Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Thursday, 30 September 2021
BURUDANI YA SOKA KUTOKA DStv INAENDELEA
Burudani ya Soka kupitia Chaneli za SuperSport inaendelea kupitia @dstvtanzania pekee.
Na Alhamisi #UefaEuropa ndani ya POA kwa TShs 9,900 tu.
⚽ Legia vs Leicester City
⚽Westham United vs SK
Ili usipitwe na burudani hii ya soka kwa gharama nafuu kabisa bonyeza *150*53#
#BirianiIendelee
BENKI YA NMB YAZINDUA HUDUMA MPYA YA WEKEZA AKAUNTI
NMB BANK ROLLS OUT ‘WEKEZA ACCOUNT’ TO DRIVE CUSTOMERS LONG-TERM SAVINGS
- Customers to get lucrative returns on investment as well as free Life insurance cover
The account dubbed ‘Wekeza’ is the first of its kind in the market that offers not only competitive interest but also free Life Insurance while cementing the bank’s leading role as an innovative champion in banking service delivery and the safest financial solutions provider.
Wekeza account will attract an interest rate of up to 12 percent for those making a long-term investment. The interest rate will go hand in hand with the number of years a customer needs to invest.
NMB Bank’s Chief of Retial Banking, Filbert Mponzi said the new Wekeza account will help customers to become more financially secured.
Mr. Mponzi further said that “NMB Bank is committed to providing innovative solutions and banking services to our customers, we continue to invest strategically in our technology and branch network and strengthen more our ability to deliver to the market."
Wednesday, 29 September 2021
BONDS ARE GAME CHANGERS IN FINANCING PROJECTS
Dr. Hildebrand Shayo. |
SPORTPESA SECURES OVER 9 MILLION AUDIENCE WITH MDUNDO PARTNERSHIP
One of the leading entertainment and sports betting company, SportPesa Limited has signed a long term advertising deal with Mdundo in Tanzania, securing the platform’s 9.7 Million users for a period of one year.
The deal valued at $100,000 will see SportPesa serving up to 600 Million Audio ads to the 9.7 Million users during the engagement period. The partnership will also see SportPesa benefit from Mdundo's Brand Lift tool, giving the brand access to real time insights on the performance of its various campaigns on the target audience.
This deal comes as a further testament to Mdundo’s innovative, results driven solutions for its clients, having worked with leading brands from across the continent such as Standard Chartered Bank, Nivea, 9mobile, Safaricom, Coca-Cola, Guinness, Airtel, Vodacom, Carrefour Supermarket and various Diageo brands.
Mdundo also recently announced music bundle partnerships with Airtel Nigeria, MTN Nigera and Vodacom Tanzania, building on the company’s innovative solutions to help brands effectively reach their target audience.
CHID BENZ NA TID IJUMAA HII NDANI YA MASKANI POA - DStv
Kwa nini upitwe? Hakikisha unalipia mapema kifurushi Poa TShs 9,900/- tu na ufuatilie kipindi hiki kupitia Maisha Magic Poa saa 3 usiku ndani ya @dstvtanzania pekee
#ZigoKamaLote
#DStvPoaZigoKamaLote
AIRTEL, I&M BANK LAUNCH DIGITAL LENDING SERVICES
The Bank of Tanzania (BOT) has challenged financial institutions to provide effective and affordable services to communities that will help boost the economy and reduce poverty.
The BOT Deputy Governor (Financial Stability and Deepening), Dr. Bernard Kibesse made the remarks in Dar es Salaam yesterday during the launch of digital lending services through a mobile phone dubbed "Kamilisha", which was introduced by Airtel Money in collaboration with I&M Bank Tanzania.
WORLD BANK LAUDS EXECUTION OF STRATEGIC PROJECTS
President Samia Suluhu Hassan yesterday met with the Vice President of the World Bank for Eastern and Southern Africa, Dr. Hafez Ghanem, during which he lauded the government for implementing various development projects, easing lives in the country.
