Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 18 February 2022

VODACOM YAENDELEA KUTOA ADA ZA SHULE KWA WATEJA

Mshindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Lipo pale pale, Hamisa Lizuthi (wa pili kushoto) ambaye amejishindia zawadi ya ADA ya shule ili amlipie mwanae wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi kutoka kwa Meneja Mkakati wa Biashara Vodacom kanda ya kati, Baraka Siwa (kulia). Kushoto ni Meneja Mauzo wa Mkoa wa Morogoro, Ibrahim Mawalla. Hafla ya makabidhiano hayo yalifanyika katika soko la Chifu Kingalu Mkoani Morogoro.
Mshindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Lipo pale pale, Alex Kitambi (wa pili kushoto) ambaye amejishindia zawadi ya ADA ya shule ili amlipie mwanae wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi kutoka kwa Meneja Mkakati wa Biashara Vodacom kanda ya kati, Baraka Siwa (kulia). Kushoto ni Meneja Mauzo wa Mkoa wa Morogoro, Ibrahim Mawalla. Hafla ya makabidhiano hayo yalifanyika katika soko la Chifu Kingalu Mkoani Morogoro.
Mshindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Lipo pale pale, Kibwana Athumani (wa pili kushoto) ambaye amejishindia zawadi ya ADA ya shule ili amlipie mwanae wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi kutoka kwa Meneja mkakati wa biashara Vodacom kanda ya kati Baraka Siwa (kushoto ). kulia ni Meneja Mauzo wa Mkoa wa Morogoro Ibrahim Mawalla. 

No comments:

Post a Comment