Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Tuesday, 17 September 2024

VODACOM YATANGAZA WASHINDI WA DROO YA SABA YA KAMPENI YA NI BALAA!

Mshindi wa wiki ya saba ya kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi’ Elias Nakara (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni hiyo, George Venanty (kulia), katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha. Endelea kufanya miamala kwa kutumia M-pesa Super App au piga *150*00# pamoja na kununua vifurushi ili kujiongezea nafasi ya kushinda.
Meneja Masoko Kanda ya Kaskazini wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Sarah Mtawa (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa droo ya saba ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi Bw. Fred Lukumay (kushoto) katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala kwa kutumia M-Pesa super App au kununua vifurushi kwa kupiga *150*00#
Ni Balaa! Mshindi wa droo ya saba ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Bi Jane Shirima (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Msimamizi wa maduka ya rejareja wa Kanda ya Kaskazini Irene Mwinyi (kulia) katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha. Kupitia kampeni hii wateja wa Vodacom wanajiongezea nafasi za kushinda kila wakinunua vifurushi au kufanya miamala kupitia M-pesa Super App.
Meneja Mauzo wa Mkoa wa Arusha, Vodacom Tanzania Plc, Fredrick Laini (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa droo ya saba ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi Sia Hulbert (kushoto) katika hafla iliyofanyika dukani hapo. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala na kununua vifurushi kwa kutumia M-Pesa super App.
Ni Balaa! Mshindi wa droo ya saba ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Bi Cecilia Sambu (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa meneja wa duka la Vodacom Arusha Zeenath Mwindi (kulia) katika hafla iliyofanyika kwenye dukani hapo. Ikiwa ni mwendelezo wa kampeni hiyo, ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala na M-Pesa super App au nunua vifurushi kwa kupiga *150*00#

BENKI YA EXIM YAHITIMISHA KAMPENI YA “TAP TAP UTOBOE’’ KWA MAFANIKIO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Biashara za Kati wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo (pili kutoka kushoto) akizungumza wakati wa droo ya mwisho ya kampeni ya "Tap Tap Utoboe" iliyokuwa na lengo la kuhamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala kutumia simu za mkononi na mtandao. Droo hii ya mwisho imetoa washindi wakuu watatu akiwemo mshindi wa tatu aliyepata pikipiki, mshindi wa pili akijinyakulia zawadi ya Bajaj, na mshindi wa kwanza akiondoka na gari mpya aina ya Mazda CX-5. Wengine kutoka kushoto ni Lucy Katamba, Mkaguzi na Mdhibiti kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Stanley Kafu, Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim na Silas Matoi, Mkuu Njia Mbadala za Kidijitali wa Exim Bank, wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika katika Makao Makuu ya Exim mnamo tarehe 13 Septemba, 2024.

Dar es Salaam: Benki ya Exim Tanzania imehitimisha rasmi kwa mafanikio kampeni yake ya Kidijitali ya miezi mitatu iliyojulikana kama Tap Tap Utoboe, huku ikitangaza washindi wa droo kuu ya mwisho, waliojishindia zawadi ambazo ni gari jipya aina ya Mazda CX-5 kwa mshindi wa kwanza, Bajaj aina ya TVS kwa mshindi wa pili , na pikipiki aina ya boxer BMX kwa mshindi wa tatu. Lengo la kampeni hii ilikuwa ni kuhamasisha wateja wa benki ya Exim kufanya miamala yao kwa kutumia simu zao za mkononi na kupitia mtandaoni.


Washindi hao Geofrey Muganyizi, Irene Dominick, Bhavesh Gorecha walipatikana kupitia droo kubwa ya mwisho iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam chini ya usisamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania.