Tuesday, 28 September 2021
GOVERNMENT COLLECTS 6 TRILLION REVENUE THROUGH NMB DIGITAL CHANNELS
The government has called on local government authorities (LGAs) to boost their fiscal operations by increasing use of digital channels and NMB Bank today said it has already put in place the requisite infrastructure to support the endeavour.
The Bank’s Chief Executive Officer Ruth Zaipuna told President Samia Suluhu Hassan that in the three years the government managed to collect revenues worth TZS 6 trillion through its digital platforms.
Ms Zaipuna made the revelation before the head of state officiated the opening of the extraordinary congress to elect national leaders of the Association of Local Government Authorities of Tanzania (ALAT).
“Through our huge investments in digital innovations and virtual service delivery platforms, NMB Bank is now a key stakeholder of the government in revenue collection,” she said when addressing the gathering as the lead sponsor.
“During the three years ending June 2021 government revenue worth TZS 6 trillion was collected through NMB Bank’s innovative digital systems which we have invested in heavily to put in place,” CEO Zaipuna added noting that the lender was also a strategic partner of the government in undertaking flagship infrastructure mega projects.
NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI ALAT
Benki ya NMB imedhamini Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) kwa Sh. Mil. 150, huku ikijivunia makusanyo ya zaidi ya Sh. Trilioni 6 kupitia Mfumo wa Ukusanyaji Mapato ya Serikali Kielektroniki (GePG) katika kipindi cha miaka mitatu iliyoishia Julai 2021.
Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi ALAT Taifa umefanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo, ukifunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliyeambatana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB (CEO), Ruth Zaipuna, alisema wanajivunia ushirikiano wao na ALAT, ambao umekuwa chachu ya kudhamini mara kwa mara mikutano yao hiyo na kuwa anaamini Jumuiya hiyo itauenzi uhusiano huo, huku wakiendelea kuifanya NMB kuwa benki namba moja katika Makusanyo ya Halmashauri zote nchini.
USIKOSE MCHAKA MCHAKA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NDANI YA DStv PEKEE
Mchaka mchaka wa UEFA Champions League unarudi tena wiki hii ndani ya @dstvtanzania pekee.
Jumatano
⚽️Man United v Villarreal
⚽️Juventus v Chelsea
Piga *150*53# Kulipia mapema kifurushi chako ili kutazama mechi Live.
#BirianiIendelee
TANZANIA AMONG TOP INVESTMENT DESTINATIONS IN AFRICA
Monday, 27 September 2021
WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AZINDUA UPANUZI WA KIWANDA CHA SERENGETI BREWERIES MJINI MOSHI
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika hafla ya uzinduzi wa upanuzi wa Kiwanda cha Serengeti Breweries uliofanyika Mjini Moshi hivi karibuni . |
WHY TANESCO OVERHAUL WAS BOUND TO HAPPEN
Newly appointed TANESCO Managing Director, Maharage Chande (left) and Omari Issa, TANESCO Board of Directors Chairperson |
Dar es Salaam - The government on Saturday overhauled the power utility firm in an effort to increase efficiency and unlock its potentials.
President Samia Suluhu Hassan appointed former Head of the disbanded Presidential Delivery Bureau, Mr Omary Issa, as the new Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) Board Chairperson, MultiChoice’s Maharage Chande to be Managing Director and transferred five senior officials from the financially-troubled state company.
The reforms were necessitated by the performance of the entity, which is marred by power outage complaints, political interference and debts approaching TShs 1 trillion.
The new top management and board members include members with vast experience from the private sector, signalling a move to embrace business culture in the company which enjoys monopoly of the power transmission and distribution.
The team also include people who worked with the disbanded Big Results Now (BRN) initiative which was established under President Jakaya Kikwete's administration to solve development challenges through quick and efficient results in the priority sectors – education, energy, agriculture, water, transport, health, business environment and resource mobilisation.
The Minister for Energy, Mr January Makamba, who has made remarkable comments about electricity supply since his recent appointment, hinted on the “major reforms” saying the company was operating like it was in the 19th century.
