| Rais Dk. John Pombe Magufuli na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango wakipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi bilioni 1.2 kwa Serikali kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Julai 23, 2018. |
No comments:
Post a Comment