| Meneja Mahusiano wa Benki ya Biashara ya DCB, Fauzia Bairu (kushoto), Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Ofisi ya Rais TAMISEMI, John Cheyo, na Afisa Mtendaji Mkuu, Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Nicodemus Mkama wakifurahia jambo wakati wa kongamano la wadau kuhusu utaratibu mbadala wa kugharamia miradi ya maendeleo ya kiuchumi kwa kutumia hati fungani uliofanyika jijini Arusha jana. Kongamano hilo liliandaliwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Mitaji (UNCDF). |
No comments:
Post a Comment