Nehemiah Kyando Mchechu akionyesha jarida la BuildMart ambalo nalo lilizinduliwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam. |
Nehemiah Kyando Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya Uturuki kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam. |
Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya China kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam. |
Maafisa watendaji wa Sirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam. |
Nehemiah Kyando Mchechu akitembelea banda la maonyesho la NHC kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam. |