Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 30 April 2021

AIRTEL AFRICA APPOINTS OLUSEGUN OGUNSANYA AS CEO


London and Lagos, 29 April 2021: Airtel Africa plc ("Airtel Africa", or the "Company"), a leading provider of telecommunications and mobile money services, with a presence in 14 countries across Africa, announces Olusegun “Segun” Ogunsanya, Managing Director and CEO Nigeria is to succeed Raghunath “Raghu” Mandava, as Managing Director and Chief Executive Officer following Raghu Mandava’s informing the Board of his intention to retire. Segun Ogunsanya will join the Board of Airtel Africa plc with effect from 1 October 2021.

Segun Ogunsanya joined Airtel Africa in 2012 as Managing Director and CEO Nigeria and has been responsible for the overall management of our operations in Nigeria, our largest market in Africa. Segun has more than 25 years’ business management experience in banking, consumer goods and telecoms. Before joining Airtel in 2012, Segun held leadership roles at Coca-Cola in Ghana, Nigeria, and Kenya (as MD and CEO). He has also been the Managing Director of Nigerian Bottling Company Ltd (Coca-Cola Hellenic owned) and Group head of retail banking operations at Ecobank Transnational Inc, covering 28 countries in Africa. He is an electronics engineer and also a chartered accountant.

NMB BANK PLC CONTINUES STEADY GROWTH MOMENTUM WITH STRONG Q1 2021 RESULTS

NMB Bank Chief Executive Officer, Ms. Ruth Zaipuna.
Tanzania’s Leading Bank, NMB Bank Plc continued its strong performance in Q1 2021. The Bank’s Profit before tax increased 34% YoY to TZS 93 billion, while Profit after tax is up 33% YoY to TZS 65 billion in the Quarter ended 31 March 2021.

The solid performance reflects continued revenue growth momentum, disciplined cost-optimization, and enhanced loan portfolio management.

Total revenue grew 16% YoY to TZS 224 billion from TZS 193 billion recorded in Q1 2020. The revenue growth was driven by increase in net interest income due to increase in both loans and advances and investment in government securities. In addition, the bank recorded 10% YoY growth in Non-funded income mainly due to increased customer activities on the bank’s digital platforms.

The Bank continues to demonstrate enhanced operational efficiency. The execution of cost-optimization initiatives continues to yield positive results, with cost-to-income ratio improving to 48% in Q1 2021 from 52% in Q1 2020, well below the regulatory threshold of 55%. The bank will continue to implement cost-optimization and operational efficiency initiatives in line with overall bank’s strategic ambitions while continuing to serve customers better.

BENKI YA NCBA TANZANIA YAMTEUA JULIUS KONYANI KUWA MKURUGENZI MTENDAJI KWENYE BODI YA WAKURUGENZI

Benki ya NCBA Tanzania imemteua Bwana Julius Konyani kuwa Mkurugenzi Mtendaji kwenye Bodi ya Wakurugenzi baada ya Gift Shoko kuhamishiwa Kenya kama Mkurugenzi wa Grupu pamoja na matawi ya benki hiyo Afrika Mashariki. Uteuzi huu umethibitishwa na Benki Kuu ya Tanania (BOT).

Konyani anashika nafasi hiyo mpya akiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 17 kwa bodi ya benki hiyo akiwa amefanya kazi na kushika nyadhifa mbali mbali za kiuongozi na kiutawala kwenye benki kama CRDB Bank PLC, NMB PLC, United Bank of Africa (T) Limited.

Kabla ya uteuzi huo, Konyani alikuwa ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Reja Reja na za Kibiashara za benki NCBA na amekuwa na mchango mkubwa katika kukuza biashara za reja reja za benki hiyo kufuatia muunganiko kati ya NIC na Commercial Bank of Africa (CBA) mwaka 2019. Konyani aliongoza timu iliyoshughulikia muunganiko kati ya NIC na CBA ambao ulipelekea kuzaliwa kwa benki ya NCBA mwezi Julai mwaka 2020.

Tuesday, 27 April 2021

NMB BANK EYES ‘BODABODA’ RIDERS WITH TSHS 5 BILLION IN LOANS SCHEME

The Minister of State in the Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled), Jenista Mhagama (right) and NMB Bank Plc, Chief Executive Officer, Ruth Zaipuna (centre) try one of the tricycles during an event at which the lender announced that it had set aside TShs 5 billion for lending to youth who work as 'Bodaboda' motor cycle 'taxi' drivers in Dar es Salaam over the weekend. Looking on is NMB Bank Chief of Retail Banking, Filbert Mponzi.

