Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 7 March 2023

MSAJILI WA HAZINA, NEHEMIAH MCHECHU AANZA RASMI MAJUKUMU YAKE

Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu (kushoto) ameanza rasmi majukumu yake baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Mgonya Benedicto (kulia) katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Dar es Salaam. Mchechu ameteuliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kabla ya uteuzi huo, alikua Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)




No comments:

Post a Comment