Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Thursday, 22 June 2017

TANAPA NA TBC YATILIANA SAINI KUANZISHA CHANELI MAALUM YA UTALII NCHINI

Wakuu hao wa mashirika wakitiliana saini mikataba hiyo mapema jana nchini
Wakuu hao wakionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani baada ya kumalizika kwa utilianaji wa saini mikataba hiyo mapema jana nchini.

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwa pamoja leo wamesaini makubaliano ya kuanzishwa kwa Chaneli maalum ya Utalii itakayohusika na kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini kwa soko la ndani na nje ya nchi.
Makubaliano hayo yametiwa saini na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TTB Devota Mdachi, Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dk. Ayub Rioba na Kaimu Mhifadhi wa NCAA Asangye Bangu.
TANAPA

No comments:

Post a Comment