Dar es Salaam - Bodaboda riders now have every reason to boost their incomes as NMB Bank Plc sets aside Sh5 billion for lending to them.The money, set aside the NMB Mastaboda loan initiative, is geared towards helping the youth who are engaged in the motorcycles business popularly known as ‘Bodaboda’ so that they can grow their businesses and contribute to the country’s economic growth.

Available data shows that Tanzania was home to over two million Bodaboda taxi riders who would benefit from the initiative and join the banked segment of the society.

The minister for State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled), Ms Jenista Mhagama, graced the launch of the NMB Mastaboda loan initiative in Dar es Salaam at the weekend during the event that was also attended by about 300 ‘Bodaboda taxi’ riders.
To qualify for the loan, a Bodaboda rider will be required to open an account with NMB Bank Plc.

Apart from operating the account for three months consecutively and being a member of the of bodaboda riders’ associations, one will also be required to possess a National Identification card.

Speaking during the event, Ms Mhagama said the loan initiative was complimenting government efforts to empower youth so that they can actively participate in Tanzania’s economic growth efforts.

DStv INAKULETEA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM

 

Usikose kufuatilia mubashara Mkutano Mkuu Maalum wa CCM ushuhudie chama hicho kikipata Mwenyekiti mpya baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kufariki dunia mwezi uliopita.

Ni mubashara ndani ya Plus TV – DStv, Chaneli 294 siku ya Ijumaa 30 Aprili 2021, kuanzia saa 3 asubuhi.

BENKI YA NMB YAZINDUA MIKOPO YA PIKIPIKI KUPITIA KAMPENI YA 'NMB MASTABODA - MILIKI CHOMBO'

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama akizindua rasmi Mkopo wa NMB Mastaboda wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna na wa pili kushoto ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki hiyo, Filbert Mponzi na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha madereva wa Pikipiki Dar es Salaam, Michael Massawe.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa kwanza kulia), Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam, Michael Massawe wakipiga makofi baada ya uzinduzi rasmi wa Mkopo wa Mastaboda kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna wakiwa kwenye Pikipiki ya Magurudumu Matatu (Bajaji) baada ya kuzindua Mkopo wa Mastaboda kwenye Hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama akiwa amepanda Pikipiki (Bodaboda) baada ya kuzindua Mikopo maalumu kwa madereva bodaboda nchini. kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna na kushoto ni Dereva wa Bodaboda wa eneo la Kimara Suka, Beatrice Massawe.

Benki ya NMB imezindua Kampeni ya NMB MastaBoda 'Miliki Chombo,' inayotoa mikopo ya pikipiki za miguu miwili na mitatu kwa watoa huduma wa Sekta ya Usafirishaji 'Bodaboda na Bajaj', ambako imetenga kiasi cha Sh. Bilioni 5 za kufanikisha mikopo hiyo kwa mwaka wa kwanza.

Uzinduzi wa NMB MastaBoda Loan umefanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, ambaye awali Oktoba 2019, aliiomba NMB kufikiria namna ya kuwawezesha vijana wanaohudumu katika Sekta hiyo kote nchini.

Akizungumza wakati akimkaribisha mgeni rasmi, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna, alisema benki yake ililipa uzito ombi la Waziri Mhagama na kwa nia ya kuunga mkono juhudi za Serikali za kuipatia suluhu changamoto ya ajira, ikaona ianzishe mikopo hiyo kwa maslahi mapana ya ustawi wa uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

"Tumetenga kiasi cha Sh. Bilioni 5 kwa ajili ya NMB MastaBoda Loan katika mwaka huu wa kwanza na kukiwa na mwitikio mzuri miongoni mwa wakopaji, basi hatutosita kuongeza kiasi hicho ili kuwafikia walio wengi kote nchini. Wakopaji watakuwa na 'QR Code' za kupokelea malipo yao na kuingizwa moja kwa moja katika akaunti zao za NMB.

