeleza ushindani katika mpira wa miguu nchini Tanzania.


WAFANYAKAZI WA AIRTEL WASHIRIKI BONANZA KUJENGA AFYA

Wafanyakazi wa Airtel kitengo cha huduma kwa wateja wakishangilia na Kombe lao mara baada ya kushinda nafasi ya kwanza kwenye bonanza la Airtel Familia lilifanyika mwishoni mwa wiki hii. Airtel imefanya bonanza hilo la lawafanyakazi ambapo wasichana toka vitengo mbalimbali ndani ya kampuni hiyo walishindani kupiga penati ambapo kitengo cha huduma kwa wateja waliibuka washindi kwa penati 6-5 dhidi ya kitengo cha Mipango na fedha cha Airtel.
Mchezaji wa Kitengo cha Fedha cha Airtel Bi Foibe Simon akipiga penati dhidi ya kitengo cha huduma kwa wateja wakati wa Bonanza la Familia ya wafanyakazi wa Airtel lililofanyika kwa lengo la kujenga afya na kuhamasisha wafanyakazi wa Airtel kuendelea kutoa huduma bora zaidi kwa wateja wake.
Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Bw, Isack Nchunda akikabidhi zawadi ya kombe la mshindi wa pili kwa Nahodha wa timu ya kitengo cha Fedha na Mipango cha Airtel Bi Foibe Saimon mara baada ya kumalizika kwa bonanza la wafanyakazi wa Airtel lililofanyika mwishoni mwa wiki kwa lengo la kujenga afya na kuhamasisha wafanyakazi wa Airtel kuendelea kutoa huduma bora zaidi kwa wateja wake.
Meneja Rasilimali watu Pamela Mwandetele akijiandaa kupiga penati wakati wa bonanza Bonanza la wafanyakazi wa Airtel lililofanyika mwishoni mwa wiki kwa lengo la kujenga afya na kuhamasisha wafanyakazi wa Airtel kuendelea kutoa huduma bora zaidi kwa wateja wake.
Kushoto ni kocha wa timu ya kitengo cha fedha cha Airtel bw Sylivester Nsabi (Gadiola) na Nahodha wa timu hiyo Bi Foibe Saimon wakipokea kombe la ushindi wa pili toka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Bw, Isack Nchunda wapilitoka kushoto akiwa na Mkurugenzi wa kitengo cha Fedha Bw Nishant Mohan. Bonanza la wafanyakazi wa Airtel lililofanyika mwishoni mwa wiki kwa lengo la kujenga afya na kuhamasisha wafanyakazi wa Airtel kuendelea kutoa huduma bora zaidi kwa wateja wake.

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayoongoza kwa kutoa huduma bora za Smartphone kupitia kitengo chake cha rasilimali watu wameandaa bonanza la michezo lililowashirikisha wafanyakazi wake wote kwa lengo la kujenga afya za wafanyakazi hao pamoja na kuongeza ushirikiano eneo la kazi.

Akiongea mara baada ya tamasha hilo kuisha Mkuu wa kitengo cha Rasilimali Watu alisema “Airtel tunatambua jitihada za serikali zinazosisitiza kuboresha na kuweka mzingira rafiki sehemu za kazi, pia Airtel tunafahamu sana umuhimu wa michezo na mazoezi kwa afya za wafanyakazi wetu, Hivyo ndio maana tumeona ni vyema kukutana kwa michezo kama hivi ili kuwasaidia wafanyakazi kurelax na kubadilishana mawazo wakiwa katika mazingira tofauti”

Katika Bonaza hilo la muziki na mchezo wafanyakazi wengi walifurahia zaidi mchezo wa kupigiana penati ambao washiriki walikuwa ni wasichana wote kwa mgawanyo wa vitengo vyao vya kazi kikiwemo kitengo cha ofisi ya Mkurugenzi mkuu kinachoundwa na rasilimali watu na udhibiti huduma, kitengo cha masoko, huduma kwa wateja, kitengo cha mauzo, ununuzi na ugavi, pamoja na kitengo fedha na mipango.


