Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 29 March 2024

PANDA TUKUPANDISHE USIKOSE MAN CITY vs ARSENAL


Zimebaki siku 3 tu ofa ya Panda Tukupandishe ndani ya @dstvtanzania kuisha.


Changamkia ofa hii mapema kwa kupiga *150*53# ili uweze kulipia kifurushi cha juu yako ili upandishwe cha juu zaidi!


Changamkia ofa hii mapema kwani mwisho wa kulipia ni tarehe 31 Machi 2024.

#pandatukupandishe
#sokanidstv
#unakosaje

SAMSUNG S24 LIVE TRANSLATE MAKES EVERY USER A MULTILINGUAL


Imagine calling someone who does not speak your language, say, French, then the other person speaks in French, but your phone relays the phone call to you in English. Is this even possible? Can such an evolution be already happening?

Yes. It is happening through the newly-launched, AI-Powered, Samsung S24. The S24 comes with several AI-powered features, including Live Translate. This particular feature translates phone calls in real-time directly on your device. You will essentially have your translator, which will make multilingual communication easier. [1]

The feature supports the following languages; Chinese Simplified, English (India, United Kingdom, United States), French, German, Hindi, Italian, Japanese, Korean, Polish, Portuguese, Spanish (Mexico, Spain, United States), Thai, and Vietnamese. So many languages. Right? [2]

Users have already started warming up for this built-in Dialer app, which can translate phone calls in real time. The feature uses AI to generate voice and text translations of live phone calls. The person you’re calling doesn’t need a Samsung phone for Live Translate to work. The fine print notes that you’ll need an internet connection to use this feature, but Samsung also said the feature uses on-device AI to keep conversations private. [3]

There is no doubt that this evolutionary feature virtually eliminates language barriers, making the world the proverbial “global village.” The feature allows users to translate text, speech, or images in real-time, providing instant access to information without requiring manual input.

With at least 13 languages supported, Live Translate not only supports social interactions among people with diverse languages and cultures worldwide but also enhances business transactions around the globe. People can communicate effortlessly without needing a human translator, who is mainly prone to areas and loss of facts and meaning.

OPINION: TIME FOR ARTIFICIAL INTELLIGENCE LITERACY


By Anthony Hutia.

During my college days, one of my professors liked to remind us that education is knowing everything about something while knowing something about everything. In a nutshell, a doctor should know everything about medicine, but he does not have to understand how architecture works. However, a well-educated doctor knows something about architecture.

This has never been more true in the times we are living in. Since education is a continuous process, we always have to learn new things every day. Because we live in the digital revolution era, we find ourselves in a situation where new ideas are being developed every day. It is therefore in the interest of natural progression that we keep abreast with the latest developments lest we become the illiterates of the 21st century.

One area in which modern man must endeavor to stay literate is in Artificial Intelligence or AI. Artificial Intelligence has undoubtedly become an integral part of our daily lives, often in ways we may not even realize. From the personalized advertisements we receive while browsing on social media to the voice-activated virtual assistants that help us manage our schedules, AI is everywhere. It is in our smartphones, our cars, our workplaces, and even our homes. AI is shaping industries, driving innovation, and transforming how we interact with the world.

As my professor said, we cannot know everything about AI because not all of us are information technology enthusiasts. However, as active AI users, it is necessary, nay, imperative that we know something about AI. By seeking AI literacy, we do not intend to turn everyone into an AI specialist. Instead, we aim to equip individuals with the knowledge and skills to understand, use, and interact with AI responsibly and effectively. It is about enabling people to make informed decisions about AI technologies, understand their implications, and navigate the ethical considerations they present.

