Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926

Absa Banner_170926

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Wednesday, 22 May 2024

SAMSUNG INTRODUCES DEVICE FINANCING TO FACILITATE SMARTPHONE PENETRATION


Dar es Salaam: According to a Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) report, more Tanzanians are now using smartphones as the numbers of feature phone users start declining. The statistics indicate that the usage of smartphones among Tanzanians increased from 15% in December 2021 to 32.59 percent in March 2024.


This is a positive sign for the nation regarding the development of the communication sector driven by the growth of the global digital economy. Phones are no longer just luxury items, but essential devices to achieve equality in economic development.

By partnering with various telecom companies and electronics manufacturers, the government strives to ensure that all citizens benefit regardless of their location or income status.


In support of these efforts, Samsung Electronics Tanzania is building collaborations with different partners to enable Tanzanians to purchase smartphones through affordable loans.

Speaking about this collaboration, Samsung Tanzania's Country Leads, Manish Jangra, emphasized their commitment to making it easier for people to access smart gadgets at affordable prices to facilitate the development of economic activities.

SAMSUNG ELECTRONICS NAMES YOUNG HYUN JUN AS NEW HEAD OF DEVICE SOLUTIONS DIVISION


Samsung Electronics today announced that Young Hyun Jun was named as the new Head of Device Solutions (DS) Division to lead the Company’s semiconductor business and strengthen its competitiveness amid an uncertain global business environment.

Vice Chairman Jun, who has extensive experience in the semiconductor and battery businesses, joined Samsung Electronics in 2000 and worked in DRAM and Flash memory development as well as in strategic marketing. Jun became Head of the Memory Business in 2014 and CEO of Samsung SDI in 2017, before leading the Future Business Division in 2024.

President Kyehyun Kyung, who has been leading the DS Division, will become the Head of the Future Business Division as well as the Head of Samsung Advanced Institute of Technology (SAIT). He is expected to focus on finding new growth opportunities based on his experience leading the semiconductor business.

FURAHIA NGUVU YA BUKU 10 TU NDANI YA DStv!!!


Tuesday, 21 May 2024

SHIRIKA LA BIMA CHINA LAWEKA NIA UGHARAMIAJI RELI YA KISASA

Kikao kati ya Ujumbe wa Tanzania uliiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Ujumbe kutoka Shirika la Bima la China - China Export and Credit Insurance Corporation (SINOSURE), uliofanyika jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano hususani kwenye eneo la ugharamiaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) ambapo shirika hilo linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano na Sita cha Reli hiyo kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na Tabora hadi Kigoma chenye urefu wa zaidi va Kilomita 411.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Meneja Msaidizi wa Shirika la Bima la China - China Export and Credit Insurance Corporation (SINOSURE), Bi. BI Xiaonan, walipokutana na kufanya mazungumzo, jijini Dodoma.
Meneja Msaidizi wa Shirika la Bima la China - China Export and Credit Insurance Corporation (SINOSURE), Bi. BI Xiaonan, akizungumza jambo wakati alipoongoza ujumbe wa Taasisi hiyo katika kikao na Ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), jijini Dodoma.
Ujumbe kutoka Shirika la Bima la China (China Export and Credit Insurance Corporation (SINOSURE) wakimsikiliza kwa umakini Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), wakati wa kikao cha ujumbe huo na Ujumbe kutoka Tanzania, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano hususani kwenye eneo la ugharamiaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR).
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa tano kulia) na Meneja Msaidizi wa Shirika la Bima la China (China Export and Credit Insurance Corporation (SINOSURE), Bi. BI Xiaonan, wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Serikali ya Tanzania na Taasisi hiyo, mara baada ya kumalizika kwa kikao chao jijini Dodoma.

Shirika la Bima la China - (China Export and Credit Insurance Corporation (SINOSURE) linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli hiyo kutoka Tabora hadi Kigoma chenye urefu wa zaidi ya Kilomita 411.

Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Shirika la Bima la China (SINOSURE), ukiongizwa na Meneja Msaidizi wa Shirika hilo, Bi. Bi Xiaonan.

Dkt. Nchemba amelishukuru Shirika la SINOSURE kwa kuendelea na taratibu za upatikanaji fedha za ukamilishaji wa mradi huo kwa kuwa vipande hivyo ni muhimu katika ukamilishaji wa mradi huo.

“Tumekuwa na kikao kizuri katika kujadiliana ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na China hususan kwenye eneo la ugharamiaji wa miradi ya kimkakati ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Reli ya Kisasa Kipande cha Tano kutoka Isaka hadi Mwanza ambapo SINOSURE ilikubali kushiriki katika upatikanaji wa fedha wa kukamilisha ujenzi huo na kipande cha Tabora hadi Kigoma”, alisema Dkt. Nchemba.

NMB YAPATA IDHINI KUWA WAKALA WA MADALALI SOKO LA HISA DAR ES SALAAM


Benki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CSMA) kuwa wakala wa madalali wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE).


Kupitia idhini hiyo wananchi sasa wataweza kuuza na kununua hisa na hatifungani kupitia mtandao mpana wa matawi 231 wa Benki ya NMB yaliyopo nchi nzima.

Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Mawasiliano baina (MoU) baina ya Benki ya NMB na kampuni ya udalali wa hisa ya Orbit Securities, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna huku akiinukuu ripoti ya Finscope ya mwaka 2023 alisema asilimia 0.5 tu ya Watanzania wanatumia soko la mitaji kuwekeza.


“Nina imani kwamba makubaliano haya ya kimkakati yatafungua ukurasa mpya siyo tu kwa Kampuniu ya Orbit Securities bali na madalali wengine wa Soko la Hisa la Dar es Salaam. Natumia nafasi hii kuwakaribisha madalali wengine kuja kuingia makubaliano nasi ili kuwawezesha Watanzania wengi zaidi kutumia masoko ya mitaji,” alisema.


Alitoa shukrani kwa Benki Kuu ya Tanzania na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kwa kutoa idhini kwa benki yake huku akisistiza kuwa hatua hiyo inaonyesha imani kubwa kwa benki yake.

Naye Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Orbit Securities, Godfrey Gabriel wakati wa hafla hiyo alisema, “Hii ni siku muhimu na ushirikiano huu utafungua milango kwa watu binafsi na wafanyabiashara kushiriki katika masoko ya mitaji kwa urahisi zaidi.”

NMB GETS SECURITIES TRADING APPROVAL, INKS FIRST AGENCY DEAL

NMB Bank PLC Chief Executive Officer, Ruth Zaipuna (3rd right) and Orbit Securities counterpart, Godfrey Gabriel (2nd left) exchange documents after signing a Memorandum of Understanding that allows investors to use the Bank's branches to trade in shares and bonds of firms listed on the Dar es Salaam Stock Exchange in Dar es Salaam.

You can now buy and sell securities listed on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) from any NMB Bank branch - thanks to a partnership deal signed between the lender and top stockbroker Orbit Securities.


The financial facilitative service agreement follows NMB’s acquisition of approval to act as agent of licensed stockbrokers at the Dar bourse from the Bank of Tanzania (BoT) and the Capital Market and Securities Authority (CMSA).


Announcing the two developments before inking deal at the bank’s head office in Dar es Salaam, NMB CEO Ruth Zaipuna said apart from commercial benefits, NMB has ventured into this line of business to help increase the number of Tanzanians participating in the local capital markets.


She said the BoT and CMSA approvals accord investors the opportunity to use NMB wide branch network to trade in shares and bonds of firms listed at DSE and also enable it to contribute to the growth and development of the whole financial sector.


“Today, we are announcing securing of the approval to start selling and buying both shares and bonds listed at DSE through all our 231 branches countrywide and that starts with signing of this agency agreement with Orbit Securities,” Ms Zaipuna remarked, noting that currently very few people invest in the capital and securities market.


