Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Sunday, 27 July 2014

NATIONAL MICROFINANCE BANK (NMB): TAARIFA KWA WATEJA WETU


Kutokana na taarifa tuliyoipata kutoka Baraza la Kiislam Tanzania (BAKWATA), sikukuu ya Eid El Fitr inatarajiwa kuwa 28th Julai na 29th Julai au 29th Julai na 30th Julai 2014 kutegemea kuandama kwa mwezi.

Ili kukuhakikishia huduma bora katika kipindi chote cha mwisho wa wiki pamoja na sikukuu ya Eid El Fitr, matawi yetu yatakuwa wazi kama ifuatavyo.

Matawi yote yatakuwa wazi siku ya Jumapili tarehe 27th Julai 2014 kuanzia Saa 4:00 asubuhi hadi Saa 8:00 mchana.

Matawi yatakuwa yamefungwa siku ya Eid Pili, isipokuwa matawi ya NMB Mlimani City, NMB Mtaa wa Kongo - Kariakoo na tawi la NMB Tegeta yote ya Dar-es-salaam yakuwa wazi kuanzia Saa 4:00 hadi Saa 10:00 jioni.

Katika kipindi chote hiki Huduma zetu za NMB Mobile, ATM na kituo Huduma kwa Wateja zitaendelea kufanya kazi kama kawaida.

Kuwasiliana na Huduma kwa Wateja tafadhali piga: +255-714-150-660 au +255-764-700-500 au +255-784-105-900 au +255-722-551-166 au +255-2216500.

Tunawatakia Eid Mubarak

Menejimenti ya NMB.

No comments:

Post a Comment