Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Saturday, 17 September 2022

NMB YAKUTANA NA WAMILIKI WA MAROLI WADOGO NA WA KATI

Mkuu wa Idara ya Biashara NMB, Alex Mgeni akizungumza na Chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Biashara Benki ya NMB, Alex Mgeni akielezea fursa za kibiashara zinazopatikana ndani ya NMB kwa chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jijini Dar es Salaam, katika mkutano na benki hiyo kwenye Hoteli ya Johari Rotana.
Baadhi ya wafanyabiashara kutoka Chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) wakiuliza maswali kwa maofisa wa Benki ya NMB mara baada ya mkutano na benki hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Martin Massawe akielezea huduma za bima mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo kwa Chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jijini Dar es Salaam.

Meneja Mwandamizi Amana Idara ya Biashara wa NMB, Lilian Malekia akizungumza na Chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Bima wa NMB, Bw. Adam Nsenga akiwasilisha mada kwa Chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jijini Dar es Salaam, katika mkutano na benki hiyo kwenye Hoteli ya Johari Rotana.
Meneja wa Huduma za Kibenki Kidijitali - NMB, Jacqueline Ntinabo akiwasilisha mada kwa Chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment