Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 26 May 2015

MIAKA KUMI NA MOJA YA JARIDA LA BANG!

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment, Emelda Mwamanga akionyesha Jarida la Bang! toleo la 55 ambalo limeadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa jarida hilo.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment, Emelda Mwamanga akipozi kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kuongea na wanahabari kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa Jarida la Bang!.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment, Emelda Mwamanga akiongea na wanahabari wakati wa kuadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa Jarida la Bang!.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment, Emelda Mwamanga akimlisha keki Mkurugenzi wa Fullshangwe Blog , John Bukuku kwa niaba ya wanahabari waliohudhuria sherehe ya maadhimisho ya miaka 11 ya toleo la Jarida la Bang!. 
Keki ya maadhimisho ya miaka 11 ya Jarida la Bang! lenye Cover Page ya Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu na Mkewe Bi. Faraja Nyalandu.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment, Emelda Mwamanga akionyesha jarida la Bang! na Katibu Muhtasi wake Darliana Mbedule.

No comments:

Post a Comment