Akizungumza mara baada ya kutangazwa kwa washindi hao Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Biashara za Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo alisema tangu kuanza kwa kampeni hii mwezi Juni, zaidi ya wateja 200 wameshinda zawadi za fedha taslimu ambapo washindi 10 kila wiki walipata zawadi ya Shilingi 50,000/= huku washindi 10 kila mwezi wakipata zawadi ya shilingi 100,000/= kwa kipindi chote cha kampeni hii.

CRDB SECURES 790 BILLION INVESTMENT FOR MAHENGE GRAPHITE PROJECT

CRDB Bank Group Managing Director & Chief Executive Officer, Abdulmajid Nsekela (third right), alongside leaders from companies involved in the Mahenge Graphite Project during the signing ceremony for the project's financing agreement held in South Africa over the weekend. The project led by Faru Graphite Corporation has secured funding for its first phase. CRDB Bank facilitated this financing in collaboration with Development Bank of South Africa (DBSA) and Industrial Development Corporation (IDC) of South Africa. 
  • The Bank will play four roles: joint mandated lead arranger, facility agent, onshore account bank, and onshore security agent.
  • The project is poised to bring massive multiplier socio-economic incentives to Mahenge and Ulanga areas and to the nation at large.
Johannesburg, South Africa. 13th September 2024: CRDB Bank PLC is proud to announce the successful execution of a significant facility agreement by a consortium of the African leading financial Institutions to support the Tanzanian graphite mining project – the Mahenge Graphite Project. (Faru Graphite Corporation)


This milestone marks a key step forward in the development of this critical project and solidify the availability required of a debt funding of $153 million and further $26 million in the form of a bank guarantee to support the rehabilitation bond for the mine closure plan hence making a total of $179 million (TZS 790 billion) for the entire project.


CRDB Bank will play a central role in this agreement as Joint Mandated Arranger, Facility Agent, Onshore Account Bank, and Onshore Security Agent by providing a total commitment amounting to USD $66 million which includes USD $20 million as cost overrun facility, USD $20 million as working capital and USD $26 million as rehabilitation guarantee.


"At CRDB Bank, we are deeply committed to supporting strategic projects that drive sustainable development and create lasting impact. Our involvement in the Mahenge Graphite Project demonstrates our unwavering belief in the potential of Tanzania and Africa at large. By working together with leading institutions, we are not only funding a critical supply chain for battery minerals but also empowering local communities with jobs, infrastructure, and business opportunities. This project is a testament to what can be achieved when we invest in Africa's future," says Abdulmajid Nsekela, Group CEO and Managing Director of CRDB Bank.


CRDB Bank's involvement in this consortium is a testament to its robust ability to facilitate large-scale projects that enhance the local content framework and capitalize on its extensive regional and international financial networks. The consortium also includes the Development Bank of Southern Africa (DBSA) with a commitment of $59.6 million and the Industrial Development Corporation (IDC) with a commitment of $53.4 million


Ultimately, for the project to reach a production stage, Mr. Nsekela clarifies that it will also require funding in the form of Equity and Off-take Prepayment (POSCO), the combined financial support of $179 million in debt facilities and rehabilitation guarantee is very instrumental in derisking the project towards development and attest the strong confidence and commitment of the participating banks to supporting strategic projects that drive sustainable development and economic growth.

TAMISA LAUNCHES TO TRANSFORM TANZANIA'S MINING SUPPLY SECTOR

The Minister of Minerals, Hon. Anthony Mavunde (right) officially launches the Tanzania Mining Industry Suppliers Association (TAMISA) in Dar es Salaam. The Association is set to drive local content, empower suppliers, and foster sustainable growth in Tanzania’s mining sector.
  • Mining suppliers unite under TAMISA
Dar es Salaam, September 15, 2024: In a landmark development for Tanzania’s mining industry, the Tanzania Mining Industry Suppliers Association (TAMISA) has officially launched, setting a new standard for local content and supplier empowerment. This pivotal organization aims to revolutionize the mining supply and service sector by forging meaningful connections among companies, advocating for supplier interests, and advancing local content policies that drive sustainable economic growth. TAMISA’s launch represents a major step forward in integrating Tanzanians into the mining sector, ensuring that the country’s mineral wealth benefits local communities directly while fostering a culture of innovation and business sustainability.


