Kwa sasa inashiriki kwa mwaka wa nne mfululizo, Benki ya Stanbic inaendelea kushirikiana na washirika wa mashirika ya kiraia katika kuendeleza masuluhisho ya kifedha ya kibunifu na yaliyolengwa ambayo yanashughulikia mahitaji ya maendeleoya muhimu. Akizungumza wakati wa kongamano la ufunguzi, Mkuu wa Sekta ya Umma Benki ya Stanbic, Doreen Dominic alisisitiza jukumu la benki hiyo kama mshirika wa kuongeza thamani katika kuwezesha jamii na kusaidia maendeleo ya muda mrefu ya kijamii na kiuchumi.
"Tunaamini kwamba maendeleo ya kweli hutokea pale taasisi za fedha na asasi za kiraia zinafanya kazi pamoja. Stanbic, tumejitolea kutengeneza njia za maendeleo kupitia ufadhili jumuishi. Tunapoadhimisha miaka 30 ya ukuaji nchini, tunaendelea kujitolea kufanya kazi bega kwa bega na asasi za kiraia, sekta binafsi na serikali ili kufungua uwezo kamili wa jamii zetu. Tanzania ni nyumbani kwetu, na kwa pamoja, tunatengeneza njia sahihi ya baadaye." Alisema Bi Dominic.
Wiki nzima, Benki ya Stanbic itakuwa na Kituo cha Elimu ya Kifedha kwenye banda lake, ambapo wataalam wa masuala ya fedha walioidhinishwa wanatoa vipindi vya elimu ya kifedha bila malipo kwa washiriki. Aidha, benki hiyo itafanya semina ya uwezeshaji wa kifedha mjini Karatu siku ya Jumatano, itakayowalenga wajasiriamali wa ndani na jamii kupitia Kiatamizi chake cha Stanbic Biashara (Stanbic Biashara Incubator).
Ushiriki wa Benki ya Stanbic katika Wiki ya AZAKi 2025 inawiana na dhamira yake ya muda mrefu ya kuwa zaidi ya taasisi ya kifedha—inayotumika kama kichocheo cha fursa, uthabiti, na ukuaji shirikishi nchini Tanzania.
Kwa habari zaidi, tafadhali wasiliana na:
Jina: Dickson Senzi
Cheo: Meneja Mwandamizi wa Mawasiliano
Barua Pepe: Dickson.Senzi@stanbic.co.tz
Kuhusu Benki ya Stanbic Tanzania
Benki ya Stanbic ni taasisi inaloongoza kwa huduma za kifedhaukanda wa Afrika Mashariki, iliyojitolea kukuza maendeleo yakiuchumi na ukuaji jumuishi. Kupitia masuluhishomchanganyiko ya kifedha na kuzingatia kwa dhati uvumbuzi nahuduma inayowalenga wateja, Benki ya Stanbic inasaidiabiashara, watu binafsi na serikali katika kufikia mafanikioendelevu. www.stanbicbank.co.tz

No comments:
Post a Comment