Thursday, 28 March 2024

DKT. NCHEMBA AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA WA TBL

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Kampuni ya Tanzania Breweries Plc, Bi. Michelle Kilpin, akizungumza kuhusu mchango wa Kampuni yake katika maendeleo ya uchumi, alipofika kujitambulisha kwa Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ofisini kwake (Treasury Square), jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Kampuni ya Tanzania Breweries Plc, Bi. Michelle Kilpin, baada ya kufika Ofisi za Hazina (Treasury Square), jijini Dodoma, kujitambulisha, ambapo Mkurugenzi Mtendaji huyo ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya kufanya biashara na kuahidi kuwa Kampuni yake itaendelea kuchangia maendeleo ya nchi kupitia program mbalimbali za kusaidia jamii na kulipa kodi.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Kampuni ya Tanzania Breweries Plc, Bi. Michelle Kilpin, akisaini kitabu cha wageni, alipofika kujitambulisha kwa Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ofisini kwake (Treasury Square), jijini Dodoma, ambapo ameahidi kuendelea kuchangia katika shughuli za kijamii katika kusukuma kurudumu la maendeleo.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisikiliza maelezo ya Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Kampuni ya Tanzania Breweries Plc, Bi. Michelle Kilpin (kulia), kuhusu Kampuni yake kuendelea kuchangia maendeleo ya jamii.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Kampuni ya Tanzania Breweries Plc, Michelle Kilpin (wa tatu kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Wizara ya Fedha na TBL baada ya kumalizika mkutano kati yao, katika Ukumbi wa Waziri wa Fedha (Treasury Square), jijini Dodoma.

MANAGING DIRECTOR VACANCY AT MAENDELEO BANK PLC

PANDA TUKUPANSIDHE USIKOSE MAN CITY vs ARSENAL



Zimebaki siku 5 tu ofa ya Panda Tukupandishe ndani ya @dstvtanzania.

Changamkia ofa hii mapema kwa kupiga *150*53# ili uweze kulipia kifurushi cha juu yako ili upandishwe cha juu zaidi!

Changamkia ofa hii mapema kwani mwisho wa kulipia ni tarehe 31 Machi 2024.

#pandatukupandishe
#sokanidstv
#unakosaje

VODACOM, CRDB KUONGEZA UPATIKANAJI WA SIMUJANJA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Philip Besiimire (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank, Abdulmajid Nsekela (kulia), wakipiga makofi mara baada ya kuzindua ushirikiano kati ya taasisi hizo unaoenda kuwezesha upatikanaji wa simujanja kwa mkopo ili kuchochea matumizi ya intaneti na ukuaji wa uchumi wa kidijiti nchini. Kulia kwa Besiimire ni Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom, Bi. Linda Riwa na kushoto kwa Nsekela ni Afisa Biashara Mkuu wa benki hiyo, Bw. Boma Raballa.

Dar es Salaam - Machi 27, 2024: Katika jitihada za kuongeza upatikanaji na matumizi ya simu janja ili kuziba pengo la kidijitali nchini, makampuni ya Vodacom Tanzania PLC na Benki ya CRDB wamezindua mpango wa kuwezesha Wateja wao kumiliki simujanja zenye ubora kwa gharama nafuu.


Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo wa kukopesha simu jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Philip Besiimire, alieleza kuwa kampuni hiyo ya simu inatekeleza mipango mbalimbali ya kupunguza gharama za vifaa vya mawasiliano ili kuwawezesha wateja wake kuhama kutoka kwenye matumizi ya mtandao wa 2G na kumiliki simu zenye uwezo wa 4G na kutumia fursa hiyo ili kunufaika na faida kemkem zinazopatikana kupitia mtandao huo.


"Tukiwa ni mdau na mshirika mkubwa wa sekta ya mawasiliano na teknolojia, Vodacom tunajivunia kuzindua mpango huu na Benki ya CRDB ambayo ni taasisi kubwa ya fedha nchini. Ushirikiano wetu unalenga kuwawezesha wateja kutoka pande zote mbili kupata aina mbalimbali za simujanja kwa bei nafuu na mpango wa malipo kwa awamu kwa kipindi fulani. Ili kujua kama amekidhi vigezo, mteja atatakiwa kupiga *150*00*44# na baada ya hapo atafanya malipo ya awali na kupewa simujanja. Mkopo huu unaweza kulipwa kwa siku, kwa wiki au kwa mwezi kwa kipindi cha hadi miezi 12 kupitia M-Pesa," alifafanua bwana Besiimire.


Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, alisema, “ushirikiano huu baina yetu na Vodacom ni fursa nzuri kwa Watanzania kupata huduma za kifedha na mawasiliano kwa gharama nafuu. Kwa hiyo kama wadau muhimu tunapaswa kuunga mkono juhudi za Serikali ili kuhakikisha wananchi wake wanafaidika na ukuaji na maendeleo katika sekta hizi.”


Bwana Nsekela aliongeza kuwa, “Kwa mtandao wetu ulioenea nchi nzima, CRDB tumekuwa na mchango muhimu katika maendeleo ya Watanzania kwa kuwezesha upatikanaji wa huduma za kifedha. Hivyo basi, kwa kushirikiana na Vodacom, tutaweza kutoa mchango wetu ili kuongeza matumizi ya simujanja nchini.”


Licha ya juhudi za mamlaka nchini kusogeza huduma za mawasiliano, wananchi wengi bado wanatumia huduma za mtandao wa 2G. Hii inapunguza upatikanaji wa fursa zilizopo mtandaoni pamoja na kufurahia na kunufaika na intaneti yenye kasi zaidi kutoka Vodacom pamoja na bidhaa nyingine za kidijitali.


Matumizi ya simujanja na intaneti yana faida kwa jamii kama vile kukuza ukuaji wa kiuchumi kwa kuwezesha ujasiriamali wa kidijitali na kuchochea uvumbuzi, utafutaji masoko mitandaoni pamoja na kuongeza kipato kwa wananchi wanaoamua kujiajili kupitia dijitali.

Wednesday, 27 March 2024

AIR TANZANIA EXTENDS WINGS WITH ACQUISITION OF NEW BOEING 737-9 MAX

Prime Minister, Kassim Majaliwa cuts a ribbon to receive the Boeing 737-9 Max at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.

Dar es Salaam: The government has continued with its aggressive efforts to uplift the aviation sector in the country and the arrival of a brand-new aircraft for Air Tanzania Company Limited (ATCL) yesterday will further boost the initiative.

The aircraft, Boeing 737- 9 Max with a capacity to carry 181 passengers, brings the number of the country’s airline fleet to 15.


It touched down at the Julius Nyerere International Airport (JNIA) Terminal One in Dar es Salaam at 2:20 PM.

It cruised from Seattle, the United State of America via Dakar, Senegal marshalled by two pilots, Mr. Herman Mushi and Mr. Mohammed Mbaruku.


On board was ATCL’s Managing Director, Engineer Ladislaus Matindi and other crew members.

Speaking during the colourful reception to usher in the new plane, Prime Minister Kassim Majaliwa underlined the government’s deliberate commitment on continuing to strengthen ATCL and the aviation sector as key catalysts for economic growth.


“The aviation sector is very important for development of our country, as it guarantees economic advancement. Globally, development of the economy has been influenced by the presence of a stable transport system, which boosts investment, protect capital and strengthen communication among traders and other service providers” Mr. Majaliwa said.

The PM said the rise in number of passenger and cargo volume allows the country’s airline to extend its domestic and international routes to serve more people, boost business and the entire economic production value chain, including agriculture.


He said the existence of passenger and cargo aircrafts has enabled farmers of perishable agricultural products such as vegetable and avocados, fishery and livestock to reach the domestic and international markets on time.

NMB YAFUTURISHA DAR, WAZIRI MKUU AZITAKA SERIKALI ZA MITAA, TAASISI ZIJIFUNZE KWAO


Benki ya NMB imewafuturisha wateja wake walio kwenye Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani jijini Dar es Salaam, pamoja na kutoa misaada kwa vituo vya Watoto waishio katika mazingira magumu, huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiziagiza Serikali za Mitaa na Taasisi za Fedha, zijifunze kwa NMB namna ya kuwathamini wenye uhitaji.


Hafla hiyo ya Iftar imefanyika Jumanne Machi 26 jijini Dar es Salaam, ikiwa ni ya tatu kuandaliwa na Benki ya NMB tangu kuanza kwa ibada ya Funga ya Ramadhani ambayo ni Nguzo ya Pili kati ya tano za Dini ya Kiislamu, ikitanguliwa na hafla zilizofanyika katika Visiwa vya Unguja na Pemba, ambako pia kulitolewa misaada ya kijamii kwa watoto wenye uhitaji.


