- Jisikie upo nyumbani popote utakapoenda duniani na 'NMB Kwetu'
Tumezindua rasmi dirisha la huduma za kibenki kwa watanzania waishio nchi za nje yaani Wana Diaspora inayojulikana kama NMB Kwetu.
- Bima ya maisha yenye thamani ya hadi Shilingi za Kitanzania Milioni 29, bila gharama za ziada - kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Insurance.
- Hakutakuwa na makato ya mwezi (monthly fees) kwa akaunti za diaspora.
- World Wide Pesa - Tuma pesa nyumbani kwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka nchi zaidi ya 100 duniani - kwa kushirikiana na Makampuni mahiri ya Thunes na Terrapay.
- Fursa ya kupata mikopo ya nyumba (kununua ama kujenga nyumba).
- Fursa za kuwekeza kwenye amana za muda mfupi na amana za muda mrefu zenye viwango shindani.
- Kutumia huduma za kidijitali za Benki ya NMB kufanya miamala popote walipo duniani.
No comments:
Post a Comment