Referring to the Finscope’s 2023 report, she said only 0.5 percent of Tanzanians use the capital markets to generate income or raise capital for investment purposes. Being a big bank, she explained, NMB is obliged to help address the fiscal anomaly and development shortcoming.

FURAHIA NGUVU YA BUKU 10 TU NDANI YA DStv!!!


NMB 'YAFUNGA NDOA' NA WANAWAKE WANAOMILIKI SHULE NA VYUO


Benki ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha Wanawake Wamiliki wa Shule na Vyuo Tanzania (TAWOSCO), yaliyosainiwa sambamba na uzinduzi wa ‘NMB School Proposition, lengo likiwa ni kuwawezesha kupata mikopo yenye riba nafuu kwa maendeleo ya taasisi zao.


MoU hiyo imesainiwa na Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Bw. Juma Kimori na Katibu Mkuu wa TAWOSCO, Bi. Aisha Mzee, mbele ya Katibu Mkuu wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng'i Issa, wakishuhudiwa pia na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi.


Makubaliano hayo yanaleta sokoni Akaunti Maalum isiyo na Makato ya Mwezi kwa ajili ya kukusanya ada na michango mingine, Huduma ya Flex Malipo kuwezesha kukusanya malipo kupitia ‘Control Number’ na AdaBima ya kumwezesha mzazi anapopata ulemavu wa kudumu au kifo.


Akizungumza wakati wa kusaini makubaliano hayo, Bw. Kimori alisema MoU hiyo itawezesha upatikanajiwa Huduma za Wakala, Lipa Mkononi (Lipa Namba na QR), pamoja na Mashine za POS mashuleni, ambako kutakuwa na Bima za Magari, Maisha na Majengo ya Shule na mikopo mbalimbali.


Bw. Kimori alibainisha kuwa kwa kutambua kuwa Elimu Msingi Bora wa Maisha kwa Mtanzania na kwa kuthamini kazi kubwa inayofanywa na wanawake wanaomiliki shule na vyuo nchini, dhamira ya kusapoti jitihada hizo imewasukuma kusaini makubaliano hayo muhimu kwa afya ya elimu nchini.


“Mwenyekiti (wa TAWOSCO) ametuambia kaulimbiu yenu kama chama ni ‘Mwanamke Muumbaji wa Maadili,’ hili ni jambo kubwa sana, kwa sababu maadili ni jambo la lazima na tutambua kuwa shule ama chuo kikimilikwa na mwanamama, maadili mema yatakuwa kipaumbele kikuu.


“Leo hii tunasaini MoU hii tukitambua kazi kubwa iliyofanyika baina ya pande mbili hizi yaani NMB na TAWOSCO, huu mkataba unakuja na masuluhiso tele, ambayo yamejikita katika utatuzi wa changamoto na matatizo ya Sekta ya Elimu hasa shule na vyuo vya wanachama.


“Ni makubaliano yaliyobeba utatuzi wa matatizo mnayopitia wamiliki, wazazi, wanafunzi wa shule na vyo vyenu, na wadau wote, changamoto za kifedha, za mikopo, bima, ada na kadhalika, kwa hiyo mkataba huu ‘package’ iliyokamilika


“Tutatambua katika maisha, mzazi anaweza kupata ulemavu ama kifo, AdaBima iko ndani ya masuluhisho haya, lakini pia tunatambua kuwa TAWOSCO inazo taratibu za makusanyo ya michango ya wanachama, NMB imekuja na masuluhisho ya michango hiyo ya vikundi,” alibainisha Bw. Kimori.


Kwa upande wake, Katibu Mkuu NEEC, Beng’i Issa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo alizipongeza NMB na TAWOSCO kwa kusaini makubaliano hayo aliyoyataja kama mkombozi wa sekta ya elimu na wamiliki wa shule na vyuo, ambao wanakabiliwa na changamoto nyingi za kifedha.

