Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 21 May 2024

SBL YATEMBELEA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. Said Mtanda (kushoto) akimsikiliza Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Neema Temba, ofisini kwa Mkuu wa Mkoa huyo alipomtembelea mwishoni mwa wiki. Kampuni ya SBL imekuwa ni mdau mkubwa wa maendeleo katika mkoa wa Mwanza kwa kuchangia pato la mkoa na kusaidia miradi mbalimbali ya maji mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Meneja Mahusiano - Neema Temba, Meneja wa Kiwanda cha Mwanza - Dominic Mkemengwa na Meneja wa Kodi - Timoth Rogatus (kulia) walipomtembelea ofisini kwake mwishoni mwa wiki. Kampuni ya SBL imekuwa ni mdau mkubwa wa maendeleo katika mkoa wa Mwanza kwa kuchangia pato la mkoa na kusaidia miradi mbalimbali ya maji mkoani humo.

No comments:

Post a Comment