Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 21 January 2015

MSHINDI WA MTOKO WA MBUGANI BAADA YA KUWEKA SAINI KWENYE MKATABA WA SAFARI YAKE

Mshindi wa mtoko wa mbugani kwenye promosheni ya "Tutoke na Serengeti", Bw. Deogratius Peter Bongole (24) kutoka Rombo mkoani Kilimanjaro akiwa anapewa maelekezo kuhusu safari yake ya kwenda Mbuga ya wanyama ya Serengeti baada ya kutia saini kwenye mkataba wake wa safari hiyo . Akiwa na Meneja mauzo Mkoa wa Kilimanjaro, Orest Mmbaga (kushoto) na Afisa mauzo Moshi mjini, Huruma Daniel (kulia) wakati alipofika katika ofisi za Serengeti Breweries, Mkoa wa Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment