Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Tuesday, 15 April 2025

BENKI YA NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYA MIL. 19/- KWA TIMU ZA JWTZ


Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeishukuru Benki ya NMB kwa namna inavyojitoa kuunga mkono Sekta ya Michezo ndani ya jeshi hilo, kwa kufadhili na kuwezesha ushiriki wa Timu za Majeshi katika michuano mbalimbali, pamoja na kudhamini uendeshaji wa mashindano yake.



Shukrani hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Utimamu wa Mwili, Michezo, Sanaa na Utamaduni wa JWTZ Makao Makuu, Kanali David Luoga, wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh. Mil. 19 vilivyotolewa na NMB kwa ajili ya timu za vijana walio chini ya miaka 20 ya Mashujaa na Mashujaa Queens za JWTZ.



Mkuu wa Tawi la Oparesheni na Mafunzo Makao Makuu ya JWTZ, Meja Jenerali Ibrahim Mhona, Kanali Luoga alisema NMB imekuwa mdau kinara wa jeshi katika hatua mbalimbali za uendeshaji wa timu, ushiriki wa timu katika Mashindano ya Majeshi na udhamini kila wanapokuwa na uhitaji.



Tunashukuru sana kwa sapoti hii inayotolewa na NMB kwa JWTZ na timu zake, mara nyingi wamefanya hivi katika ushiriki wa JWTZ michezoni na uendeshaji wa mashindano yake kwa ujumla na leo tuko hapa kudumisha michezo, ambayo sisi jeshini tunaifanya kupitia kaulimbiu ya; Michezo ni Furaha na Umoja.



JWTZ tunaamini kuwa tukifanya michezo kwa kwa furaha na umoja, tutajenga nchi yetu kiuchumi, na katika hili, NMB mmekuwa wadau na wawezeshaji wetu wakubwa kutuwezesha kimichezo,” alisema Kanali Luoga mbele ya Mkuu wa Kikosi cha Usafirishaji na Mwenyekiti wa Mashujaa FC, Benjamin Kisinda.



Kanali Luoga alifafanua kuwa NMB wamekuwa wakidhamini wanapoendesha mashindano, yakiwemo CDF Trophy kwa mchezo wa gofu, Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) na CDF Cup, na kuwa wanajivunia sana mashirikiano yao na NMB, ambayo imekuwa kimbilio lao mara kwa mara tunapokuwa na ushiriki ama uhitaji.



Tunashukuru kwa vifaa hivi tunavyopokea leo kwa ajili ya timu za Mashujaa FC Under 20 na Mashujaa Queens, ambavyo vitatumika katika maandalizi na michezo mbalimbali inyohusisha timu hizo. Msaada huu ni mkubwa mno, vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh. Mil. 19 sio jambo dogo, ni kubwa sana,” alisisitiza Kanali Luoga.



Akiahidi ushirikiano endelevu, Kanali Luoga akaiomba NMB kutowachoka na kuwataka kujiandaa kuwa sehemu ya CDF Cup 2025, inayotarajiwa kuanza Juni mwaka huu: “Tunatarajia sapoti yenu pia tunapojiandaa na CDF Cup 2025,” alisema mbele ya Luteni Kanali Penina Anthony Igwe, Afisa Mnadhimu wa Kurugenzi ya Michezo JWTZ.

SHOT IN THE ARM AS NMB BANK HANDS OVER 19M/- SPORTS KITS TO TPDF SPORTS TEAMS


The Tanzania People's Defence Forces (TPDF) secured a massive shot in the arm after receiving 19m/- sports kits from NMB Bank which will go towards enhancement of sporting activities within the Mashujaa Under 20 (U-20) and Mashujaa Queens teams.



The donated items include four sets of new jerseys, eight sets of goalkeeper’s gloves, 50 track suits, 40 sets of travelling attires, jerseys training equipment (bips) and 50 official T-shirts among others.



Speaking during the handover ceremony held at the bank’s head office in Dar es Salaam yesterday, the NMB Bank Senior Manager Personal Lending Personal Banking Ally Ngingite said the bank’s sponsorship aligns with the bank’s sports development strategy and seeks to nurture talent and enable the recipient teams’ seamless participation in the local topflight leagues.