BENKI YA EXIM YAZINDUA HUDUMA YA 'EXIM SMART SHULE'

Eugen Massawe (katikati), Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi katika Benki ya Exim akielezea kuhusu huduma mpya ya benki hiyo ijulikanayo kama 'Exim Smart Shule', Shule Kidijitali itakayowezesha mzazi au mlezi kumlipia mwanafunzi ada ya shule kidijitali kupitia matawi ya benki hiyo, Exim Wakala na simu za mikononi. Kushoto ni Ramadhan Mbaga pamoja nae ni Elizabeth Mayengoh wote kutoka Exim Bank wakiwa katika uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika tarehe 20 Mei 2024 katika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam.

Dar es Salaam, 20 April 2024: Katika juhudi za kuboresha teknolojia za kidijitali katika sekta ya elimu, Benki ya Exim imezindua huduma ya 'Exim Smart Shule' maarufu kama 'Shule Kidijitali', suluhisho la malipo linalorahisisha malipo ya ada za shule moja kwa moja na wazazi, walezi, au wanafunzi wenyewe. Kupitia namba maalum inayotolewa na mfumo, malipo yanaweza kufanyika kwa urahisi kupitia matawi ya Exim Bank, Exim Wakala, na mitandao ya simu za mkononi. Mpango huu unalenga kurahisisha michakato ya malipo ya ada, kukuza ufanisi na upatikanaji wa huduma za malipo ya ada za shule.


“Huduma ya 'Exim Smart Shule', inaonesha adhima yetu ya kuwa wabunifu kwa kukuza ujumuishaji wa kifedha wa kidijitali na kuendelea kuungana na wateja wetu. Mzazi au mlezi ataomba tu namba maalum ya udhibiti kutoka shuleni ili aweze kufanya malipo kwa urahisi na usalama,” anasema Eugen Massawe, Mkuu wa Operesheni wa Matawi wa Exim Bank.


Exim Smart Shule ina faida kadhaa kwa taasisi za elimu, wanafunzi, wazazi na walezi kwa kuunganisha teknolojia na huduma za kifedha katika sekta ya elimu. Jukwaa hili linarahisisha mchakato wa malipo ya ada, kufanya iwe haraka na yenye ufanisi zaidi kwa wazazi na uongozi wa shule.

Ramadhan Mbaga, Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kidijitali wa Exim Bank, anasema, “Kupitia Exim Smart Shule, wazazi na wanafunzi wanaweza kufanya malipo kwa urahisi kwa kutumia njia mbalimbali kama vile matawi yetu ya Benki ya Exim, Exim Wakala, na mitandao ya simu.”

Kutumia huduma hili pia kunaleta ufanisi kwa sababu kila namba ni ya kipekee kwa kila mwanafunzi kwendana na muamala wa malipo. Hii husaidia kuhakikisha kuwa malipo yanawekwa kwa usahihi katika akaunti ya mwanafunzi husika, kupunguza uwezekano wa kukosea namna ya kufanya malipo bila kuchanganya hesabu.

SBL YATEMBELEA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. Said Mtanda (kushoto) akimsikiliza Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Neema Temba, ofisini kwa Mkuu wa Mkoa huyo alipomtembelea mwishoni mwa wiki. Kampuni ya SBL imekuwa ni mdau mkubwa wa maendeleo katika mkoa wa Mwanza kwa kuchangia pato la mkoa na kusaidia miradi mbalimbali ya maji mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Meneja Mahusiano - Neema Temba, Meneja wa Kiwanda cha Mwanza - Dominic Mkemengwa na Meneja wa Kodi - Timoth Rogatus (kulia) walipomtembelea ofisini kwake mwishoni mwa wiki. Kampuni ya SBL imekuwa ni mdau mkubwa wa maendeleo katika mkoa wa Mwanza kwa kuchangia pato la mkoa na kusaidia miradi mbalimbali ya maji mkoani humo.