At the launch event, Hon. Anthony Mavunde, Minister of Minerals and Guest of Honour, praised TAMISA’s commitment to local content policies. “Integrating Tanzanians into the mining sector through local content is essential for sustainable growth. TAMISA’s formation as the official collective voice of mining suppliers will enhance our efforts to address local content challenges and ensure that our mineral wealth benefits our citizens directly,” stated Hon. Mavunde.

He also outlined the government’s broader vision: “We envision Tanzanian companies not just participating in the mining sector but actively manufacturing mining equipment and products. By prioritizing domestic employment and the use of locally produced goods and services, we aim to foster economic growth, reduce dependency on foreign inputs, and stimulate job creation and skills development. TAMISA’s establishment under the Tanzania Private Sector Institute provides mining suppliers with a crucial platform to advocate for their rights and contribute to a more robust business environment.”

BENKI YA DCB KUENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Bi. Zawadia Nanyaro (wa nne kulia) akishikana mikono na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Biashara ya DCB, Bw. Sabasaba Moshingi baada ya kumaliza Mkutano Mkuu wa 22 wa Mwaka wa Wanahisa wa benki hiyo uliofanyika kwa njia ya mtandao jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Bi. Zawadia Nanyaro , akizungumza na wanahisa wakati wa Mkutano Mkuu wa 22 wa mwaka wa Wanahisa wa benki hiyo uliofanyika kwa jijini Dar es Salaam. Bi. Zawadia alisema DCB Itaendelea kusimamia misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ni kusaidia miradi endelevu ya kupunguza umasikini, kuendeleza jamii na kutoa huduma bora zinazokidhi mahitaji halisi ya kila siku ya wateja wao.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Biashara ya DCB, Bw. Sabasaba Moshingi , akizungumza na wanahisa wakati wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa benki hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Bwana Moshingi aliwaambia wanahisa kuwa DCB chini ya uongozi wake, kwa kushirikiana na Bodi pamoja na wafanyakazi wote wamejizatiti kuandika upya historia ya benki hiyo na hii ikianza kuonekana baada ya DCB kufanya vizuri katika robo ya kwanza na ya pili mwaka huu.
Mwanasheria Mshauri wa Benki ya Biashara ya DCB, Bw. Alex Mgongolwa, akizungumza na wanahisa wakati wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa benki hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bodi ya Ukaguzi na Usimamizi wa Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Tadeo Satta, akizungumza na wanahisa wakati wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa benki hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Bw. Sabasaba Moshingi (kulia) akizungumza na baadhi ya wawakilishi wa wanahisa wa benki hiyo wakati wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa benki hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Bw. Selemani Kateti, Mwakilishi kutoka UTT AMIS, Bw. Medson Enock na Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni, Bw. Rajab Gondomo.
  • Yajivunia kutoa mikopo ya zaidi ya Shilingi bilioni 740 tokea ilipoanzishwa
Benki ya Biashara ya DCB imesema itaendelea kusimamia misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ni kusaidia miradi endelevu ya kupunguza umasikini, kuendeleza jamii na kutoa huduma bora zinazokidhi mahitaji halisi ya kila siku ya wateja wao.

Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Mwaka wa Wanahisa wa Benki ya Biashara DCB, Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Sabasaba Moshingi alisema, tokea kuanzishwa kwa DCB, takriban miaka 22 iliyopita benki hiyo imeendelea kukua mwaka hadi mwaka ikiendelea kutoa masuluhisho tofauti kwa wateja wake wa kada zote na hivyo kudhihirisha ukweli kuwa DCB ni ‘Mkombozi wa Kweli’ wa maisha ya watanzania.

Ikiwa ni Mkutano wake Mkuu wa kwanza tokea ajiunge na DCB, Bw. Moshingi akileta uzoefu wake wa miongo kadhaa katika tasnia za kibenki anasema benki inaendelea kujivunia kuwa kiongozi katika kuleta ufumbuzi wa tatizo la mitaji ya kibiashara kwa wajasiriamali wadogo wadogo kwa kuingiza sokoni bidhaa zenye ubunifu na kwa kutumia teknolojia za kisasa zinazoendana na mageuzi ya sayansi na teknolojia yanayoendelea duniani kote.

BRITAM AWARDS FREE HEALTH INSURANCE DURING ANNUAL BIMA WALK


Dodoma, 13th September 2024 – In a significant move to support the government’s efforts to ensure that all citizens have access to health insurance, Britam Insurance Tanzania awarded free health insurance during the annual Bima Walk held in Dodoma.

The walk which brings together other key insurance industry players served as an opportunity to highlight the critical importance of insurance coverage among Tanzanians.The event, organized as part of efforts to boost public understanding of insurance, saw a large turnout of participants from the region.

As part of the initiative, Britam awarded one lucky participant from a raffle draw with a free Afya Care health insurance cover to Samwel Joel. The winner was graced with a comprehensive health insurance package offering both Inpatient and Outpatient benefits. Afya Care insurance plan offers 12 custom made packages to choose from that provides different level of benefits. This generous prize aligns with the company’s commitment to providing affordable health insurance solutions to Tanzanians and complements the government’s ongoing efforts under the Universal Health Act.

The District Commissioner of Chamwino, Hon. Janeth Mayanja stated “Insurance education should continue to be provided to the public so they can use it for their benefit. Insurance plays a vital role in our country's economic stability and social welfare. By ensuring that more citizens are covered, we are not only protecting their health and financial well-being but also promoting a culture of responsibility and preparedness".

Friday, 13 September 2024

SERIKALI YAAHIDI MAKUBWA KONGAMANO LA UWEKEZAJI AFRIKA MASHARIKI 2024


Serikali ya Awamu ya Sita imesema ipo tayari kuunga mkono uwekezaji katika sekta ya urahisishaji wa miamala ya Kifedha (FINTECH) barani Afrika na kuona namna gani serikali inaweza kufanya kazi kwa urahisi na Makampuni yanayorahisisha makampuni ufanyaji wa miamala na kufanya gharama kuwa ndogo kwa Wananchi.



Hayo yamebainishwa na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bi. Sauda Msemo wakati akifungua Kongamano kubwa la wafanyabiashara Afrika Mashariki "East Africa Investment Forum" lenye lengo la kuunganisha wafanyabiashara hususani watoa huduma za kifedha kwa njia ya mtandao kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati, Kongamano lililoandaliwa kwa ushirikiano na vyama vikuu vya FINTECH kutoka Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na Tanzania, linalofanyika kwa Siku 2 (Septemba 12-13).



Akizungumza baada ya Ufunguzi wa Kongamano hilo, Katibu Mkuu Mtendaji wa Umoja wa Makampuni yanayotoa Huduma za Kifedha kupitia Teknolojia Tanzania (TAFINA), Bw. Shedrack Kamenya amesema zaidi ya Wawekezaji 10 wameshiriki Kongamano hilo, na lengo kubwa la kuwaleta pamoja watoa Huduma za Kifedha, Watunga Sera, Wawekezaji na wadau wa SEKTA ya Huduma za Kifedha barani Afrika limetimia.



Kauli mbiu yetu ni "Wekeza na Ingia Ubia", "Invest and Partner" katika utoaji wa Huduma za Kifedha, jukwaa hili limekusudia kupambanua mada mbalimbali katika eneo wa uwekezaji katika Huduma za Kifedha lakini pia tutaangazia mazingira ya kisera ambayo yatarahisisha upatikanaji wa Mitaji kwa watoa Huduma pamoja na upotevu wa fedha unaotokana na Uhalifu wa Kimtandao (Cyber Security) na maeneo mengine kadha wa kadha ambayo tutaangazia, amesema Bw. Kamenya.



