| Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kibaha, Asia Chambega (wa tatu kushoto) akikabidhi pikipiki kwa mmoja wawakilishi wa Chama cha Albino (TAS) Mkoa wa Pwani, Haika Ngowo, katika hafla ambayo NBC ilikabidhi pikipiki tatu, kofia, miwani na mafuta ya ngozi ikiwa ni sehemu ya jitihada za benki hiyo katika kuisaidia jamii. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Kibaha, Pwani hivi karibuni. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Masoko wa NBC, Alina Maria Kimaryo na Mwenyekiti wa TAS Mkoa wa Pwani, Thomas Diwani. |
No comments:
Post a Comment