WANAWAKE NCHINI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA MBALIMBALI ZA KIUCHUMI


Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuwainua wanawake kiuchumi kwa kuweka msingi unaochochea mabadiliko yanayojielekeza kukua kiuchumi.



Hatua hii ya serikali inakuja wakati ambapo tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa bado kuna kundi kubwa la watu ambao bado hawajafikiwa na huduma za kifedha ambapo kwa asilimia kubwa wengi ambao hawajafikiwa ni wanawake hali hiyo ikitokana na kukosa elimu juu ya umuhimu wa kutumia huduma za kifedha.



Waziri Dkt. Gwajima ametoa kauli hiyo Jijini Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Dirisha maalum ya wanawake la Benki ya Equity, Mwanamke Plus ambayo ina lengo la kumkomboa mwanamke.



Waziri Gwajima amesema Sera ya Jinsia na Maendeleo ya Wanawake ni ya muhimu katika kukuza usawa wa kijinsia hasa kutokana na kuweka kipambele kwa ushiriki wa wanaume katika jitihada za kujenga usawa wa kijinsia na kutoa wito kwa benki hiyo kubuni na kutoa bidhaa za kifedha kwa kundi ka wanaume ili nao wasiwe nyuma kiuchumi.



Kwa Upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Isabela Maganga amesema benki hiyo ina lengo la kuhakikisha kuwa fedha za wanawake wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo zinapita katika mfumo rasmi ya kibenki ili kuweza kusaidia wafanyabiashara kukuza biashara zao.



Kupitia Mwananke Plus wanawake wote watafikiwa na kupewa elimu juu ya fedha na namna gani wataweza kukuza mitaji yao kupitia fursa mbalimbali zitolewazi na benki hiyo kama vile mikiopo.

FURAHIA 'NURU - HITAJI LA MOYO' NDANI YA DStv


Monday, 20 May 2024

EMPOWERING TANZANIA'S AGRICULTURAL HEARTLAND: TRANSFORMATIVE HEALTH AND AGRICULTURE INITIATIVES BY NBC FOR FARMERS

The Regional Administrative Secretary of Lindi, Ms. Zuwena Omary (Center), cuts a ribbon to mark the launch of 'Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani' campaign organized by NBC bank specifically for sesame farmers in Lindi region and the districts of Masasi and Nanyumbu in Mtwara region. The launch coincided with the launch of the Health Insurance service for farmers in the country, which took place over the weekend in Lindi. Others present were NBC Bank's Head of Strategy, Mr. Msafiri Shayo (third left), Manager of NBC Bank's Lindi Branch, Mr. Iovin Mapunda (second left), Chairman of the TANECU Cooperative Union, Mr. Hamis Chipola (right), farmers and bank officials.
The Regional Administrative Secretary of Lindi Region, Ms. Zuwena Omary (centre), leads the launch of Health Insurance service for farmers nationwide, provided by NBC Bank in collaboration with Assemble Insurance Company. The launch coincided with the launch of the Health Insurance service for farmers in the country, which took place over the weekend in Lindi. Others present include the Head of the Strategic Unit of NBC Bank, Msafiri Shayo (fourth from the left), the Manager of the NBC Bank Lindi Branch, Iovin Mapunda (second from the left), leaders of the Cooperative societies in Lindi and Mtwara Regions, farmers and bank officials.

Lindi, Tanzania - In the sun-kissed southern regions of Tanzania, where the rhythmic hum of tractors and the rustling of lush crops mark the pulse of the nation's agricultural backbone, a new era of progress is unfolding. The National Bank of Commerce (NBC), a stalwart institution with deep roots in the country, has unveiled a transformative initiative that is poised to revolutionize the lives of the hardworking farmers who form the cornerstone of Tanzania's food security and economic growth.

On a warm May afternoon, the southern region Lindi came alive with a palpable sense of excitement as NBC Bank, in collaboration with Assemble Insurance Tanzania, launched its pioneering health insurance service for farmers. This groundbreaking move marks a significant milestone in the bank's unwavering commitment to empowering the agricultural community in the country, ensuring that the lifeblood of the nation's prosperity is safeguarded against the unexpected challenges that often accompany the rigors of farm life.

The launch event, presided over by the esteemed Lindi Regional Administrative Secretary, Ms. Zuwena Omary, was a testament to NBC's unwavering dedication to the farmers' well-being. "Many health insurance providers have failed to develop user-friendly systems to reach farmers," Ms. Omary observed, her voice brimming with conviction. "But NBC's proximity to the farming community through various banking services will allow them to implement this plan more effectively."

PUMA ENERGY JOINS THE CLEAN COOKING DECLARATION TO FURTHER ENABLE ACCESS TO CLEAN COOKING IN AFRICA

(From left to right) - Omar Zaafrani, Global Head of Corporate Affairs and ESG at Puma Energy, Fatma Abdallah, Managing Director, Puma Energy Tanzania & Carina Schacherl, Global ESG Lead at Puma Energy.

Dar es Salaam, 19 May 2024 – Puma Energy reaffirmed its commitment to enabling access to energy and clean cooking solutions during the International Energy Agency (IEA)’s Summit on Clean Cooking in Africa in Paris.

Alongside governments, private sector companies, international organizations and civil society who attended the Summit in Paris on 14 May, Puma Energy joined the Clean Cooking Declaration, which is committed to making 2024 the pivotal year for clean cooking.

By participating in the declaration, Puma Energy has pledged to “take concrete steps towards advancing the clean cooking agenda, through action on the ground, raising awareness, and fostering greater collaboration among the key stakeholders.”

“We are proud to support and advance clean cooking solutions in the communities in which we operate,” said Puma Energy’s Head of Africa Fadi Mitri. “We believe that LPG for clean cooking is a critical solution to Africa’s energy transition - offering healthier and cleaner cooking alternatives that benefit both people and the environment.”

According to IEA estimates, approximately 970 million people lack access to clean cooking fuels and technologies in Sub-Saharan Africa. Many households rely on solid fuels such as wood and charcoal, or kerosene, leading to environmental and health hazards.

FURAHIA MECHI NDANI YA DStv KWA NGUVU YA BUKU 10 TU!

Furahia mechi kabambe ndani ya #mfalmewasoka kwa nguvu ya buku kumi.

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako cha Poa TShs 10,000 tu mapema usipitwe na mechi hizi.