Kongamano hili linaendelea kwa siku mbili, Septemba 12 & 13 Jijini Dar Es Salaam.

Kwa upande mwingine, mmoja wa washiriki wa Kongamano hili la Kihistoria, Bw. Alfred Tembo amewapongeza TAFINA kwa kuwaunganisha pamoja katika Kongamano hilo.

USIKOSE MBUNGI LA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NDANI YA DStv PEKEE


Piga *150*53# kulipia

Thursday, 12 September 2024

NAIBU WAZIRI WA HABARI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TIGO

Kaimu Afisa Mkuu wa Tigo, Jerome Albou (kushoto) akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (kulia) alipotembelea Makao Makuu ya Tigo, ikiwa ni ziara ya Naibu Waziri kutembelea makampuni ya Mawasiliano nchini kwa lengo la kujionea utendaji kazi katika makampuni haya. Katika ziara yake Naibu Waziri alitembelea Makao Makuu ya Tigo na kupokelewa na Menejimenti na baadae akapata fursa ya kutembelea Call Center /Kituo cha Huduma kwa Wateja pamoja na Kituo cha Data (Data Centre).



VODACOM REMAINS MARKET LEADER, BANKS ON NETWORK INVESTMENTS & INNOVATION

  • Ended the year with a 16.9% increase in customer base to 19.6 million and a 15.1% rise in data users to 10.1 million.
  • Invested in network infrastructure accelerating 4G and 5G roll-out, and modernizing IT infrastructure.
  • Positively contributed to promoting financial inclusion and bridging the digital divide through M-Pesa service offerings, innovative initiatives in digitizing critical sectors.
Dar es Salaam - September 11, 2024: Vodacom Tanzania PLC, Tanzania’s leading technology and communication company held its Annual General Meeting where the Annual Integrated Report for the financial year ending 31 March 2024 was presented to the shareholders. The report provides an overview of Vodacom Tanzania’s business, business model, and operating environment and reviews its strategy, operational and governance performance for the financial year.

Vodacom Tanzania Board Chairman, Judge Thomas Mihayo (retired), addresses the press in Dar es Salaam following the company's annual shareholders' meeting. From left is Vodacom Tanzania CEO - Philip Besiimire, Board Member - Margaret Ikongo and Chief Financial Officer - Hilda Bujiku.

In his address to the shareholders, Justice (Rtd) Thomas Mihayo, the Chairman of the Board of Directors of Vodacom Tanzania Plc. touched on the operating environment of the past year and the company’s resilience noting that Vodacom had managed to maintain its leading position both in terms of market share and customer satisfaction opinion, measured by a tool called Net Promoter Score (NPS).


“Our investments in infrastructure and innovative products have been strengthened by improved government-business dialogue and regulatory certainty. The removal of the levy on peer-to-peer mobile money transactions is a key example of this positive change. Moreover, our ability to grow and deliver value is underpinned by the contributions of all our stakeholders and customer centricity. This is confirmed by our leading position in customer net promoter score, ending the year with a strong double-digit lead over our closest competitor,” he said.


Vodacom’s annual report indicates that the company’s financial performance has been strong, with EBITDA growth close to 20%, supporting a 65% increase in operating profit and a net profit after tax of TZS53.4 billion.


“This success is due to our comprehensive cost optimization program, which was implemented without compromising customer experience or investments. Given this robust financial performance, the Board has approved a final dividend of TZS 11.93 per share which corresponds to 50% of our profit after tax, in line with our dividend policy. On behalf of the Board, I express our collective appreciation to Vodacom’s executive team, employees, and business partners for their contributions to this year’s successful performance,” concluded Justice Mihayo.