Waziri Mkuu Majaliwa alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na zaidi ya watu 1,200 wakiwemo wateja wa NMB, wadau, viongozi wa Serikali, Watoto wanaoishi Kwenye Mazingira Magumu wa Vituo vya Al-zam (cha Mbagala), Umrah (Magomeni Mikumi) na Tanzania Kwanza (Tuangoma, Kigamboni).


Akizungumza mbele ya waalikwa hao, Waziri Mkuu Majaliwa alisema NMB inastahili pongezi kwa namna inavyoyajali makundi mbalimbali ya kijamii, ikiwemo kusapoti jitihada za elimu katika sekta za elimu, afya, maji, michezo na elimu za fedha kwa wajasiriamali.


“Leo hii nitapokea kutoka kwa NMB zawadi maalum kwa ajili ya Watoto wenye uhitaji wa vituo vya Al-zam, Umrah na Tanzania Kwanza vya Dar es Salaam. Kwa hili NMB mmefanya jambo kubwa sana, mnataka watoto hawa wajione kuwa wana thamani sawa na wengine.


“Natambua kuwa licha ya kuwakumbuka watoto wenye uhitaji, mmekuwa pia mkichangia mahitaji kwenye shule zinazotumiwa na watoto wenye mahitaji maalum.


“Pia, NMB ni benki inayoongoza kwa utoaji huduma hapa nchini kwa sasa, ambayo imetenga kiasi cha Sh. Trilioni 1 kwa ajili ya kuhudumia sekta ya kilimo nchini, hii ni kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye anakamilisha miaka mitatu ya uongozi wake madarakani,” alisema.

MILESTONE AS EACOP INAUGURATES THERMAL INSULATION PLANT IN TABORA

Deputy Prime Minister, Dr. Doto Biteko who is also the Minister for Energy, cuts a ribbon to launch a factory for storing the heat system in the pipes that will transport crude oil from Hoima in Uganda to Chongoleani in Tanga Region through the EACOP project. On his left is Uganda's Minister for Energy and Minerals Development, Ruth Nankabirwa and Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Stephen Byabato (on his right). The event took place in Nzega District, Tabora Region yesterday.

INAUGURATION OF THERMAL INSULATION PLANT, SIGNING OF CORRIDOR LEASE AGREEMENT AND PROJECT LAND HANDOVER AT SOJO VILLAGE, NZEGA DISTRICT, TABORA REGIONMarch 26, 2024

EACOP Ltd, 26th March 2024 has achieved another key milestone on the construction stage of the East African Crude Oil Pipeline Project (EACOP Project) by officiating the inauguration of Thermal Insulation Plant (TIS Plant) constructed and operated by one of EACOP Ltd Level One Contractors, WASCO ISOAF which is a joint venture of local and foreign companies. The TIS Plant receives all line pipes to be used in Tanzania and Uganda. The TIS Plant will apply thermal insulation to all 86,000-line pipe joints prior to their dispatch and installation along the route from Uganda to Tanzania. The purpose of the insulation is similar to a thermos flask – it retains the warmth of the fluid inside the pipe whilst simultaneously keeping the external environment cool.


Concurrent with the inauguration event was the official signing of land lease agreements between the East African Crude Oil Pipeline (EACOP) and Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC). This follows the completion of the land acquisition and compensation process. The land leases and the production of thermally insulated pipe are two key precursors for construction activities starting along the right of way.


The inauguration was graced by esteemed dignitaries, including Hon. Dr. Doto Mashaka Biteko (MP), Deputy Prime Minister and Minister for Energy, United Republic of Tanzania who officiated the event together with Ruth Nankabirwa, Minister of Energy & Mineral Development, Uganda, EACOP Management, Contractors alongside other distinguished guests such as Ministers, Members of Parliament, High Commissioners, Permanent Secretaries, and other government officials from Uganda and Tanzania.


Following a ramp-up period, the workshop will boast an impressive production capacity of 110-117 kilometers of insulated line pipe per month. Production is slated to commence immediately and continue into 2025.


