Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi Supermarket (Afrika mashariki), Jonathan Ciano (kulia) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik katika ufunguzi wa Tawi jipya la Uchumi lililoko Mbezi Kawe karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akiongea na wasambazaji na wafanyakazi wa Uchumi Supermarket wakati wa uzinduzi wa tawi jipya lililopo Mbezi-Kawe jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika katika tawi hilo Mbezi-Kawe karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Nyamagana Mwanza Ezekiel Wenje (katikati), akichagua moja ya tiketi katika shindano la kumtafuta mshindi wa shindano lijulikanalo kama "Mimi Mwana Hisa". Kulia ni mkaguzi mwandamizi toka bodi ya michezo ya kubahatisha Emmanuel Ndaki, na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi Supermarket (Afrika mashariki), Bw. Jonathan Ciano. Hafla hiyo ilifanyika katika tawi jipya la Uchumi lililopo Mbezi-Kawe karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Nyamagana Mwanza, Ezekiel Wenje (katikati), akinyosha juu moja ya tiketi katika shindano la kumtafuta mshindi wa shindano lijulikanalo kama "Mimi Mwana Hisa". Kulia ni mkaguzi mwandamizi toka bodi ya michezo ya kubahatisha, Emanuel Ndaki na kushoto ni mkurugenzi wa Uchumi Supermarket, (Afrika mashariki) Jonathan Ciano na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick, ambapo Elizabeth Robert aliibuka mshindi wa shindano hilo. Hafla hiyo ilifanyika katika tawi jipya la Uchumi lililopo Mbezi-Kawe karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi mwandamizi toka bodi ya Michezo ya kubahatisha Emmanuel Ndaki, (kulia), akionyesha namba ya mshindi wa "Mimi Mwanahisa”. Katikati ni Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi Supermarket (Afrika mashariki) Jonathan Ciano. Elizabeth Robert mkazi wa jiji la Dar es salaam alijishindia zawadi ya hisa zenye thamani ya milioni tano za kitanzania.
Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi Supermarket, (Afrika mashariki) Bw. Jonathan Ciano (kushoto) akiweka Saini kwenye mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh Milioni Tano, baada ya mkazi wa kinondoni kushindia kiasi hicho katika Shindano lililoendeshwa na kampuni hiyo lililojulikana kama “Mimi Mwana Hisa”. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick, na katikati ni Meneja Mkuu wa Uchumi Tanzania Chris Lenana na Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wanje. Droo hiyo ilichezeshwa katika tawi jipya la Uchumi lililoko Mbezi- Kawe karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (katikati), akikata Utepe kama ishara ya uzinduzi wa tawi jipya la Uchumi Supermarket lililoko Mbezi-Kawe karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik na Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi Supermarket (Afrika mashariki) Bw. Jonathan Ciano na Meneja wa Uchumi Supermark tawi la Mbezi-Kawe, Bw. Evans Munga wakikata keki baada ya uzinduzi wa tawi jipya la Uchumi lililopo Mbezi-Kawe, karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.
Maduka makubwa yanayoongoza Tanzania ya “Uchumi supermarkets” yameendesha droo ya mwisho ya kampeni yao ijulikanayo kama “Mimi Mwanahisa promosheni” iliyofanyika katika tawi lake jipya la Mbezi-Kawe.
Hafla hiyo ilishuhudiwa na Mheshimiwa Said Meck Sadik- Mkuu wa Mkoa Dar es salaam ambaye pia alikua mgeni rasmi, Mheshimiwa Ezekiel Wenje-Mbunge wa jimbo la Nyamagana pamoja na mkurugenzi mtendaji wa Uchumi Afrika mashariki Bw. Jonathan Ciano.

.jpg)

.jpg)

.jpg)

.jpg)
.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)