Monday, 26 April 2021

BENKI YA NMB YAKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA KAMPENI YA BONGE LA MPANGO

Meneja wa Benki ya NMB, Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (katikati) akimkabidhi mshindi zawadi ya pikipiki ya magurudumu matatu - Paulina Moshi, mkazi wa mtaa wa ujenzi Halmashauri ya Mbulu Mkoani Manyara. NMB ilimkabidhi mshindi huyo wa kampeni ya Bonge la Mpango inayoendeshwa nchi nzima kwa wateja wanaofungua au kuweka fedha kwenye akaunti zao za NMB. Kushoto ni Meneja wa NMB tawi la Mbulu, Rogate Iranga.
Mshindi wa Bonge la Mpango, Paulina Moshi Mkazi wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara (mwenye tisheti yenye rangi ya chungwa) akishangilia pamoja na familia yake mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya pikipiki ya magurudumu matatu kwenya hafla iliyofanyika Tawi la NMB Mbulu.


Mshindi wa kampeni ya Bonge la Mpango, Paulina Moshi akifurahia pamoja na Wafanyakazi wa Benki ya NMB baada ya kuifikisha pikipiki hiyo aliyoshinda hadi nyumbani kwake.

Friday, 23 April 2021

DStv INAKULETEA VICHEKESHO KUPITIA CHANNEL 294

 


Kaa tayari, tunakuja kurekebisha mbavu zako moja kwa moja kupitia runinga yako LIVE on @dstvtanzania channel 294, @plustvtz.

@watubaki wanakuja kuongeza nuru na furaha ya kupokea mzigo wa mwisho wa mwezi, ni April 30 kuanzia saa 2:30 za usiku, Kaa Tayari.

Hakikisha unapiga *150*53# kulipia kifurushi Bomba TShs 19,900 tu kutazama vichekesho hivi.

#Watubaki

#ZaidiNaZaidi

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAWAPELEKA WANAFUNZI WA KILIMO SHAMBANI KUJIFUNZA KWA VITENDO

Meneja wa shamba la Siverlands lililopo Ifunda Mkoani Iringa, WayneTraves (aliyechuchumaa) akiwaelekeza jambo kuhusu udongo wanafunzi wa Chuo cha Kilimo cha Mt. Maria Goretti ambao ni wanufaika wa Programu ya ufadhili wa masomo wa kampuni hiyo unaojulikana kama Kilimo Viwanda pamoja na wafanyakazi wa SBL ikiwamo Mkurugenzi Mtendaji, Mark Ocitti (aliyevaa kofia) walipotembelea shamba hilo.
Wanafunzi Chuo cha Kilimo cha Mt. Maria Goretti ambao ni wanufaika wa Programu ya ufadhili wa masomo wa kampuni ya Bia ya Serengeti unaojulikana kama Kilimo Viwanda wakijifunza kwa vitendo juu ya ukulima wa kisasa walipotembelea shamba la Silverlands lilipo Ifunda Mkoani Iringa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Mark Ocitti (aliyevaa kofia) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Kilimo cha Mt. Maria Goretti ambao ni wanufaika wa Programu ya ufadhili wa masomo wa kampuni hiyo unaojulikana kama Kilimo Viwanda katika muda mfupi baada ya kumalizika kwa ziara katika shamba la Silverlands lililopo Ifunda Mkoani Iringa. Wengine kwenye picha ni wafanyakazi wa shamba hilo na wafanyakazi wa SBL.

Wanafunzi wanufaika wa mpango wa ufadhili wa masomo ya kilimo unaotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) maarufu kama Kilimo Viwanda kutoka katika chuo cha Mt. Maria Goretti wamepata fursa ya kuembelea shamba la Silverlands lililopo Ifunda mkoani Iringa na kujinza ukulima wa kisasa.

Wanafunzi hao ambao waliambatana na waalimu wao waliungana na baadhi ya wafanyakazi wa SBL akiwamo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Mark Ocitti, Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma John Wanyancha na wafanyakazi wengine.

Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Mark Ocitti alisema kampuni ya SBL imedhamiria kuendelea kutengeneza maisha bora kwa vijana na wakulima nchini kupitia programu yake ya udhamini wa masomo kwa wanafunzi wanaotoka familia masikini kwenye vyuo vinavyofundisha kilimo.