The establishment of this Plant not only signifies technological advancement but also creates numerous employment opportunities within the region. During the construction phase, a total of 500 personnel on site were employed. During the production phase, 270 workers will be involved in front line site activities, including running the thermal insulation production lines, pipe handling, logistics, maintenance and inspection. The remaining personnel are involved in supporting activities spanning various fields such as catering, camp operation, security and administration.


Hon. Dr. Doto Mashaka Biteko (MP), Deputy Prime Minister and Minister for Energy, Ministry of Energy, United Republic of Tanzania: “We are proud to inaugurate the Thermal Insulation Workshop, a testament to our dedication to advancing infrastructure capabilities. This workshop will not only facilitate efficient crude oil transportation but also foster economic growth and development within the region.”

AKIBA COMMERCIAL BANK YAANDAA FUTARI KWA WATEJA NA WADAU WAKE


Akiba Commercial Bank (ACB) imeandaa hafla ya Futari kwa kuwaalika Wateja, Wafanyakazi pamoja na Wadau mbalimbali wa benki hiyo.

Katika hafla hiyo iliyofanyika tarehe 25 Machi, 2024 katika Hoteli ya Serena Mkurugenzi Mtendaji wa ACB, Bw. Silvest Arumasi alitumia fursa hiyo kuwapongeza Waislamu wote kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, na amewashukuru wadau wote kwa kutenga muda wao na kujumuika pamoja katika Futari hiyo kwani kwa kitendo hicho kimeleta faraja na heshima kubwa sana.


Aidha, alisema kuwa, ACB imekuwa na utamaduni wa kufanya hafla ya kufuturisha kwa kila mwaka kwa ajili ya kuunga mkono ndugu zetu Waislam katika funga yao na pia ni njia nzuri ya kuboresha mahusiano ya benki na wateja wake.


Akiba Commercial Bank inatambua na kuheshimu sana Imani za wateja, Wafanyakazi na wadau wake na kuupa umuhimu wa kipekee katika mwezi Mtukufu wa Ramadhan.


Mwisho, Bw. Silvest Arumasi amesema kuwa ACB inaendelea kuboresha na kupanua wigo wa huduma zake ili kuendana na soko kwa lengo ya kukidhi matarajio ya wateja, amewaomba wateja na umma kwa ujumla kuendelea kuiamini Benki hiyo ambayo imeweza kuwahudumia Watanzania wengi na kuleta maendeleo makubwa kwa wajasiriamali na Jamii nzima kwa ujumla.

DCB YAZINDUA PROGRAMU YA VICOBA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara DCB, Bwana Sabasaba Moshingi (wa pili kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi programu ya DCB Vicoba (DCB VicobaApp) pamoja na uzinduzi wa mradi wa kumiliki Coaster 5 wa Umoja wa Vikundi vya Ujasiriamali Kivule (UVUKI) uliopo chini ya Shirikisho la Vikundi vya Ujasiriamali Tanzania (SHIVUTA), uliofanyika Kitunda, Ilala, nje kidogo kutoka katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara DCB, Bwana Sabasaba Moshingi (katikati) , Mkurugenzi wa Biashara wa benki hiyo, Bi. Lilian Mtali (kulia) na Mkurugenzi wa Shirikisho la Vikundi vya Ujasiriamali Tanzania (SHIVUTA), Andrew Paul wakiwasili tayari kwa uzinduzi programu ya DCB Vicoba pamoja na uzinduzi wa mradi wa kumiliki Coaster 5 wa Umoja wa Vikundi vya Ujasiriamali Kivule (UVUKI) uliopo chini ya Shirikisho la Vikundi vya Ujasiriamali Tanzania (SHIVUTA).
Baadhi ya Wana Vicoba waliohudhuria uzinduzi wa DCB VicobaApp wakiwa katika hafla hiyo, Kitunda, Ilala, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara DCB, Bwana Sabasaba Moshingi (katikati) akiagana na Mkurugenzi wa Shirikisho la Vikundi vya Ujasiriamali Tanzania (SHIVUTA), Bwana Andrew Paul mara baada ya uzinduzi programu ya DCB Vicoba pamoja na mradi wa kumiliki Coaster 5 wa Umoja wa Vikundi vya Ujasiriamali Kivule (UVUKI) uliopo chini ya Shirikisho la Vikundi vya Ujasiriamali Tanzania (SHIVUTA). Wengine ni Viongozi wa Umoja wa Vikundi vya Ujasiriamali Kivule (UVUKI ).

