Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Monday, 27 September 2021

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AZINDUA UPANUZI WA KIWANDA CHA SERENGETI BREWERIES MJINI MOSHI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua upanuzi wa kiwanda cha Serengeti Breweries Mjini Moshi hivi karibuni.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika hafla ya uzinduzi wa upanuzi wa Kiwanda cha Serengeti Breweries uliofanyika Mjini Moshi hivi karibuni .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakitazama mtambo wa kuzalisha pombe kali iitwayo Bongo Don wakati Waziri Mkuu alipofanya uzinduzi huo Mjini Moshi hivi karibuni. Wa tatu Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua upanuzi wa kiwanda cha Serengeti Breweries Mjini Moshi hivi karibuni. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Serengeti Breweries, John Ulanga, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai, Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda, Mark Ocitti na Kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exhaud Kigahe.

No comments:

Post a Comment