WASHINDI GRANDE FINALE NMB MASTABATA WAKABIDHIWA TIKETI, ZAWADI ZAO

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Juma Kimori akimkabidhi zawadi mshindi wa droo kuu ya MastaBata 'Si Kikawaida' Ally Abukari Ally ambaye ameshinda zawadi mbalimbali zikiwemo TV kubwa ya kisasa, friji kubwa na vifaa vingine vingi vyenye thamani ya sh milioni 7. Wengine ni maofisa waandamizi wa benki hiyo wakishuhudia tukio hilo. Sindano la MastaBata 'Si Kikawaida' lililenga kuhamasisha matumizi ya kadi kwenye manunuzi badala ya fedha taslimu. Wengine ni Mkuu wa Idara ya Biashara ya Kadi – Philbert Casmir (mwisho kushoto), Donatus Richard Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam (mwisho kulia) na Manfred Kayala Meneja Mwandamizi Biashara ya Kadi (anayemfuatia Meneja wa Kanda).

Afisa Mkuu wa Fedha Benki ya NMB, Juma Kimori akimkabidhi tiketi ya ndege mshindi wa droo kuu ya MastaBata 'Si Kikawaida' Indra Pratap ambaye ameshinda safari ya kutembelea Mbuga ya Serengeti pamoja na mwenza wake ikiwa imelipiwa kila kitu. Wengine ni Manfred Kayala (kulia) Meneja Mwandamizi Biashara ya Kadi na Donatus Richard (katikati mwenye tai) Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam wakishuhudia tukio hilo. Shindano la MastaBata 'Si Kikawaida' lililenga kuhamasisha matumizi ya kadi kwenye manunuzi badala ya fedha taslimu.

Washindi 12 wa zawadi kuu ‘Grande Finale’ ya Kampeni ya NMB MastaBata ‘Siyo Kikawaida’ wamekabidhiwa zawadi zao mbalimbali, zikiwemo tiketi za ndege tayari kwa safari za utalii wa ndani katika Mbuga za Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar.

Hafla ya kukabidhi zawadi na tiketi hizo imefanyika jijini Dar es Salaam, ambako washindi wawili na wenza wao walikabidhiwa tiketi za safari ya utalii katika Hifadhi za Taifa za Serengeti na Ngorongoro, huku wengine 10 wakikabidhiwa zawadi mbadala zenye thamani ya Sh. Mil. 7 kila mmoja.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Ofisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Juma Kimori, alisema Kampeni ya NMB MastaBata iliyozinduliwa Novemba 24 mwaka jana, imemalizika kwa mafanikio makubwa kwa kuongeza idadi ya watumiaji wa kadi na kwamba jumla ya washindi 436 tayari wamekabidhiwa zawadi mbalimbali.

Wednesday, 21 April 2021

JUA KALI NDANI YA DStv JUMATANO - IJUMAA SAA 3:30 USIKU

 

Leo kwenye Jua Kali Love anampa makavu live Emma mbele ya Mrs Bill, Tizo anafichua siri ya kwanini amemteka Tuma, Anna amezinduka hospitali akiwa na maumivu makali!

Je nini kitatokea?? Ni ndani ya @maishamagicbongo,160 saa 3:30 usiku kupitia @dstvtanzania pekee.
Cc @lamataleah

Hakikisha unalipia kifurushi cha Bomba TShs 19,900 tu kwa kupiga *150*53# kutazama visa hivi.

DANIEL MMINELE STEPS DOWN AS ABSA GROUP CHIEF EXECUTIVE


20 April 2021 - The Absa Group Board and the Group Chief Executive, Daniel Mminele have come to an agreement pursuant to which he has stepped down as a director and Group Chief Executive and will be leaving the group with effect from 30 April 2021. The parties have not managed to achieve alignment in relation to the group’s strategy and the culture transformation journey.

Mr Mminele joined the Group as Group Chief Executive on 15 January 2020 and led the Group through the Covid-19 crisis and its response thereto. Last year, Absa delivered a comprehensive customer and client relief package, and provided support and relief to public health authorities and communities respectively across all its African markets, while delivering a resilient and respectable financial performance under difficult conditions.