On his part, the company’s Managing Director, Philip Besiimire mentioned that the resilience and effective strategy execution, supported by a favourable regulatory and policy environment being the main reasons behind the company’s strong performance. Notable regulatory developments over and above the removal of levies on peer-to-peer transfers are reduced right-of-way fees for communications infrastructure, the government’s pro-investment and private sector-supportive policies, coupled with substantial public investment. These have provided valuable policy certainty, encouraging the management to confidently plan and invest in the country’s future.

FIRST AIRBUS A321NEO JOINS KLM ROYAL DUTCH AIRLINES FLEET

  • The Airbus A321neo and A320neo will replacing older Boeing 737s on European routes.
  • These new-generation aircraft are fuel efficient, emit less emissions and have wider seats, larger tables and more spacious luggage bins.
  • For intercontinental flights, KLM will be adding five new Boeing 787-10s and will then replace its older 777s and A330s with Airbus A350s.
NAIROBI, Kenya, September 9, 2024 – KLM Royal Dutch Airlines has unveiled its first Airbus A321neo, as it begins the journey to replace its Boeing 737 fleet with cleaner, quieter and more efficient aircraft and flight operations.


The new aircraft are equipped with new engines that emit less CO2 than their predecessors. Measured per passenger tonne kilometre, the A321neo is around 21 percent more fuel efficient than the Boeing 737 aircraft it replaces. Additionally, the aircraft has halved its noise footprint causing far less disturbance along its flight paths.


KLM’s President and CEO, Marjan Rintel, said: I’ve been looking forward to this with great anticipation. The arrival of the first A321neo marks the start of replacing our Boeing 737 fleet. The A321neo produces less noise and CO2 and therefore contributes significantly to a cleaner, quieter future. It also offers more comfort. I am looking forward to seeing how our passengers will experience the new aircraft”.


Introductions that give butterflies

The first of the replacement A321neos, christened Butterflies, touched down at the Amsterdam Airport Schipol last week and will be serving several European destinations as from mid-September. More routes will be served with new planes in the next few years, as KLM commits to invest seven billion euros in its fleet renewal programme.

BENKI YA STANBIC INASHIRIKI KATIKA WIKI YA AZAKI 2024 JIJINI ARUSHA

Doreen Dominic, Mkuu wa Kitengo cha Sekta ya Umma wa Benki ya Stanbic.
  • Benki ya Stanbic inashiriki Wiki ya Azaki 2024, ikipigia debe ufadhili endelevu na ujumuishaji.
  • Mada kuu ni pamoja na haki ya kiuchumi ya wanawake, uwezeshaji wa vijana, na fursa za AfCFTA.
  • Benki ya Stanbic inatoa maarifa ya Ripoti ya Barometer ya Biashara, ikilenga biashara ya kuvuka mipaka na suluhisho maalum.
Arusha, 9 Septemba 2024 – Benki ya Stanbic Tanzania inajivunia kushiriki katika Wiki ya Asasi za Kiraia (Azaki) ya mwaka huu, tukio lenye ushawishi mkubwa linalowaleta pamoja mashirika ya kiraia (Azaki), wadau wa serikali, na viongozi wa sekta binafsi kushirikiana na kuendeleza ajenda ya maendeleo endelevu ya Tanzania. Hili tukio linafanyika kuanzia tarehe 9 hadi 13 Septemba 2024 huko Arusha, na lina kaulimbiu ya “Sauti, Dira, Thamani”, wito wa kuchukua hatua ambao unalingana kikamilifu na dhamira ya Benki ya Stanbic ya kuwezesha jamii, kukuza ujumuishaji wa kifedha, na kuunga mkono malengo ya Dira ya Tanzania 2050.

