| Nyumba za makazi za NHC Eco Residence zinavyoonekana hivi sasa. Nyumba hizo za makazi (units) 118 za mradi ujulikanao kama Eco Residence, uliopo katika eneo tulivu la Hananasif – Kinondoni, Dar es Salaam ni za gharama ya kati na juu zipo Kilomita 6 kutoka katikati ya jiji la Dar es salaam, zikiwa karibu kabisa na maeneo ya Oysterbay, Upanga na Masaki. |
No comments:
Post a Comment