We have been impressed by the good form exhibited by the two teams in recent months that is why we are donating these sports kits to ensure consistency and enable the recipient teams to perform even better,” he said.



Ngingite revealed that the sponsorship cements the long-term relationship between NMB Bank and TPDF as both entities have a shared vision of nurturing and developing sports.



I believe the sports kits we are handing over today will be a catalyst for better performance of the two recipient teams and keep flying the TPDF flag even higher in all the tournaments where they will take part,” he said.



He added, “I believe with the sports kits we have handed over today, both teams will continue with their winning streak in all tournaments where they will participate.



Ngingite during the event encouraged both Mashujaa Under 20 (U-20) and Mashujaa Queens teams to continue with their resilience and perseverance adding that a winning mentality is crucial for the success of their teams.

STANBIC YAZINDUA “LIPA NA STANBIC” – SULUHISHO JIPYA LA KIDIJITALI KWA WAFANYABIASHARA

Afisa Mkuu wa Uendeshaji Tehama Benki ya Stanbic Tanzania, Nelson Swai (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Lipa Simpo na Stanbic ambayo inayotoa suluhisho la kidigitali kwa wafanyabiashara kupokea malipo kwa mitandao ya simu na benki zote nchini. Huduma hiyo ilizinduliwa ijumaa wiki iliyopita. Wengine kwenye picha kulia ni Afisa Mkuu wa Wateja wa Biashara, Fredrick Max na kushoto ni Balozi wa Benki ya Stanbic na Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba.
  • Benki ya Stanbic Tanzania yazindua “Lipa na Stanbic,” suluhisho la malipo ya kidijitali linalowezesha wafanyabiashara kupokea malipo kutoka mitandao yote ya simu na benki zote moja kwa moja kwenye akaunti zao za benki, kwa haraka, usalama, na hivyo kurahisisha ukamilishaji wa mauzo.
  • Benki ya Stanbic, ambayo ni ya tatu kwa ukubwa kutokana na faida, inaongeza masuluhisho ya kifedha ya kuboresha njia ya malipo kwa wateja wake.
  • Benki ya Stanbic inashirikiana kwa karibu na serikali na wadau wa udhibiti wa sekta ya fedha, ikiwemo kufuata mwongozo wa TANQR uliotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT), ili kuhakikisha suluhisho hili linazingatia viwango vya kitaifa na kuleta mabadiliko chanya katika mfumo wa malipo nchini.
Ijumaa, 11 Aprili 2025, Dar es Salaam – Benki ya Stanbic Tanzania imezindua rasmi huduma mpya ya “Lipa Simpo na Stanbic”, ambayo ni suluhisho la malipo ya kidijitali linalolenga kurahisisha ukusanyaji wa mapato kwa wafanyabiashara nchini. Kupitia mfumo huu wa kisasa wa TANQR, wafanyabiashara sasa wanaweza kupokea malipo moja kwa moja kwenye akaunti zao za benki kwa haraka na kwa usalama zaidi.

Lipa na Stanbic inaweza kutumika katika aina mbalimbali za biashara zikiwemo maduka, super market, vituo vya mafuta, migahawa, maduka ya vifaa vya ujenzi pamoja na watoa huduma wengine—yaani, kwa mfanyabiashara au taasisi yoyote inayotaka kupokea malipo kwa haraka, kwa usalama na moja kwa moja kwenye akaunti ya benki, huku wakiwarahisishia wateja kufanya malipo kutoka mtandao wowote wa simu au benki yoyote.

Uzinduzi wa leo ni hatua kubwa katika safari yetu ya kuhamasisha mifumo ya malipo ya kidijitali,” alisema Fredrick Max, Afisa Mkuu wa Wateja wa Biashara kutoka Benki ya Stanbic Tanzania, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. “Tumewasikiliza wateja wetu na kuelewa kuwa wanahitaji njia rahisi, salama, na yenye manufaa zaidi ya kukusanya mapato. Hili ndilo suluhisho lenyewe.”

Huu ni mwaka wa kipekee kwetu, kwani tunasherehekea miaka 30 ya uwepo wetu nchini. Imekuwa ni safari iliyojaa ustahimilivu, mafanikio, na mchango mkubwa katika kusaidia biashara kuimarika, na hivyo kuchochea ukuaji na maendeleo ya taifa letu kwa ujumla,” aliongeza.

Kupitia Lipa na Stanbic, wateja wanaweza kupokea malipo kutoka kwa wateja wao kutoka kwenye mitandao yote ya simu pamoja na benki nyingine. Fedha zote huingia moja kwa moja kwenye akaunti za biashara za wateja wetu, jambo linalowezesha usimamizi bora wa mapato na kuboresha usalama wa kifedha wa mteja. Huduma hii ni salama na rahisi, na inarahisisha ukamilishaji wa mauzo kwa kutumia takwimu halisi za biashara. Huduma hii pia inamsaidia mteja kutengeneza historia ya miamala jambo litakalo saidia wakati anapotaka kuomba mkopo wa biashara kutoka benki yetu. Pia, kwa kutumia Lipa Simpo na Stanbic, wafanyabiashara hawatalazimika tena kutumia mashine nyingi za POS katika sehemu zao za biashara. Stanbic pia imejipanga kuwapatia wateja wake elimu ya kifedha ili kusaidia kuimarisha uendeshaji wa biashara zao,” alisema Sharon Mujuni, Mkuu wa Idara ya Miamala, Benki ya Stanbic Tanzania.

Monday, 14 April 2025

AKIBA COMMERCIAL BANK ENGAGES KARIAKOO CUSTOMERS TO BOOST FINANCIAL LITERACY & SME GROWTH

Managing Director, Mr. Silvest Arumasi (left) and Chief Commercial Officer, Ms. Wezi Olivia Mwazani engaging in follow-up discussion.

12/04/2025 - ACB Bank continues to demonstrate its unwavering commitment to customer-centricity and financial inclusion by engaging directly with Small and Medium-Sized Enterprises (SMEs) and entrepreneurs at Kariakoo — the heart of commerce in East Africa.

On 12th April 2025, Akiba Commercial Bank Plc organized a meaningful customer engagement session to listen to its SME clients, share valuable financial knowledge, and collaborate on developing solutions that promote growth and sustainability in their businesses. The event was well-received, with customers expressing their gratitude for the initiative, highlighting its positive impact on their businesses and financial understanding.

"We deeply value our relationship with the entrepreneurial community in Kariakoo, and we are proud to continuously listen to their challenges and work together to find solutions that truly make a difference," said M/s Wezi Olivia Mwazani, Chief Commercial Officer. "This engagement is part of our ongoing efforts to ensure that our customers are well-equipped with the tools and knowledge they need to succeed."

The session addressed critical topics such as access to financing, financial literacy, the importance of record-keeping, and how digital banking can help streamline business operations. The event provided an opportunity for open dialogue between the Bank and its customers, allowing the Bank to identify and respond to the evolving needs of the SME sector.

Friday, 11 April 2025

CRDB, TARURA WAZINDUA MIKOPO YA MAKANDARASI FEDHA ZA SAMIA INFRASTRUCTURE BOND


Dodoma, 10 Aprili 2025: Baada ya ufanisi mkubwa kwenye mauzo ya Samia Infrastructure Bond yaliyohitimishwa mapema Januari, Serikali imewataka makandarasi kote nchini kuchangamkia mikopo iliyoanza kutolewa na Benki ya CRDB.

Utoaji wa mikopo hiyo uliozinduliwa na Waziri wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa jijini Dodoma itatolewa kupitia mfumo maalumu ujulikanao kama Samia Financing Portal, utawaunganisha wadau wote watatu yaani Benki ya CRDB, Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) na mkandarasi hivyo kupunguza muda wa kushughulikia maombi ya mhusika.



Ni fahari kubwa kuona mafanikio ya juhudi za pamoja kati ya Serikali na sekta binafsi kupitia TARURA na Benki ya CRDB ambao kwa pamoja tulizindua Samia Infrastructure Bond mwishoni mwa mwaka jana. Fedha zilizopatikana kutokana namauzo ya hatifungani hiyo sasa zipo tayari kwa ajili ya kutekeleza malengo yaliyokusudiwa. Niwaombe makandarasi kuitumia vyema fursa hii wanapotekeleza miradi waliyoshinda,” amesema Waziri Mchengerwa.

Waziri amesema ushirikiano baina ya TARURA na Benki ya CRDB unakusudi akuondoa changamoto ya upatikanaji wa fedha za kutekeleza miradi kwa wakati ya barabara mijini na vijijini jambo litakalochangia kuharakisha maendeleo ya wananchi.



Fedha zote kiasi cha shilingi bilioni 323 ziizotokana na mauzo ya Hatifungani ya Samia Infrastructure Bond zitatumika kutekeleza miradi ya barabara inayosimamiwa na TAMISEMI.

Mfumo wa Samia Infrustructure Portal utarahisisha uchakataji wa maombi ya makandarasi ukitumia muda mfupi sana tofauti na ilivyo kwa mikopo mingine. Ni imani yangu na serikali kwa ujumla kuwa hali ya utekelezaji wa miradi itabadilika baada ya kuzinduliwa kwa mikopo hii itakayotolewa na Benki ya CRDB
,” amesisitiza Waziri Mchengerwa.

Mpaka tarehe 09 Aprili 2025, waziri amesema tayari imeshalipa madeni ya makandarasi zaidi ya 457 na malipo ya makandarasi wengine 322 yanakamilishwa na watalipwa na TARURA hadi kesho, Ijumaa ya tahere 11 ikiwa ni maelekezo ya Serikali kuhakikisha makandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali nchini wamelipwa fedha zao na hawakwamishwi.



Kabla ya kumkaribisha waziri, Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Vaxery Makwi amesema benki imekamilisha utaratibu wa ndani na sasa ipo tayari kuanza kuwawezesha makandarasi kutekeleza majukumu yao bila kikwazo cha kifedha.

NCBA BANK TANZANIA CLOSES 2024 WITH TZS 26 BILLION PROFIT AND RENEWED PURPOSE


NCBA Bank Tanzania has closed the year 2024 with a powerful declaration of growth and resilience, posting a Profit After Tax of TZS 26 billion, representing a 30% increase compared to 2023. This milestone performance is a result of a well-executed transformation strategy led by a visionary management team and a supportive Board of Directors all under the stewardship of Managing Director, Claver Serumaga.

After navigating the complexities of a post-merger restructuring, NCBA has emerged not just as a stable bank, but as one of the fastest-growing institutions in the Tanzanian banking space. A key highlight of the year’s performance is the bank’s Return on Equity (ROE) of 33.5%, demonstrating a strong return on shareholders’ investment and solidifying the bank’s ability to create sustainable value.

This achievement reflects more than financial metrics it tells the story of a leadership team that reimagined what the bank could become, invested in its people and technology, and committed to a strategy that prioritized impact as much as income.

One of the most significant milestones was the launch of NCBA Now, a digital banking platform that places the bank directly in the hands of customers enabling them to save, transact, borrow, and pay conveniently via mobile. NCBA Now has accelerated digital adoption across the bank’s portfolio and anchored its push toward modern, agile banking services.

Simultaneously, M-Pawa, NCBA’s mobile savings and lending product in partnership with Vodacom, recorded notable growth in 2024 giving thousands of Tanzanians access to quick loans and safe savings without visiting a branch. From rural farmers to city vendors, M-Pawa continues to open doors for financial inclusion across the country.

PUMA ENERGY YACHANGIA MITUNGI YA GESI KWA MBIO ZA MWENGE KUUNGA MKONO NISHATI SAFI

Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025, Bw. Ismail Ussi Ali (kushoto) akipokea msaada wa mitungi ya gesi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mauzo PumaGas wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Jeffrey Nasser (katikati), wakati wa shughuli za Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Chalinze, Mkoa wa Pwani. Msaada wa mitungi hiyo inayowalenga mama lishe na baba lishe pamoja na walemavu, ni sehemu ya jitihada za Puma Energy Tanzania kuunga mkono jitihada za serikali katika kuhamasisha matumizi na upatikanaji wa nishati safi ya kupikia kwa uhakika na gharama nafuu nchini kote.


Puma Energy Tanzania inaendelea kushirikiana na serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo imeshiriki katika hafla ya Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Chalinze zilizofanyika jana mkoani Pwani.

Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Bw. Ismail Ussi Ali akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa mitungi ya gesi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mauzo PumaGas wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Jeffrey Nasser (wa kwanza kulia), wakati wa shughuli za Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Chalinze, Mkoa wa Pwani.

Mkuu wa Kitengo wa Gesi ya PumaGas Bw. Jeffrey Nasser alikabidhi mitungi ya gesi kwa Mkuu wa Wilaya ya Chalinze Mhe. Shaibu Issa Ndemanga na Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 ndugu Ismail Ali Ussi.

Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025, Bw. Ismail Ussi (wa kwanza kushoto) Ali akisikiliza maelezo mara baada ya kupokea msaada wa mitungi ya gesi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mauzo PumaGas wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Jeffrey Nasser (wa kwanza kulia).

Hii ni dhamira ya kampuni ya kuendelea kuhakikisha jamii inakua salama na safi kwa kutumia nishati safi ya kupikia.

Wananchi wakifurahia bidhaa ya PumaGas waliyokabidhiwa kwa msaada wa kampuni ya Puma Energy Tanzania, wakati wa shughuli za Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Chalinze, Mkoa wa Pwani.

Thursday, 10 April 2025

WAZIRI MAVUNDE AUNDA TIMU KUISHAURI SERIKALI KUWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO KIUCHUMI

  • Timu yasheheni wataalamu wa kifedha, madini, wanasheria na wachimbaji
  • Lengo ni kuhakikisha watanzania wanajengewa uwezo wa kimtaji kwenye sekta ya madini
  • Asema ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia S. Samia kutengeneza mabilionea watanzania
Dodoma: Katika hatua ya kuimarisha sekta ya madini na kuwawezesha wachimbaji wadogo nchini kunufaika zaidi na rasilimali za madini, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ameteua timu maalum ya wataalam kutoka Serikalini na sekta binafsi kwa ajili ya kuishauri Wizara ya Madini namna bora ya kuwainua wachimbaji hao kiuchumi kupitia uchimbaji wenye tija.



Akizungumza jijini Dodoma Aprili 9, 2025, Waziri Mavunde amesema timu hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyetoa wito kwa Wizara kuhakikisha sekta ya madini inapiga hatua huku wachimbaji wadogo wakichimba kwa tija na manufaa makubwa zaidi na hivyo kuwajenga kiuchumi zaidi.



Kutokana na umuhimu wa Sekta hii ndogo ya uchimbaji madini mdogo, naomba nitumie nafasi hii kuwakumbusha kuwa, Sera yetu ya Madini ya Mwaka 2009 imeweka bayana kuwa, mkakati wetu ni kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini kwa kuhakikisha wanaendesha shughuli zao kisasa sambamba na kuhakikisha wanakuwa na taarifa za kutosha za kijiolojia katika maeneo yao ya uchimbaji, kukuza mitaji yao, utaalamu pamoja na utunzaji wa mazingira".



Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeweka dhamira ya kuongeza fursa za ajira kwa Watanzania kupitia Sekta mbalimbali ambapo madini ni mojawapo na kwamba Serikali kupitia Wizara ya Madini inakila sababu ya kuhakikisha kuwa, Sekta ya uchimbaji mdogo wa madini inaendelea kukuwa na inatoa fursa ya ajira kwa Watanzania.



Ili sekta ya madini ikue kwa kasi na tija zaidi, ni lazima tuwape nafasi kubwa Watanzania katika kushiriki moja kwa moja kwenye uchumi huu. Hii timu tumeiunda mahsusi kwa ajili ya kuhakikisha wachimbaji wadogo wanapata msaada wa kitaalam, mitaji, maeneo ya uchimbaji na teknolojia ya kisasa na kuweka mfumo mzuri wa kusaidia kutoka uchimbaji mdogo,kati mpaka mkubwa” Alisema Mavunde.

WAZIRI GWAJIMA AISHUKURU BENKI YA DCB KWA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, akionesha nakala ya mwongozo wa Uandaaji na Uratibu wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, katika hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu masuala ya uwezeshaji wa majukwaa ya uwezeshaji wa wanawake kiuchumi, jijini Dar es Salaam hivi karibuni, ambapo Benki ya Biashara DCB ilishiriki kama mmoja wa wadau muhimu katika suala zima la uwezeshaji wa wanawake kiuchumi

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, ameishukuru Benki ya Biashara ya DCB katika jitihada inazoonesha katika kuwawezesha wanawake wa kitanzania kiuchumi.

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, Bw. Ramadhan Mganga (kushoto), pamoja na mshiriki mwingine, akihudhuria hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu masuala ya uwezeshaji wa majukwaa ya uwezeshaji wa wanawake kiuchumi, jijini Dar es Salaam hivi karibuni, ambapo Benki ya Biashara DCB ilishiriki kama mmoja wa wadau muhimu katika suala zima la uwezeshaji wa wanawake kiuchumi.

Pongezi hizo alizitoa katika hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu masuala ya uwezeshaji wa majukwaa ya uwezeshaji wa wanawake kiuchumi.

Katika hafla hiyo iliyofanyika pamoja na zoezi la ugawaji wa nakala za vitabu vya Mwongozo wa Uandaaji na Uratibu wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Waziri Gwajima alisema majukwaa hayo muasisi wake ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, tangu akiwa makamu wa rais.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu masuala ya uwezeshaji wa majukwaa ya uwezeshaji wa wanawake kiuchumi, jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Kamati inafanya kazi na wadau mbalimbali, sekta zote, pamoja na taasisi mbalimbali zenye jukumu la kujenga fursa za kuwawezesha wanawake kiuchumi.

Mojawapo ni Benki ya DCB, Benki ya Biashara ya DCB ni benki yenye mipango, mikakati na fursa za kuwawezesha wajasiriamali mbalimbali kiuchumi, tukiziacha benki kama hizi katika kamati hii, tunaweza kupunguza muonekano wa fursa hizi.

TANZANIA HOSTS REGIONAL MEETING ON BLOOD DISORDER CARE

Former Muhimbili National Hospital Executive Director, Dr. Lawrence Museru, addresses participants during a two-day meeting focused on uniting East African countries in the fight against haemophilia and sickle cell diseases. The event, held in Dar es Salaam, was organized by the Haemophilia Society of Tanzania with support from the Novo Nordisk Haemophilia Foundation.

  • Tanzania this week hosted a regional health meeting focused on uniting East African countries in the fight against haemophilia and sickle cell disease.
  • The programme has trained hundreds of health workers, established 23 integrated clinics, and introduced new-born screening in remote regions.
  • Leaders from Kenya, Uganda, Rwanda, and Tanzania shared progress, lessons, and a joint vision for the future of blood disorder care.
Dar es Salaam, 9 April 2024: A regional health meeting held this week in Dar es Salaam brought together experts, health officials, and patient representatives from Kenya, Uganda, Rwanda, and Tanzania to reflect on progress in care for people with blood disorders and to strengthen cohesion across the region. The two-day event marked the close of a joint programme aimed at improving services for people with haemophilia and sickle cell disease and laid the groundwork for the next phase of collaboration.

Dr. Kibeti Peter Shikuku, Coordinator of the Expanding Access to Blood Disorders Care Program and representative of the Kenya Haemophilia Association, speaks to participants during a two-day meeting focused on uniting East African countries in the fight against haemophilia and sickle cell diseases.

Hosted by the Haemophilia Society of Tanzania with support from the Novo Nordisk Haemophilia Foundation, the meeting provided a space for countries to share lessons, review impact, and align future priorities. It also reinforced the importance of continued partnership between governments, health providers, and patient organisations.

Dr. Deo Soka, Executive Director of the Tanzania Sickle Cell Disease Alliance, delivers a presentation on sickle cell disease during the two-day meeting.

Prof Lawrence Museru, Executive Director of Muhimbili National Hospital, welcomed participants to Dar es Salaam and commended the programme’s achievements. He noted the value of cross-country learning and the importance of building on the progress made through strong institutional collaboration.

Dr Stella Rwezaula, Chairperson of the Haemophilia Society of Tanzania, makes a point during the two-day meeting.