STANBIC BANK LAUNCHES 'MORE THAN A BANK' CAMPAIGN



Driver of inclusive economic growth in Tanzania

Stanbic Bank Tanzania unveiled its brand campaign dubbed ‘More than a Bank’, distinguishing itself as a financial institution that impacts individuals and business owners by providing the financial tools that empower and help them grow; making a positive and lasting difference in the lives of Tanzanians and society at large.

“The aim of the ‘More than a Bank’ campaign is to bring to the fore our role in moving lives and communities forward. “very often when people think of a bank, they only see the physical transaction of cash. However, they do not relate the transaction to what happens after the client walks away with their cash.” Said Desideria Mwegelo, Stanbic Bank’s Head of Marketing and Communications

“At Stanbic Bank, we think of the before and after, we realise that everything we do, sets something in motion for the client, that our actions have consequences for the client and that’s why it’s important for us to put the client at the centre of everything we do.” She added.

When we partner in bringing power to a community for example, we are indirectly enabling industrialisation, education and all the associated benefits that come with having electricity.

Similarly, through its home loans, individuals are empowered to own homes that provide lasting memories for families.


BALOZI MPYA WA KENYA NCHINI MHE. DAN KAZUNGU AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Kenya hapa nchini Dan Kazungu Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo Balozi mteule wa Kenya hapa nchini Dan Kazungu mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Picha kutoka kwa Balozi mteule wa Kenya hapa nchini Dan Kazungu. Zawadi hiyo ya picha imetoka kwa Mama mzazi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Mama Ngina Kenyatta na katika picha hiyo anaonekana Rais Dkt. Magufuli akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Mama Ngina Kenya walipokuwa Nairobi nchini Kenya.

CURRENT VACANCIES AT THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK



PRUDENTIAL CAPITAL MARKET UPDATE AS AT 31 JULY 2018

Friday, 27 July 2018

MANJI LOSES 13BN/- TIGO SHARES CASE

The Golden Globe International Services Limited allegedly owned by prominent businessman, Yusuf Manji has lost all the 34,479 shares, worth 13bn/,  purchased in Mic Tanzania Limited, trading as Tigo.

Such shocking news come after the Court of Appeal yesterday nullified the sale deal of the shares, made in 2014, in the execution of a court’s decree in favor of a British national, James Alan Russell Bell, who by then is claimed to have been an employee of the mobile phone service provider.

Justices Stella Mugasha, Rehema Mkuye, and Jacobs Mwambegele ruled in favor of Millicom (Tanzania) NV after holding that the complaints the latter company raised in a letter to the Chief Justice on the controversial sale of the shares were merited. “We thus hold that the execution process was flawed with material irregularities, which rendered the purported sale of the shares a nullity.

For that reason, we set aside the purported sale and order the purchaser to be refunded the purchased price by whoever is holding the money,” they ruled. The justices further ordered when determining an application for revision opened by the court suo motu (own motion) that “the legally sold 34,479 shares be restored to the applicant (Millicom Tanzania NV) forthwith.

It is so ordered.” Apart from the British national, other respondents into such revision proceedings were Golden Globe International Services Limited, Quality Group Limited, Mic UFA Limited, Millicom International Cellular SA and Mic Tanzania Limited.

Advocates, who were representing the parties into the dispute, were Eric Ng’mario, Fayaz Bhojan, and Gaudiosus Ishengoma, for Millicom NV, while Mpaya Kamara and Joseph Ndazi, learned advocates appeared for Golden Globe International Services Limited.

BARCLAYS BANK PLAYS AN ENABLING ROLE IN THE LIVES OF WOMEN WITH DISABILITIES IN TANZANIA

National Assembly Deputy Speaker Dr Tulia Ackson presents a certificate of appreciation to Barclays Bank Tanzania Head of Marketing and Corporate Relations, Aron Luhanga (left), for the banks 15 million donation to facilitate the high level forum on the rights of women and girls with disabilities and gender based violence held in Dodoma recently.
21 July, 2018, Dodoma – Women with disabilities empowered through a two day capacity building training.

