Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 15 September 2014

MKURUGENZI WA MASOKO WA SERENGETI BREWERIES, EPHRAIM MAFURU AKABIDHI VYETI KWA WANAFUNZI BORA WA SHULE YA SEKONDARI YA EAGLES

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kushoto) akikabidhi cheti na kikombe kwa mwanafunzi bora kitaaluma wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Eagles, Tyson Kosani, wakati wa mahafali yao shuleni hapo, Bagamoyo Pwani jana. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Greson Mhilu.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kushoto) akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Eagles, Laurian Mafuru wakati wa mahafali yao shuleni hapo, Bagamoyo Pwani jana. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Greson Mhilu. na kushoto kwa Mafuru ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya shule hiyo, Mhandisi Eva Fumbuka.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kushoto) akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Eagles, Festus Bussu, wakati wa mahafali yao shuleni hapo, Bagamoyo Pwani jana. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Greson Mhilu. na kushoto kwa Mafuru ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya shule hiyo, Mhandisi Eva Fumbuka.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kushoto) akikabidhi cheti na kikombe kwa mmoja wa wanafunzi wa waliofanya vizuri kitaalumu wakati wa mahafali ya kidato cha nne ya Shule ya Sekondari ya Eagles, shuleni hapo, Bagamoyo Pwani jana. Kushoto kwa Mafuru ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya shule hiyo, Mhandisi Eva Fumbuka.

Mwanafunzi bora katika mchezo wa pete wa Shule ya Sekondari ya Eagles, Festus Bussu (kulia) akipokea kikombe kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shule ya Sekondari ya Eagles wakati wa mahafali ya kidato cha nne yaliyofanyika shuleni hapo, Bagamoyo, Pwani jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti aliyekuwa mgeni rasmi, Ephraim Mafuru. 

Mmoja wa wanamichezo bora wa Shule ya Sekondari ya Eagles, Alfred Mwashala (kulia) akivalishwa medali na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa shule hiyo, Eva Fumbuka wakati wa mahafali ya kidato cha nne yaliyofanyika shuleni hapo, Bagamoyo, Pwani jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Ephraim Mafuru aliyekuwa mgeni rasmi.

Mjumbe wa Kamati ya Wazazi ya Shule ys Sekondari ya Eagles, Belinda Mafuru na Mkuuu wa shule hiyo, Greyson Mhilu (kushoto), wakikata keki iliyotolewa na wazazi wa shule hiyo kwa ajili ya walimu ikiwa ni ishara ya kuonyesha shukrani zao wakati wa mahafali ya kidato cha nne cha Shule ya Sekondari Eagles yaliyofanyika mjini Bagamoyo, Pwani jana.

No comments:

Post a Comment