| Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando (wa pili kulia), Mrajisi wa Vyama Vya Ushirika Dk. Benson Ndiege (wa pili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Mifumo ya Kidijitali wa Vodacom Tanzania Bi. Yvone Bayona (kulia), Naibu Mrajisi wa Vyama Vya Ushirika Bw. Collins Nyakunga (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wengine baada ya kusaini makubaliano ya matumizi ya kidijitali katika vyama vya Ushirikia kupitia jukwaa la M-Kulima la Vodacom Tanzania PLC. |
No comments:
Post a Comment