Barclays has donated TZS 15 Millionto support a three day capacity building training for women living with disabilities and gender imbalance. The training is also aimed to increase awareness to Local Government Authority and private sectors on gender imbalance as well as promote a conducive strategy for women living with disabilities on Maternal Health and Socio-economic development activities and gender equality.

Speaking during the announcement, the Barclays Head of Marketing and Corporate Relations said “Barclays believes in equal opportunity for everyone and hence this donation continues to cement our commitment to making a positive impact in the society in which we serve by advocating change”.

The funds were channelled to Ikupa Trust Fund, which is a Tanzanian Registered Trustee, supporting people with disabilities country wide to fulfil their potential and live the lives they choose.

PRUDENTIAL CAPITAL MARKET UPDATE AS AT 27 JULY 2018

Thursday, 26 July 2018

STANBIC BANK - RAISING THE ROOF IN HOME FINANCING


According to the TMRC report on mortgage financing released earlier this year, the Tanzanian housing sector’s fast-growing demand is mainly driven by the strong and sustained economic growth with gross domestic product growth averaging 6-7 percent over the past decade and the fast-growing Tanzanian population which is estimated to be 55 million and is expected to more than double by 2050.

Stanbic Bank's Bernard Mfugale, Home Loans Manager said in a recent interview, "Individuals should not have to realize their dreams of home ownership at retirement. Stanbic Bank wants to empower these dreams by making them a reality for families; owning a home is a basic need although it remains a challenge for many for several years.”

Additionally, Stanbic also makes sure that all the houses obtained through loans are secured by a comprehensive home insurance from reputable insurance companies but also further ensure that the owners have a life insurance to guarantee that the heirs will still have shelter even after a misfortune such as death or permanent disability.

KCB BANK SETS ASIDE 110BN/- FOR SMES

KCB Bank Managing Director, Mr. Cosmas Kimario.
KCB Bank Tanzania has encouraged Small and Medium Enterprises (SMEs) to present business development ideas to access over 110bn/-set aside to improve their businesses this year.

The Bank’s Managing Director, Mr. Cosmas Kimario said in Dar es Salaam yesterday during the Biashara Club Workshop that, the bank was ready to increase the amount as long as the presented ideas are constructive ones.

He cited the cotton farmers in the Lake Zone and fruits processors in the Coast Region as examples of SMEs who have already benefited with the fund that offers soft loans; though he wasn’t able to expose how much has been spent so far.

“We are intended to improve small and medium enterprises’ businesses whose majorities are farmers,” Kimario said. Tanzania is now on transitional period to an industrial economy, the step that needs collaborative efforts from various stakeholders.

As a financial institution, Mr. Kimario said, “we do play our part through among others, offering soft loans to these farmers with regard that industrialization depends much on farm outputs as raw materials to feed the industries.”

UBA KENYA LAUNCHES FACEBOOK BANKING

UBA Kenya branch in Nairobi. The lender has unveiled an interactive chat banker that enables customers to make use of their social media accounts to carry out transactions.
UBA Kenya, part of Lagos-based banking multinational UBA Group, has unveiled an interactive chat banker that enables customers to make use of their social media accounts to carry out transactions.

Christened ‘Leo,’ the virtual chat banker will ride on artificial intelligence to help Facebook users to open UBA bank accounts, request for mini statements, top up airtime, transfer money as well as log and track complaints.

Speaking at the lunch in Nairobi on Wednesday, UBA East and Southern Africa executive director Emeke Iweriebor said the bank wants to bring banking services to apps where consumers spend most of the time.

“We have realised that consumers spend 80 per cent of their time in three apps: Facebook, WhatsApp and YouTube. So we have decided to follow them where they are,” he said.

CHINA'S XI OPENS BRICS SUMMIT IN SOUTH AFRICA

China's President Xi Jinping addresses a Business Forum during the 10th BRICS (acronym for the grouping of the world's leading emerging economies, namely Brazil, Russia, India, China and South Africa) summit on July 25, 2018 at the Sandton Convention Centre in Johannesburg, South Africa.
China's President Xi Jinping Wednesday opened BRICS summit of emerging economies in South Africa's main city, Johannesburg, with a warning that the world is facing a choice between cooperation or confrontation.

In a speech aimed largely at the Trump administration in the US, President Xi said there could be no winner in any trade war.

He believed the countries taking part in the summit - China, Russia, India, Brazil and South Africa - should be resolute against closed-door protectionism.

A unified voice

The BRICS group comprises more than 40 per cent of the global population.

Analysts say its members have struggled to find a unified voice, but their common opposition to US trade policy could help to galvanise them.

INDIA TO OPEN 18 EMBASSIES IN AFRICA

Indian Prime Minister Narendra Modi gestures as he addresses Bharatiya Janata Party (BJP) supporters on the occasion of the 43rd anniversary of the imposition of "the Emergency" period in Mumbai on June 26, 2018.
India will open 18 new embassies across Africa, Prime Minister Narendra Modi told Uganda's parliament on Wednesday during a charm-offensive tour of the continent.

Rounding off a two-day visit to Kampala, Modi also announced the donation of a badly-needed cancer therapy machine and loans worth $200 million (171 million euros) for infrastructure and environmental projects.

India, the world's most populous democracy, is vying for influence in Africa with its regional competitor China which has aggressively developed trade, financial and diplomatic ties on the continent.

India currently has 29 full diplomatic missions in Africa, according to Delhi, compared to China which has 50.

It hopes to open its new missions within three years, according to an Indian official who did not confirm which countries would receive envoys.

BRITAM TOWER, TALLEST BUILDING IN EAST AND CENTRAL AFRICA OPENS FOR BUSINESS


Britam Tower, the tallest building in East and Central Africa has finally opened for business. Dr Benson Wairegi, the group managing director of Britam Holdings, confirmed the reports and said that Britam Tower was ready for leasing.

The new building which is located in Nairobi; Kenya has 31 storeys and an exterior 15-storey silo for parking.

“Britam tower which is now ready for leasing has eight high-speed lifts to travel from ground floor to the top floor in less than 30 seconds, it is the third tallest building in Sub-Saharan Africa,” Dr. Wairegi said.

Also Read: Construction work start on Africa’s tallest building in Kenya

He added that no other building in Nairobi gives its occupants a “stress-relieving” chance to see Mt Kenya, the Nairobi National Park, Wilson Airport, and Nairobi CBD among other scenic views in one enclosure.
Office space in new buildings

However, Nairobi’s real estate industry is currently experiencing a surplus in office space; it will be a wait-and-see matter on whether all the 303,242 square feet that are available at the Britam Tower with a parking capacity of 1,002 cars will be taken up.

VODACOM TANZANIA YAKABIDHIWA LESENI YA MASAFA YA 700MHz NA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) BAADA YA KUIBUKA MSHINDI WA MNADA WA MASAFA YA MAWASILIANO ULIOFANYIKA JUNI MWAKA HUU

