Mkurugenzi wa Hazina wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Wenceslaus Fungamtama (wa pili kushoto), akikabidhi msaada wa kompyuta na viti vitano vya mbao kwa matumizi ya ofisini kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC), Pius Lutumo kwa ajili ya kusaidia Jeshi la Polisi kukabiliana na kudhibiti uhalifu makosa ya kimtandao. Kushoto ni Meneja wa Mawsiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Gloria Mutta na kulia ni Meneja wa Tawi la TCB Kibaha, Juvestina Julius pamoja na Maafisa wa Jeshi la Polisi kutoka Kituo Kikuu cha Polisi Kibaha.
Mkurugenzi wa Hazina wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Wenceslaus Fungamtama (kushoto), akikabidhi msaada wa viti vitano vya mbao pamoja na kompyuta kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC), Pius Lutumo kwa ajili ya kusaidia Jeshi la Polisi kukabiliana na kudhibiti uhalifu makosa ya kimtandao. Wengine ni ma afisa wa Polisi kutoka Kituo cha Kibaha.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC), Pius Lutumo akisalimiana na Meneja wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Tawi la Kibaha, Juvestina Julius wakati wa hafla ya Benki hiyo kukabidhi msaada wa viti vitano vya mbao pamoja na kompyuta kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC), Pius Lutumo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC), Pius Lutumo akizungumza na wanahabari mara baada yakupokea msaada wa kompyuta na viti vitano kutoka Tanzania Tanzania Commercial Bank (TCB).
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment