| Mwakilishi wa Shilika la Kazi Duniani nchini (ILO), Getrude Sima akionyesha tuzo waliyotunukiwa na OSHA kwenye maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahala pa kazi duniani yaliyofanyika mkoani Morogoro hivi karibuni. ILO ilitunukiwa tuzo hiyo kwa kuwa taasisi iliyomstari wa mbele katika kubadilishana taarifa za masuala ya usalama na afya nchini, kikanda na kimataifa. |
No comments:
Post a Comment