| Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu kampuni yake kutimiza mwaka mmoja tangu iingie katika soko la hisa (IPO) ambapo Swala iliingiza jumla ya hisa za kawaida 9,600,000, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa ARCH Financial $ Investment Advisory Limited, Iyen Nsemwa. |
No comments:
Post a Comment