| Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025, Bw. Ismail Ussi Ali (kushoto) akipokea msaada wa mitungi ya gesi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mauzo PumaGas wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Jeffrey Nasser (katikati), wakati wa shughuli za Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Chalinze, Mkoa wa Pwani. Msaada wa mitungi hiyo inayowalenga mama lishe na baba lishe pamoja na walemavu, ni sehemu ya jitihada za Puma Energy Tanzania kuunga mkono jitihada za serikali katika kuhamasisha matumizi na upatikanaji wa nishati safi ya kupikia kwa uhakika na gharama nafuu nchini kote. |
No comments:
Post a Comment