| Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mahusiano na Serikali na Msemaji wa benki hiyo, William Kallaghe (wa pili kulia) akikabidhi nyaraka za kiofisi kwa Mkuu wa Idara hiyo kwa sasa, Godwin Semunyu (wa pili kushoto) baada ya Kallaghe kustaafu utumishi wa benki hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 18 akihudumu katika nafasi tofauti. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa benki hiyo, NeemaRose Singo (kulia) na Meneja Chapa na Mawasiliano wa Benki ya NBC, David Raymond (kushoto). |
No comments:
Post a Comment