Katika hotuba yake ya ufunguzi, Doreen Dominic, Mkuu wa Sekta ya Umma katika Benki ya Stanbic, alisisitiza umuhimu wa ufadhili endelevu katika kuchochea ukuaji wa Tanzania. “Wiki hii ni kumbukumbu yenye nguvu wa mshikamano kati ya Azaki na jukumu muhimu walilonalo katika kuendeleza malengo ya maendeleo ya Tanzania,” alisema Dominic. “Kaulimbiu ya ‘Sauti, Dira, Thamani’ inafafanua vizuri dhamira yetu ya pamoja ya kuunda mustakabali jumuishi na wenye ustawi. Kwa Benki ya Stanbic, hatujishughulishi tu na masuala ya kifedha bali tumewekeza katika ukuaji wa muda mrefu wa kutoa suluhisho maalum la kifedha litakalowezesha jamii nchini.”

Ushiriki wa Benki ya Stanbic katika Wiki ya Azaki unaonyesha kujitolea kwake kwa dhati katika kuchochea uchumi jumuishi kwa kupitia programu kama Biashara Incubator na Uwezeshaji wa Kiuchumi wa Wanawake (Women’s Economic Empowerment), benki imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia wakulima wadogo na wajasiriamali, na kuchangia ongezeko la 40% katika uthabiti wa kiuchumi wa walengwa. Dominic alisisitiza kuwa programu hizi zinaonyesha dhamira ya Stanbic kuhakikisha kuwa Watanzania wote wanapata nyanja za kifedha wanazohitaji ili kufanikiwa. “Jukumu letu wiki hii ni kuendelea kuwawezesha Watanzania kupitia suluhisho maalum zinazochochea athari chanya za muda mrefu,” alisema.

Tuesday, 10 September 2024

ABSA CUSTOMERS TO WIN 3 SUBARU FORESTERS IN "SPEND & WIN" CAMPAIGN

Absa Bank Tanzania Chief Financial Officer, Mr. Bernard Tesha (right), Head of Retail Banking, Ms. Ndabu Swere and Marketing and Communications Manager, Mr. Beda Biswalo, display the keys to three brand-new 2014 Subaru Forester cars, to be won by the winners of the just-launched Absa "Spend and Win" card usage campaign during a function in Dar es Salaam.
Absa Bank Tanzania Chief Financial Officer, Mr. Bernard Tesha, cuts a ribbon to officially launch Absa's "Spend and Win" card usage campaign in Dar es Salaam. On the left is Absa Head of Retail Products and Strategy, Mr. Heristraton Genesis, and Head of Retail Banking, Ms. Ndabu Swere.
Absa Bank Tanzania Head of Retail Banking, Ms. Ndabu Swere (5th left), and the bank's Chief Financial Officer, Mr. Bernard Tesha, cut a ribbon to officially launch Absa's "Spend and Win" card usage campaign in Dar es Salaam.

Dar es Salaam, [10/09/2024]: Absa Bank Tanzania has launched a “Spend & Win” campaign, an exciting promotion aimed at encouraging the use of digital banking channels while offering customers the chance to win a brand-new Subaru Forester 2014 model each month for the next three months. The campaign underscores the bank’s commitment to driving financial inclusion and aligns with its purpose of “Empowering Africa’s tomorrow, together, one story at a time” and its brand promise “Your story matters.”


Speaking at a media briefing held at Palm Village, Absa Bank Tanzania Chief Financial Officer, Mr. Bernard Tesha who was representing the bank’s Managing Director Mr. Obedi Laiser, emphasized the campaign’s focus on promoting digital adoption across the country.


“We have made significant investments in digital transformation to ensure we meet the evolving needs of our customers while supporting the government’s agenda for increased financial inclusion,” said Mr. Tesha. “The ‘Spend & Win’ campaign is designed to encourage more Tanzanians to adopt digital banking solutions, such as our debit and credit cards, which provide safety, convenience, and access to a range of banking services.”


The campaign, which runs from 10th September 2024 to 10th December 2024, will see one lucky customer each month win a Subaru Forester 2014 model. The Forester, known for being one of Subaru’s top-selling SUVs and voted one of the safest cars in the market, aligns with Absa's commitment to customer safety. Mr. Tesha linked the vehicle’s renowned safety to the security of Absa’s card transactions.