“The Board was very excited about Daniel’s appointment and the positive role he was going to play at Absa. It is a matter of considerable regret that we reached this position. The parting of ways merely reflects divergent professional views and approaches, and is on a “no fault” basis. The board has conveyed to Mr Mminele its continued high regard for his competence and integrity. The parties believe that this course is in the best interests of the company and Mr Mminele. This was a very difficult decision that was not reached lightly,” said Absa Group Chairman, Wendy Lucas-Bull.

STANDARD BANK GROUP APPOINTS YINKA SANNI AS NEW CHIEF EXECUTIVE FOR AFRICA REGIONS

Standard Bank Group newly appointed Chief Executive for Africa Regions, Yinka Sanni.

Standard Bank Group, Africa’s largest bank by assets, has appointed Yinka Sanni as its new Chief Executive for Africa Regions and a member of the Group Leadership Council.

Sanni, the group’s Regional Chief Executive for West Africa, takes over from Sola David-Borha, who is retiring after 31 years of distinguished service to the group.

Sanni holds a B Agric (Hons) degree in Agricultural Economics from the University of Nigeria and an MBA from Obafemi Awolowo University. He attended the Advanced Management Programme at Harvard Business School in 2009 and the Global CEO Programme at the Wharton School in 2017. He has over 30 years of experience in the financial sector across wholesale, retail and asset management, and joined Standard Bank Group’s Nigerian subsidiary, Stanbic IBTC Bank Plc, in December 1990.

Tuesday, 20 April 2021

2 MILLION AFRICAN WOMEN ECONOMICALLY ENABLED TO THRIVE BY COCA-COLA’S INVESTMENT IN SKILLS AND RESOURCES

Some Dar es Salaam food vendors commonly known as Mama Ntilie display liquefied petroleum gas cylinders supplied to them by Coca-Cola Kwanza through 5by20 programme. The Coca-Cola system’s 5by20® women empowerment programme has so far benefited over 2 million women in Africa and equipped to succeed as entrepreneurs, while also helping to create sustainable communities.

Tuesday April 20 2021 Dar es Salaam - Cola-Cola Beverages Africa (CCBA) celebrated International Women’s Month in style this year with the release of audited results of the Coca-Cola system’s 5by20® women empowerment programme, which showed that 2 million women in Africa have been equipped to succeed as entrepreneurs, while also helping to create sustainable communities.

The global goal to economically enable 5 million women by 2020 – hence 5by20® – was handsomely exceeded, with 6 million women around the world gaining access to business skills, financial services, assets and support networks of peers and mentors, giving them the confidence, skills and resources to thrive.

The programme aimed to assist women entrepreneurs across the Coca-Cola value chain – agricultural producers, suppliers, distributors, retailers, recyclers, and artisans – to overcome challenges when establishing and growing their businesses.

The Coca-Cola Company worked with bottling partners, civil society organisations, government stakeholders and other private sector actors across 33 countries in Africa to roll out locally relevant initiatives.

NEW TIGO, ZANTEL OWNER PROMISES HUGE INVESTMENT


Dar es Salaam. Axian Group of Madagascar is buying Tigo and Zantel in Tanzania in a move that is expected to further whip up competition in the country’s telecommunications sector.

Although the transaction, whose value has yet to be revealed, is subject to customary closing conditions and regulatory approvals, the Antananarivo-based firm is already promising to make “significant investment” in Tanzania and Zanzibar during the next five years.

Tanzania will be Axian’s first excursion into an Anglophone country, where the firm plans to invest $400 million (Sh920 billion) in five years.

“We already have shared infrastructure. We’re very much interested in this market, which is not far from our home market,” Axian chief executive Hassanein Hiridjee said.

In the statement posted on its website (https://www.axian-group.com), the company says, “It (the consortium) intends to revolutionize the telecommunications ecosystem by placing customers and their needs at the core of their business while at the same time strengthening the quality and scope of the network’s coverage and associated services.”

The company said it would have four main strategic priorities in Tanzania and Zanzibar, including significantly increasing 4G network coverage for both Tigo Tanzania and Zantel.

TANZANIANS TO GET TSHS 28.8 BILLION FOR LAND ANNEXED IN EAST AFRICAN CRUDE OIL PIPELINE PROJECT


 The Minister for Energy and Minerals, Dr. Medard Kalemani has confirmed that a total of TShs 28.8 billion will be paid as compensation to Tanzanian's who gave out their land to pave way for the East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project.

Dr. Kalemani also said another milestone has been reached after the Government Negotiation Team (GNT) completed its paperwork and submitted its report, that clears the way for the project to kickoff.

Continue Reading > > >  

WORLD BANK COMMITS MORE FUNDS TO SUPPORT TANZANIA

President Samia Suluhu Hassan holds talks with World Bank Country Director, Ms. Mara Warwick (second left), at Chamwino State House in Dodoma yesterday. Second right is the Minister for Finance and Planning, Dr. Mwigulu Nchemba.

The World Bank has committed to supporting Tanzania with five more development projects worth 1.15 billion USD Dollars, which is equivalent to TShs 2.6 trillion.

The money is in addition to 4.9 billion US dollars, which is equivalent to TShs 11.2 trillion that the World Bank has so far approved for development projects in Tanzania.

This was unveiled yesterday by the World Bank Country Director, Ms. Mara Warwick during her meeting with President Samia Suluhu Hassan at Chamwino State House in Dodoma.

President Samia expressed gratitude to the World Bank for continuously being a great supportive development partner to Tanzania.

LIVE DISCUSSION - TOWARDS MORE EFFECTIVE PREMIUM BANKING & WEALTH MANAGEMENT

 

The Chartered Institute for Securities & Investment (CISI), the Kenya Institute of Bankers (KIB), the Tanzania Institute of Bankers (TIOB) and the Uganda Institute of Banking and Financial Services (UIBFS) would like to kindly invite you and your team to participate in a live Zoom webinar running on Friday, 23rd April. Please find the details below. 

You may follow the link below to Register.

Follow link to Register >> Towards more Effective Premium Banking & Wealth Management - Please ensure to register at least 1 hour prior to the start of the webinar. CPD points will be uploaded automatically for Members. You may also share your details with the ‘event speaker/s’ during the registration process if you wish your firm to know you attended the webinar and to receive the video and any slides used after the webinar.

You may also use the direct link below to join the webinar. However, CPD points will not be uploaded automatically and will have to be done manually:

CLICK HERE TO REGISTER > > >

Passcode: 240055

CLYDE & CO UPDATER - BANK OF TANZANIA: IMPACT OF SUPERVISORY ACTIONS


In recent months, we have seen the Bank of Tanzania (BoT) utilise its power to supervise certain banking and financial institutions in Tanzania. In turn, these institutions have resulted in taking much needed measures in order to meet the requirements set out by the BoT, as well as obtaining and enhancing other services following the revocation of licences of bureaux de change. In this article, we highlight the BoT's powers in the banking and financial services sector and their impact.

Background

The Banking and Financial Institutions Act 2006 (the Act) states that the power related to supervision of all banks and financial institutions is vested in the BoT. Section 4(2) of the Act provides that the BoT is vested with the power to carry out inspections of every banking and financial institution as well as ensuring compliance with any order, directive or determination issued or made by them. We discuss ways in which the BoT has used some of its supervisor powers on Tanzanian commercial banks below:

China Commercial Bank

During the inspection of China Commercial Bank in the last quarter of 2020, the BoT had noted that the total capital amount of China Commercial Bank had fallen below the requirement set out in section 17(1) of the Act. Due to the failure to comply with the minimum total capital amount requirement, the BoT was entitled to seize China Commercial Bank and did so in November 2020. The BoT then placed China Commercial Bank under its management in accordance with section 56(1)(g)(i) and section 56(2) of the Act. Upon seizing and placing China Commercial Bank under its management, and undergoing a lengthy process of due diligence, scrutiny and delegation, the BoT appointed the National Microfinance Bank (NMB) as the acquirer of all the assets and liabilities of China Commercial Bank. NMB’s total assets portfolio after acquiring the assets and liabilities of China Commercial Bank increased to over TZS 7.1 trillion.

Akiba Commercial Bank

Akiba Commercial Bank took a different approach in a similar situation relating to the required total capital amount to be held by a banking institution. Akiba Commercial Bank merged with the National Bank of Malawi in order to meet the total capital amount requirement provided under section 17(1) of the Act. To achieve this, the National Bank of Malawi curated a strategic investment deposit towards Akiba Commercial Bank worth TZS 17 billion. This in turn has kept Akiba Commercial Bank above the minimum core capital of TZS 15 billion as provided by section 17(1) (a) of the Act.