Mkurugenzi, Mambo ya Watumiaji na Viwanda (DCIA) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Raynold Mfungahema (kushoto) akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi wakati wa hafla ya kukabidhiwa leseni ya Masafa ya Mawasiliano katika bendi ya 700MHz iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya Vodacom kuibuka mshindi katika mnada ulioendeshwa na TCRA. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakiwa kwenye hafla ya kampuni hiyo kukabidhiwa leseni ya Masafa ya Mawasiliano katika bendi ya 700MHz iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya Vodacom kuibuka mshindi katika mnada ulioendeshwa na TCRA hivi karibuni. Hafla hiyo imefanyika Makao makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi James Kilaba akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc Hisham Hendi, leseni ya Masafa ya 700MHz, iliyotolewa na Mamlaka hiyo kwa kampuni ya Vodacom baada ya kuibuka mshindi katika mnada ulioendeshwa na TCRA mwezi Juni mwaka huu. Hafla hiyo imefanyika jijiji Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria wa Vodacom Tanzania Plc, Olaf Momburi na Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti (Head of Regulatory Affairs) wa Kampuni hiyo Ngayama Matongo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Hisham Hendi, akiongea wakati wa hafla ya kukabidhiwa leseni ya masafa ya 700MHz, iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kampuni hiyo baada ya kuibuka mshindi katika Mnada uliondeshwa na TCRA mwezi Juni mwaka huu. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe akiupongeza uongozi wa Vodacom wakati wa hafla ya kukabidhiwa leseni ya masafa ya 700MHz, iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Vodacom ilibuka mshindi wa mnada wa masafa ya Mawasiliano uliofanywa na TCRA hivi Karibuni. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi, Kaimu Mkurugenzi wa kitengo cha Sheria Olaf Momburi na Mkuu wa kitengo cha Udhibiti (Head of Regulatory Affairs) wa Vodacom Tanzania Plc Ngayama Matongo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe (kushoto) akimpongeza kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi wakati wa hafla ya kukabidhiwa leseni ya Masafa ya 700MHz, na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, Vodacom ilibuka mshindi wa mnada wa masafa ya Mawasiliano uliofanywa na TCRA hivi Karibuni.

Wednesday, 25 July 2018

AIR TANZANIA IN-FLIGHT MAGAZINE EXPRESSION OF INTEREST

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA MKURUGENZI WA WFP NCHINI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Bw. David M. Baesley atafanya ziara ya kikazi nchini kuanzia tarehe 25 Julai 2018 hadi tarehe 03 Agosti 2018. Ziara hiyo pamoja na mambo mengine inalenga kuimarisha mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na WFP.

Wakati wa ziara hiyo nchini, Bw. Baesley ataonana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa kitaifa kwa lengo la kujadiliana nao kuhusu maeneo ya ushirikiano kati ya WFP na wakulima wadogo kupitia mpango wa “Social Protection Programmes”; Mfumo wa Serikali wa Usalama wa Chakula; na masuala ya Wakimbizi na Jamii zinazozunguka hifadhi za wakimbizi pamoja na njia za kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili.

Bw. Baesley anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 25 Julai, 2018 kwa ajili ya kuanza ziara hiyo.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dodoma.
24 Julai 2018

CAREER OPPORTUNITIES AT AFRICAN EXPORT-IMPORT BANK



PRUDENTIAL CAPITAL MARKET UPDATE AS AT 25 JULY 2018

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA GAWIO LA SERIKALI LA SHILINGI BILIONI 1.2 KUTOKA NHC

Rais Dk. John Pombe Magufuli na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango wakipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi bilioni 1.2 kwa Serikali kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Julai 23, 2018. 
Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa taasisi mbalimbali za umma 47 bambazo zilifika kuwasilisha hundi zao za gawio kwa Serikali ikiwa ni faida waliyoipata kutokana na biashara na ama kuchangia kwa mwaka wa fedha 2017/18.

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI PAMOJA NA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YEON WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JULAI 23, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon wakati wakielekea katika ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo Ikulu kwa ajili ya kushuhudia tukio la Utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Aga Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon wakishuhudia tukio la utiaji saini Mkataba wa mradi wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Aga Khan hadi maeneo ya Coco beach jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon watatu kutoka (kushoto) pamoja na viongozi wengine wa Jamhuri ya Korea, Serikali ya Tanzania, Wabunge, Wakuu wa Wilaya pamoja na viongozi wa Mkoa.
Bofya hapa kwa picha zaidi

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAASISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA. JULAI 23, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekliti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Profesa Rutasitara akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Bw. Hamza Johari katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Balozi Ben Moses akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa TFDA Bi. Agnes Kijo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Shirika la Viwango (TBS) Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko akiwa na Mkuruigenzi wa TBS Profesa Egird Mubofu katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari Profesa Ignas Rubaratuka aliye pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Mhandisi Deusdedit Kakoko katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Julai 23, 2018.
Bofya hapa kwa picha zaidi