BENKI YA NMB YACHANGIA SHILINGI MILIONI 400 KUTIBU AKINA MAMA WENYE FISTULA
WaziriI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza Benki ya NMB kwa kuwa mshirika mkubwa wa serikali katika kuleta maendeleo kwenye sekta mbalimbali hasa elimu na afya.
Alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa mbio za NMB Marathon 2021, zilizoandaliwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Hospitali ya CCBRT kwa lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kuchangia matibabu ya akina mama wenye tatizo la Fistula.
Mbio hizo zenye kauli mbiu ya Mwendo wa Upendo zilikusanya Shilingi Milioni 400 zitakazosaidia matibabu ya akina mama 100 wanaosumbuliwa na tatizo la Fistula katika hospitali ya CCBRT. Awali, NMB ilikusudia kukusanya Shilingi Bilioni moja ndani ya miaka minne-inamana kila mwaka Shilingi Milioni 250, hivyo wamevuka lengo lao la mwaka huu.
Mheshimiwa Majaliwa alibainisha kuwa tatizo la Fistula linawatesa sana akina mama, hivyo NMB kufikiria kuchangisha fedha kupitia Marathon ya Mwendo wa Upendo ni jambo la kipekee ambalo haliwezi kusahauliwa kirahisi kwa kila atakayeguswa.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna alisema wameamua kuja na mpango huo baada ya kuona namna akina mama wanavyoteswa na tatizo la Fistula, gharama ni kubwa na wengi wanashindwa kukidhi. Lakini sasa benki yake ina uhakika kuwa akina mama 100 watapata matibabu.
Saturday, 25 September 2021
STANBIC BANK DONATES 100 DESKS TO MBABALA SECONDARY SCHOOL, DODOMA
Speaking during the ceremony, DC Shekimweri said the 100 desks will greatly improve access to learning facilities as well as the learning condition for students at Mbabala and called upon other well-wishers to come forward and join the effort to offset the remaining shortage of desks in the region and the country.
“As we all know, education is an instrumental vehicle of development. We sincerely want to thank Stanbic Bank for supporting us in our effort to improve access to learning facilities and offset the existing shortage of desks in schools here. We believe these 100 desks will go a long way in enabling hundreds of children with a conducive environment needed for effective learning.” Shekimweri said.
Friday, 24 September 2021
IMPACT BUSINESS BREAKFAST; THEME - FINANCIAL OPTIONS FOR POST-COVID 19 BUSINESS CONTINUITY
Hurry now to reserve your slot by registering today.
CLICK HERE FOR MORE DETAILS > > >
Or call: +255 762 234 005
BENKI YA BIASHARA YA TANZANIA YABAINISHA MIKAKATI YA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI
Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imedhamiria kuinua hadhi ya wanawake nchini kifedha kwa kuwawezesha kiuchumi na kuwasaidia kuwa wajasiriamali shupavu kupitia mikakati mbalimbali endelevu.
Taasisi hiyo kongwe ya fedha nchini imeweka bayana dhamira hiyo wakati wa Kongamano la Wanawake na Biashara la pili ililoliandaa hapa jana kuwasaidia akinamama kuzing’amua na kuzitumia fursa za kibenki kwa ajili ya maendeleo yao binafsi na taifa kwa ujumla.
TCB imesema itatekeleza jukumu hilo adhimu kwa kuwa kinara wa huduma jumuishi za kifedha za akinamama na kiongozi mbunifu wa huduma hizo sokoni.
Wakiongea kwenye kongamano hilo, maofisa wake waandamizi walisema mafanikio ya jitihada hizo yatatokana na mpango mkakati wa TCB wa kufanya mapinduzi makubwa ya kuwahudumia akinamama.
Aidha, benki hiyo itawaonyesha fursa zinazopatikana TCB na kuwaelimisha jinsi ya kufanya biashara zenye tija. Pia suluhishi za kibenki zilizopo na mpya za kisasa zaidi zitatumika kumkomboa mwanamke kifedha na kumshirikisha kikamilifu katika ujenzi wa taifa.
TANZANIA COMMERCIAL BANK VOWS TO MAKE FINANCE WORK FOR WOMEN
The oldest bank in the country says it will accomplish the noble mission by becoming market leader for advancing their financial inclusion and the top driver of innovative financial services for this potentially lucrative market segment.
The ultimate goal of the undertaking, senior officials of the bank explained, is to support efforts of the government to empower them economically and boost their effective engagement in productive activities.
Speaking during the second edition of the TCB Business Forum for Women, the officials said the endeavour revolves around catapulting women banking to unprecedented new heights.
The strategy to make that possible, they noted, mostly involves enlightenment on available economic empowerment and entrepreneurship opportunities at the bank.
Equally important, the forum’s resource persons explained, will be use of existing and new innovative financial solutions that will be supported by TCB’s financial muscle, digital prowess, unrivalled market outreach and its innovation champions.
BIRIANI LINAENDELEA NDANI YA DStv PEKEE
Biriani linaendelea ndani ya @dstvtanzania pekee.
Wikiendi hii utafurahia mitanange mbalimbali kwa lugha adhimu ya Kiswahili kutoka kwa watangazaji wetu akiwemo @maulidkitenge @abouliongo @maestro_ibrahim @edokumwembe @edgarkibwana
@geoff_lea @georgeambangile na @oscaroscarjr
Hakikisha unapiga *150*53# kulipia kifurushi chako cha Compact mapema TShs 51,000 tu uweze kufurahia michuano hii.
#Birianiiendelee
Thursday, 23 September 2021
LIPIA TSHS 9,900 TU UJIPATIE KIFURUSHI CHA DStv POA
Furahia kipindi cha Ni Salama Na ndani ya @dstvtanzania pekee ufurahie darasa lenye burudani!
Ni ndani ya kifurushi cha POA cha TShs 9,900 tu kwa mwezi mzima!
Unaanzaje kulikosa hili zigo la Dstv Poa?
Piga *150*53# kulipia kifurushi chako.
#ZigokamaLote
LIPIA TSHS 9,900 TU UJIPATIE KIFURUSHI CHA DStv POA
Inakwenda kuwa wikiendi ya moto kwa wadau wa soka!..
Kwa TShs 9,900/- kifurushi Poa tu utapata kutazama mechi hii Live @dstvtanzania pekee.
Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi!
Tuesday, 21 September 2021
EQUITY BANK LAUNCHES EAZZYFX, AN ELECTRONIC CHANNEL FOR SETTLING FOREX TRANSACTIONS
Equity Bank (Tanzania) Ltd. Managing Director, Robert Kiboti speaking at the launch of the Bank's EazzyFX services; an online self service Forex transactions platform. |
Equity Bank (T) Managing Director Robert Kiboti and Senior management team pressing a button to officially launch EazzyFX services. |
- Customers will have the freedom to execute forex requirements in real-time in a safe, convenient and secure manner.
The EazzyFX platform, which is managed by Equity Bank and powered by Thomson Reuters’s Refinitiv, will allow SME and corporate clients to deal on streaming rates, transact in real-time, request for quotes for any forex trade amount, enjoy access to a full trade workflow as well as place multiple trade orders, enabling them to have the freedom and control over their trading.
Speaking during the launch, Equity Bank Tanzania Managing Director, Robert Kiboti said the move is intended to give clients the freedom to execute foreign exchange deals in real-time from the comfort of their offices or homes.
“In today’s world, digital banking solutions such as EazzyFX have proven to be the appropriate solutions that meet the needs of our customers. Businesses, institutions, organizations, and individuals can now leverage EazzyFX to drive efficiency and the growth of their businesses. We are enabling our clients who sell or buy any currencies to do it online without the need to visit forex agents in our branch,” said Kiboti.
Monday, 20 September 2021
Saturday, 18 September 2021
DIAMOND TRUST BANK AND RENTCO AFRICA (TANZANIA) LTD SIGN MOU FOR ASSET LEASING IN TANZANIA
Customers in need of leasing the above mentioned equipment should consult RentCo Co. Africa (Tanzania) for guidance.
BENKI YA NMB YASHINDA TUZO NNE ZA KIMATAIFA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akionyesha moja ya Tuzo za ushindi kati ya nne za Kimataifa zilizotolewa kwa Benki ya NMB. |
Tuzo ambazo Benki ya NMB imeshinda kutoka majarida ya kimataifa. |
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kutangaza tuzo hizo. |
Tuzo hizi zinafanya jumla ya tuzo zote ambazo NMB imezipokea mwaka 2021, kufikia sita.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi Ruth Zaipuna amesema tuzo hizo ni matokeo ya Benki ya NMB kuwa rafiki kwa wateja wake.
Tuzo hizo ni pamoja na Tuzo ya Benki Bora ya Biashara na Benki Bora ya Huduma za Uwekezaji Tanzania mwaka 2021 zote kutoka Jarida la World Economic Magazine, Tuzo ya Benki Bora kwa Ubunifu wa Huduma za Wateja Binafsi kutoka Jarida la International Banker na Tuzo ya Benki Bora ya Wateja Binafsi kutoka Jarida la International Business.
Itakumbukwa mapema mwaka huu, Benki ya NMB ilitajwa kwa mara ya tisa mfululizo kuwa Benki Bora zaidi Tanzania na Jarida la kimataifa la Euromoney na Benki Bora ya wateja Binafsi kutoka Jarida la Global Banking and Finance. Hizi ni tuzo za juu kabisa za ubora zinazotolewa na majarida makubwa duniani yenye makao yake makuu jijini London na nchini Marekani.
ABDULMAJID NSEKELA ATAJWA MIONGONI MWA VIONGOZI BORA 50 WA KIBENKI BARANI AFRIKA KWA MWAKA HUU 2021
Nsekela amefanikiwa kuwa mmoja wa watendaji wakuu wa benki barani Afrika walioonyesha weledi katika sekta ya uwekezaji na uvumbuzi wa kiteknolojia katika kipindi hiki ambacho dunia inapambana na janga la Covid-19.
Kampuni hiyo ya Reputation Poll International LLC, imesema iliona umuhimu wa kuwatambua viongozi katika sekta ya kibenki kwa kutambua mchango wa sekta hiyo katika jamii, kuunganisha watu na biashara pamoja na uchumi kiujumla kwa njia moja au nyingine.
Utafiti huo unaofanywa kila mwaka, uliweza kuangalia pia mchango wa watendaji wakuu wa mabenki 50 barani Afrika kwa kuangalia jinsi gani waliochochea au kupitia nafasi zao kufanya mapinduzi ya kisekta katika maeneo yafuatayo; ubora, Uadilifu, Uaminifu, Utaalam, Teknolojia, na urahisi wa upatikanaji wa mikopo.
“Wale waliosaidia mabenki yao kufikia mafanikio makubwa zaidi,” kampuni hiyo imesema.
Jina la Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Nsekela lilikua la kwanza katika orodha ya watendaji wakuu Afrika, na ni Mtanzania pekee aliyeorodheshwa na kampuni hiyo.
Wednesday, 15 September 2021
UEFA CHAMPIONS LEAGUE INAENDELEA KUPITIA DStv PEKEE!
Jumatano hii
⚽ Liverpool vs AC Millan
📺 SS 222
⏰ 4:00 Usiku
Karata yako unaitupia wapi?
Lipia sasa kifurushi chako cha Compact Plus kwa kupiga *150*53# kutazama mtanange huu.
Monday, 13 September 2021
DStv INAKULETEA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KUPITIA KIFURUSHI CHA BOMBA KWA TSHS 21,000 TU!
Unakosaje?
Hakikisha unalipia mapema kifurushi kwa kupiga *150*53# ili usikose mechi hizi.