Dar es Salaam: Katika kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kuhakikisha huduma za Kifedha zinawafikia watu wengi, kirahisi na gharama nafuu, Benki ya Biashara ya DCB imezindua programu ya VICOBA ikiwalenga wateja wa Vicoba na makundi mengine ya kijamii.

Uzinduzi wa DCB VicobaApp umefanyika Kitunda, Ilala nje kidogo ya jijini Dar es Salaam sambamba na hafla ya uzinduzi wa mradi wa kumiliki Coaster tano ulioandaliwa na Umoja wa Vikundi vya Ujasiriamali Kivule (UVUKI), chini ya Shirikisho la Vikundi vya Ujasiriamali Tanzania (SHIVUTA).

Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Bwana Sabasaba Moshingi alisema programu hiyo itawawezesha wanachama wa VICOBA kufanya miamala yao kwa urahisi na usalama zaidi, hivyo kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika jamii.

“Tunatambua umuhimu wa teknolojia katika kuboresha maisha ya watu, na ndio maana tumeamua kuja na DCB VicobaApp ili kusaidia wanachama wa VICOBA na makundi mengine ya kijamii kupata huduma za kifedha kwa urahisi zaidi kupitia simu zao za mkononi.

“Ikianzishwa takribani miaka 22 iliyopita kupitia wito wa Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa, kipaumbele chetu kikubwa kimekuwa ni kuinua maisha ya watanzania wenye kipato cha wastani kiuchumi, hususan wajasiriamali wadogo na wa kati lakini tukiangaza zaidi kwa watanzania ambao mara kadhaa wamekuwa wakikosa vigezo vya kupata mikopo na urahisi wa kuwekeza katika benki za kibiashara,” alisema Bwana Moshingi.

Tuesday, 26 March 2024

AIRTEL INTRODUCES 5G HOME WI-FI, STARTING AT TZS 70,000

Bongo Fleva artist, Diamond Platinum who is Airtel Tanzania Brand Ambassador displays an Airtel 5G Smart Box after its launch today in Dar es Salaam. The Airtel 5G Smart Box and bundles facilitates the accessibility of 5G services in the country while offering high-speed internet connectivity, providing unparalleled download speeds, improved reliability and seamless streaming capabilities. The 5G routers are available under two arrangements tailored to either Business or Home (retail) customers. He is flanked by Airtel Tanzania Director of Marketing, Timea Chogo (left) and Public Relations Manager, Jackson Mmbando.
Bongo Fleva artist, Diamond Platinum who is Airtel Tanzania Brand Ambassador addresses the media during the launch of Airtel 5G Smart Box and bundles.

Dar es Salaam, March 26, 2024 – Airtel Tanzania, a leading telecommunications service provider, has announced the official launch of its groundbreaking Airtel 5G Smart Box and bundles to facilitate the accessibility of 5G services in the country. This significant milestone heralds a new era of high-speed internet connectivity, providing unparalleled download speeds, improved reliability, and seamless streaming capabilities.

Airtel’s 5G technology promises to revolutionize internet connectivity in Tanzania, offering superfast download speeds. Airtel’s 5G service ensures higher quality streaming, low latency, increased availability, and more reliable and stable connectivity. Whether for high-definition video conferencing, or streaming ultra-high-definition content, Airtel 5G sets to meet the demands of digital lifestyles for individuals and businesses.

“Airtel Tanzania is excited to lead the charge in 5G connectivity, making advanced data services accessible to Tanzanians increasing the much-sought broadband penetration. Our aim is not only to provide cutting-edge services but also to empower individuals and businesses to reach their full potential in an increasingly digital world.” says Airtel Marketing Director Timea Chogo.

To enjoy Airtel’s 5G services, customers can access it through 5G-capable handsets or the newly introduced Airtel 5G Smart Box. The 5G routers are available under two arrangements tailored to either Business or Home (retail) customers. Notably, the device remains an Airtel asset for the entirety of the contract period, emphasizing our commitment to providing continued support and service excellence.