In her opening remarks, Dr Stella Rwezaula, Chairperson of the Haemophilia Society of Tanzania, welcomed the regional partners and emphasised the role of shared experience in building stronger systems. “We are celebrating what we have achieved together while looking ahead with a unified vision. Tanzania is proud to be part of a regional effort that is transforming care for people with blood disorders.”

James Kago, Treasurer of the Kenya Haemophilia Association, speaks to participants during the two-day meeting.

Since its launch in 2023, the programme has helped train more than 660 healthcare providers across the four countries. Twenty-eight professionals received specialised training in South Africa, India, and Kenya. In Tanzania, nine of these specialists are now supporting services in seven referral hospitals including Rukwa, Manyara, Tabora, Tanga, Kagera, Zanzibar, and Mara.

A section of participants engage in a discussion during the two-day meeting.

PUMA ENERGY YAZINDUA AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI


Dar es Salaam, April 9, 2025: Kwa kushirikiana na shirika la Amend Tanzania, Puma Energy Tanzania imezindua awamu ya pili ya kampeni yake ya Usalama Barabarani inayojulikana kama ‘Be Road Safe Africa’. Mpango huu wenye kuleta mageuzi kwa usalama barabarani unalenga kuwawezesha watoto na kuboresha uelewa wa usalama barabarani katika jamii zao. 



Awamu ya pili itaendeleza jitihada zake katika shule za msingi zingine tano ambazo ni: Kisukuru (Tabata), Kunguru (Goba), Mjimpya (Kurasini), Ufukoni(Kigamboni), and Salasala (Salasala).



Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), duniani kote, majeraha ya barabarani ndio chanzo kikuu cha vifo kwa vijana wa umri kati ya miaka 10 na 19, pia ni chanzo cha tatu cha sababu zinachopelekea ulemavu wa maisha katika kundi hili, na vilevile chanzo cha tatu cha sababu zinazopelekea vifo kwa watoto wa miaka mitano mpaka tisa. Mbali na kusababisha kifo na ulemavu, majeraha ya barabarani yanaweza kuwa na athari za kudumu kwa watoto kutokana na mfadhaiko na msongo wa mawazo, kukatiza masomo, na kusababisha matatizo ya kiuchumi nyumbani kutokana na gharama kubwa za matibabu.



Katika vifo 31 kwa kila watu 100,000, WHO inaripoti kwamba vifo vinavyotokana na ajali za barabarani nchini Tanzania ni karibu mara 1.7 ya kiwango cha kimataifa na juu zaidi ya wastani wa Afrika.



Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) William Mkonda, aliongoza uzinduzi huo, akisisitiza dhamira ya serikali ya kupunguza ajali za barabarani zinazosababisha vifo vya maelfu ya watu kila mwaka.



Ajali za barabarani zimeendelea kuwa changamoto kubwa nchini Tanzania. Kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’ inaenda sambamba na jitihada zinazoendelea za serikali katika kuhimiza shughuli za usalama barabarani. Takwimu za Jeshi la Polisi Tanzania zinaonyesha kuwa mwaka 2024 pekee, nchi ilirekodi ajali 1,735 za barabarani ambapo ajali 1,198 kati ya hizo zilisababisha vifo vya Watu 1,715. Makosa ya kibinadamu, ikiwemo kupuuzia alama za barabarani, kuendesha gari kwa uzembe, na mwendokasi, vilichangia 97% ya matukio haya. Tunahimiza sekta binafsi na wadau wa usalama barabarani kuendelea kushirikiana na serikali kuelimisha na kuongeza uelewa kuhusu usalama barabarani,” alisema SACP Mkonda.

TRANSFORMING TANZANIA'S COOKING LANDSCAPE: A PATH TO CLEAN COOKING SOLUTIONS

Chef Iddi Salum showcasing a sample briquette to Joyce Msangi, the Coordinator of the CookFund Programme Investment Committee from the Ministry of Energy, during a committee meeting held in the Morogoro region.

Tanzania is at a critical juncture in its energy transition, with a growing emphasis on clean cooking solutions to address environmental, economic, and public health challenges. The nation’s reliance on biomass fuels—firewood and charcoal—has long been unsustainable, with deforestation, carbon emissions, and adverse health impacts disproportionately affecting vulnerable populations, particularly women and children.

