Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Thursday, 10 February 2022

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma hivi karibuni.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwakaribisha wageni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (wa kwanza kushoto) walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma hivi karibuni.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (wa kwanza kushoto) walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb (wanne kushoto), katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (wanne kulia) walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment