| Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (wa tatu kulia), akizindua huduma mpya ya WEKEZA Akaunti uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Meneja Mauzo NMB, Darius Elius, Meneja Mwandamizi Idara ya Bidhaa NMB, Janet Rwegasila, Mkuu wa Idara ya Bidhaa Benki ya NMB, Aloyse Maro, Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalumu, Getrude Mallya na kulia ni Meneja Mwandamizi Idara ya Bidhaa, Beatice Mwambije. |
No comments:
Post a Comment