The CookFund Programme, a five-year, €19.4 million initiative funded by the European Union (EU) and implemented by the United Nations Capital Development Fund (UNCDF) , has been instrumental in shaping Tanzania’s clean cooking energy mix. By supporting businesses engaged in the production, importation, distribution, and retail of clean cooking solutions, CookFund aims to increase the adoption of clean cooking technologies in urban areas of Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Dodoma, and Mwanza. In addition, the programme supports environmental management plans as mitigation measures to against charcoal production practices in Tabora and Tanga regions, as the nation embarks on its clean cooking strategy 2024 – 2034.

This article explores the significance of an energy mix in ensuring an inclusive and sustainable transition to clean cooking in Tanzania, focusing on the role of LPG, electricity, and bioethanol, presenting unique advantages and constraints in the country’s urban and peri-urban contexts.

Wednesday, 9 April 2025

TANZANIA AND ANGOLA FORGE STRATEGIC TRADE & INVESTMENT PARTNERSHIP

President Samia Suluhu Hassan received by her host, the President of Angola, João Lourenço, shortly after arriving at the Presidential Palace in Luanda, Angola on April 8, 2025.

In a significant step toward strengthening bilateral ties, Tanzania and Angola have signed a Memorandum of Understanding (MoU) aimed at boosting trade and investment between the two nations. The agreement was formalized during Tanzanian President Samia Suluhu Hassan’s official visit to Angola, marking a new chapter in economic cooperation.



Key Areas of Focus

The MoU outlines collaboration across several high-potential sectors:
  • 🌾 Agriculture
  • 🏭 Industry
  • 🏖️ Tourism
  • 🌊 Blue Economy
These sectors present numerous opportunities for mutual growth and are expected to benefit from enhanced investment and technology exchange.

Boosting Regional Trade Integration

Both countries committed to aligning the partnership with regional and continental trade frameworks such as:
  • The SADC Free Trade Area
  • The African Continental Free Trade Area (AfCFTA)
This alignment aims to create a more seamless flow of goods, services, and investments across borders, strengthening their positions in the African and global markets.

Strategic Infrastructure: The Lobito Corridor

High on the agenda was the Lobito Corridor project, a transformative transport and trade initiative that connects the Atlantic and Indian Oceans. Once fully operational, the corridor is expected to:
  • Enhance logistics efficiency
  • Improve market access
  • Deepen regional integration

Tourism and Mobility: Visa-Free Access

In a move to promote tourism and closer people-to-people connections, Tanzania has waived visa requirements for Angolan tourists. This policy is likely to stimulate tourism and support cultural and business exchanges.

This agreement signals a promising future for Tanzania-Angola relations, with wide-ranging benefits for businesses, investors, and citizens of both countries. As regional integration efforts gain momentum, such bilateral agreements will be crucial in unlocking Africa’s full economic potential.

AFRICAN COUNTRIES WITH ELON MUSK'S STARLINK IN 2025


By October 2023, Starlink was active in seven African countries: Nigeria, Kenya, Mozambique, Rwanda, Malawi, and Zambia. Since then, it has expanded to at least 18 countries across Africa.

In March 2025, Elon Musk’s Starlink went live in Niger after the country’s military government gave it a five-year license to operate.

That made Niger the latest African country to greenlight Starlink, right after its launch in Liberia earlier in January 2025. But the company’s Africa journey kicked off in January 2023, when it first launched in Nigeria, the continent’s most populous country.

Starlink came in with big promises, to boost internet access in Nigeria and eventually roll out across Africa, where only about 40% of the 1.3 billion people are online, the lowest internet penetration rate in the world.

But things haven’t gone smoothly everywhere. Starlink has been unable to operate in some countries due to issues like regulatory approval.

For example, despite being available in several neighbouring countries, Starlink is still not live in South Africa, Africa’s most developed economy.

Talks to bring it there have stalled multiple times, even as people look for better internet options.

Right now, Starlink serves over 2.6 million users worldwide, using a network of around 5,500 satellites that SpaceX started launching in 2019.