Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 21 June 2021

BENKI YA LETSHEGO YATOA MISAADA KWA SHULE YA SEKONDARI YA JUHUDI, MKOANI DAR ES SALAAM

Wafanyakazi wa Benki ya Letshego, Selestino Nachenga (kushoto), Leah Phili (wa pili kushoto) na Ludovick Lugalema (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Juhudi katika picha ya pamoja baada ya kupokea misaada.
Msimamizi wa Masoko wa Benki ya Letshego, Selestino Nachenga akikabidi Jezi kwa wanafunzi wa Sekondari ya Juhudi.

Meneja wa Benki ya Letshego tawi la Temeke, Leah Phili (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Shule ya Juhudi na Mjumbe wa Bodi wa Shule ya Sekondari ya Juhudi.


No comments:

Post a Comment