#mfalmewasokanidstv
#sokabiladstvhainogi
#unakosaje

BENKI YA NBC YAZINDUA BIMA YA AFYA KWA WAKULIMA, YATAMBULISHA KAMPENI YA KUHAMASISHA KILIMO CHA UFUTA LINDI NA MTWARA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Bi Zuwena Omary (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara. Uzinduzi huo uliokwenda sambamba na uzinduzi wa huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini uliofanyika leo mkoani Lindi. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mikakati wa Benki NBC, Msafiri Shayo (wa tatu kushoto), Meneja wa Benki ya NBC tawi la Lindi Ivon Mapunda (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa chama cha ushirika cha TANECU Hamis Chipola (kulia), wakulima na maofisa wa benki hiyo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Bi Zuwena Omary (katikati) akiongoza uzinduzi wa huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini inayotolewa na benki ya NBC kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance. Uzinduzi huo uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara uliofanyika leo mkoani Lindi. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mikakati wa Benki NBC, Msafiri Shayo (wa nne kushoto), Meneja wa Benki ya NBC tawi la Lindi Ivon Mapunda (wa pili kushoto)Viongozi wa vyama vikuu vya ushirika mikoa ya Lindi na Mtwara, wakulima na maofisa wa benki hiyo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Bi Zuwena Omary (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika leo mkoani Lindi ukienda sambamba na uzinduzi wa huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini inayotolewa na benki ya NBC kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mikakati wa Benki NBC, Msafiri Shayo (wa saba kushoto), Viongozi wa vyama vikuu vya ushirika mikoa ya Lindi na Mtwara, wakulima na maofisa wa benki hiyo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Bi Zuwena Omary (kushoto) akizungumza na wakulima na viongozi wa vyama vya msingi na ushirika mikoa ya Lindi na Mtwara wakati wa uzinduzi wa huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini inayotolewa na benki ya NBC kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara.
Mkuu wa Kitengo cha Mikakati wa Benki NBC, Msafiri Shayo akizungumza na wakulima na viongozi wa vyama vya msingi na ushirika mikoa ya Lindi na Mtwara wakati wa uzinduzi wa huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini inayotolewa na benki ya NBC kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara.
Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo wadogo, Lariba na wakulima kutoka Benki ya NBC, Bw Raymond Urassa akizungumza na wakulima na viongozi wa vyama vya msingi na ushirika mikoa ya Lindi na Mtwara wakati wa uzinduzi wa huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini inayotolewa na benki ya NBC kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Lindi Iovin Mapunda akizungumza na wakulima na viongozi wa vyama vya msingi na ushirika mikoa ya Lindi na Mtwara wakati wa uzinduzi wa huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini inayotolewa na benki ya NBC kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara.
Wakulima na viongozi wa vyama vya msingi na ushirika mikoa ya Lindi na Mtwara wakimsikiliza kwa umakini Meneja Mahusiano Bima wa Benki ya NBC, Jackson Kindikwili (mbele -aliesimama) wakati akitoa semina kuhusu huduma mpya ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini inayotolewa na benki ya NBC kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara.
Wakulima na viongozi wa vyama vya msingi na ushirika mikoa ya Lindi na Mtwara wakimsikiliza kwa umakini Meneja Ukuzaji Biashara wa Benki ya NBC Bw Isdory Sebastian (mbele -aliesimama) wakati akitoa semina kuhusu elimu fedha kwa wakulima hao wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara uliokwenda sambamba na uzinduzi wa huduma mpya ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini inayotolewa na benki ya NBC kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance.
Mkuu wa Kitengo cha Mikakati wa Benki NBC, Msafiri Shayo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ inayoratibiwa na benki ya NBC mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika mkoani Lindi ukienda sambamba na uzinduzi wa huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchini inayotolewa na benki ya NBC kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance. Wengine ni pamoja na Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo wadogo, Lariba na wakulima kutoka Benki ya NBC, Bw Raymond Urassa (wan ne kulia -mstari wa mbele) Viongozi wa vyama vikuu vya ushirika mikoa ya Lindi na Mtwara, wakulima na maofisa wa benki hiyo.

Lindi - Mei 17, 2024: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance imezindua huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima nchi nzima ikilenga kurahisisha upatikanaji wa huduma hiyo muhimu kwa kundi hilo. Hatua hiyo inatajwa kuwa itasaidia kuimarisha sekta ya afya ambayo ni moja ya nguzo muhimu katika ukuaji wa kilimo nchini.

Kupitia huduma hiyo wakulima na familia zao wanaweza kupata huduma ya bima ya afya kwa malipo ya kiasi cha Sh. 450,000 kwa mwaka.

Hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo imefanyika leo mkoani Lindi ikienda sambamba na uzinduzi wa kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ mahususi kwa wakulima wa zao la ufuta mkoani Lindi na wilaya za Masasi na Nanyumbu mkoa wa Mtwara.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Bi Zuwena Omary aliongoza hafla hiyo iliyohusisha viongozi wa vyama vya msingi na ushirika mkoani Lindi na Mtwara huku Mkuu wa Kitengo cha Mikakati wa Benki NBC, Msafiri Shayo akimuwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Theobald Sabi kwenye tukio hilo muhimu.