| Balozi wa Marekani nchini, mhe. Childress akichangia mada kuhusu mabadiliko ya kiuchumi Tanzania wakati wa Kongamano la Diaspora. |
| Bw. Miles nae akichangia wakati wa mjadala kuhusu mabadiliko ya kiuchumi nchini Tanzania na namna ya kuwashirikisha wafanyabiashara wadogo na wakati katika maendeleo ya nchi. |
| Balozi Mulamula akizungumza wakati wa mjadala huo. |
| Balozi wa China nchini, Mhe. Lu Youqing akiwasilisha mada kuhusu Mapinduzi ya Viwanda nchini na wajibu wa Diaspora katika ukuaji wa SME's. |
| Balozi Lu akiwasilisha mada yake. |
| Washiriki wakifuatilia mada kutoka kwa Balozi wa China. |
| Mada zikitolewa. |
| Maafisa Mambo ya Nje wakijadili jambo. |
| Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Rosemary Jairo akizungumza wakati wa kongamano hilo. |
| Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati wa kongamano hilo. |
| Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati wa kongamano hilo. |
| Washiriki wa kongamano. |
No comments:
Post a Comment