| Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza wakimnyanyua juu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana, alipokwenda kukagua vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa na Taasisi ya Buffet Foundation kwa ajili ya mafunzo ikiwemo vitabu, kompyuta, magari na darubini. |
No comments:
Post a Comment