U.S. GOVT. LEADS BOLD "COUNTERATTACK" AGAINST HIV AT NDONDO CUP 2024

Moses Bateganya, a USAID representative (second left) awards Kassim Hussein who was named the player of the match during the opening of Ndondo Cup tournament in Dodoma between Kikuyu FC and Nkuhungu Terminal FC. The United States Government, through the Breakthrough ACTION project and in partnership with the Ministry of Health and the President’s Office - Regional Administration and Local Government (PO-RALG), celebrated the kick-off event of the Ndondo Cup 2024 football tournament in Dodoma, where thousands of youth accessed vital HIV and immunization services through ‘SITETEREKI’ youth campaign and ‘Kuwa Bingwa,’ focusing on immunization promotion. Right is Anthony Mavunde who is the Minister of Minerals and Member of Parliament for Dodoma Constituency and left is Evangelina Chihoma from PEPFAR.

The U.S. Government, through USAID and PEPFAR, initiated a strategic "counterattack" against HIV during the Ndondo Cup in Dodoma, which began on September 8, 2024. This grassroots soccer tournament serves as a robust platform for health intervention, especially targeting underserved young men and boys. Building on the success of previous Ndondo Cup events across Tanzania, where tens of thousands accessed HIV testing and vaccination services, this year's approach integrates essential public health services into a community celebration to ensure that vital HIV prevention and treatment resources reach those in need.

Central to this initiative is the ‘SITETEREKI’ youth campaign, aimed at engaging individuals aged 15-24 by empowering them with key HIV information and facilitating access to essential services. Moses Bateganya of USAID emphasized the campaign’s innovative spirit, stating, “We believe that sports can be a powerful force for promoting behavior change and improving access to services." As part of broader efforts through the Breakthrough ACTION project, the Ndondo Cup exemplifies effective community-centered strategies in Tanzania's fight against HIV, showcasing how sports can be leveraged for health intervention and youth empowerment.

GUINEA vs TANZANIA; MBUNGI LA KUFUZU AFRICA CUP OF NATIONS MOROCCO 2025


Monday, 9 September 2024

GEITA GOLD MINING PLEDGES UNWAVERING SUPPORT FOR TANZANIA SDGs

Country Gender Lead - International Finance Corporation (IFC), Anna Mushi (second left) presents SDGs business awards to Geita Gold Mining Limited’s (GGML) Public Relations and Communications Manager, Stephen Mhando (first left) for supporting and driving the implementation of SDGs in Tanzania. Others are Senior Travel & Events Supervisor, Layla Mohammed (second right) and GGML's Finance & Administration Officer, Njile Mabula (first left).

Geita Gold Mining Limited (GGML), has reaffirmed its unwavering commitment to collaborating with the Tanzanian government and other stakeholders to ensure the country's steady progress in achieving the United Nations' Sustainable Development Goals (SDGs) by 2030.


The steadfast resolve was articulated by GGML's Public Relations and Communications Manager, Stephen Mhando, speaking on behalf of the company's Managing Director, during the prestigious awards ceremony organized by the Global Compact Network Tanzania (GCNT).


The event recognized businesses and organizations that have demonstrated exemplary leadership in driving the implementation of SDGs and delivering positive impact on communities and the environment.

Held in Dar es Salaam at the end of the week, the awards ceremony witnessed GGML securing two significant accolades, a testament to the company's tireless efforts in realizing and fulfilling these transformative goals.

"Cognizant of the importance of the SDGs, GGML, as a frontrunner in implementing critical aspects of these goals, has continued to sponsor these awards to acknowledge and celebrate the contributions of Tanzanians in achieving these sustainable objectives," Mhando affirmed.

According to Mhando, GGML's commitment to the SDGs aligns seamlessly with the company's core principles of sustainability, excellency, and collaboration.