ABSA BANK TANZANIA DONATES 20 WHEELCHAIRS TO SUPPORT DISABLED PRIMARY SCHOOL STUDENTS IN FIVE REGIONS IN TANZANIA

Morogoro District Commissioner, Bakari Msulwa (third left) hands over part of 20 wheelchairs to a disabled student, Briton Andrew, donated by Absa Bank Tanzania at a function held in Morogoro Region. On his left is Absa Head of Communications and Corporate Relations, Aron Luhanga and others from left are; Ikupa Trust Fund official, Peter Charles, Briton mother, Stella Philipo and Absa Morogoro Branch Manager, Godfrey Chilewa. The 20 wheelchairs worth TZS 20 million will be distributed to primary school students in five regions; Morogoro (5), Dodoma (5), Iringa (2), Mbeya (3) and Zanzibar (5).
Absa Bank Tanzania Head of Marketing and Corporate Relations, Aron Luhanga (third left) hands over part of 20 wheelchairs to Agnes Yohana, a mother of disabled student, Santieli Mduma (seated), donated by Absa Bank Tanzania at a function held in Morogoro Region. On his right is Morogoro District Commissioner, Bakari Msulwa and Absa Morogoro Branch Manager, Godfrey Chilewa.

Absa Bank Tanzania has donated 20 wheelchairs to 20 disabled primary school students in five regions in the country. The 20 wheelchairs are worth TZS 20 million and will be distributed accordingly to the regions - Morogoro (5), Dodoma (5), Iringa (2), Mbeya (3) and Zanzibar (5).

Speaking on behalf of the bank during the handover, Head of Marketing and Corporate Relations, Aron Luhanga said, “Our bank plays a big role in bringing the youth’s possibilities to life, as we ensure the same impact to the communities. In partnership with Ikupa Trust Fund (NGO), we are ending these students’ troubles of going to school daily and on time as they intend to achieve their educational goals and prosper in life”.

Mr. Luhanga also commented by saying that Absa Bank has a major role of being a force for good to the community and ensures that youth are highly supported considering there is a bright future instore for them. This is evident in the continuous support the bank has been offering to the community under the education and skills development pillar.

Monday, 19 April 2021

DStv INAKULETEA PAZIA JUMATATU-JUMATANO SAA 1:30 USIKU

 

Mapenzi ya Mama Glory kwa baba Regina yageuka shubiri baada ya Mama Glory kugundua mwanae anatoka na Baba Regina, Sadik amuoa Tunu, Bidu roho yamuuma, Jemo nae atoa Fungu ili Dr Love auwawe ni leo saa 1:30 usiku ndani ya @maishamagicbongo, 160 kupitia @dstvtanzania cc @isikesamwel

Unakosaje??

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi Bomba TShs 19,900 tu kutazama visa hivi.

#vyanyumbanihuanziadstv

NMB BANK LAUNCHES DIGITAL MOBILE INSURANCE SOLUTION FOR MKONONI USERS

NMB Bank’s Chief Retail Banking – Filbert Mponzi (right) and the Relience Insurance Chief Executive Officer - Ravi Shankar (left) launching the NMB Mkononi Insurance cover that covers mobile phones against any damage. The launch event was held in Dar es Salaam.
NMB Bank’s Chief Retail Banking – Filbert Mponzi and the Relience Insurance Chief Executive Officer - Ravi Shankar launching the NMB Mkononi Insurance cover that covers mobile phones against any damage. The launch event was held in Dar es Salaam. Looking on is Acting Director of Legal affairs from Tanzania Insurance Regulatory Authority Emily Kiria (centre), NMB Head of BancAsurance – Martine Massawe (right) and the Relience Insurance Chief Finance Officer – Flora Mkaule.
  • The cover is available to existing and new users of NMB Mkononi
  • The insurance covers phone damages only and does not prone additional charges to NMB Mkononi users. 
Dar es Salaam. April 19th, 2021 - NMB Bank PLC has unveiled a partnership with Reliance Insurance to offer mobile phone insurance for customers using NMB Mkononi. The new insurance arrangement for NMB Mkononi users covers mobile phone damages.

While the claims process is supported by NMB Bank, Reliance Insurance Company will provide the insurance policy. With this insurance policy, customers will receive up to Tsh500, 000 per claim and a maximum of two claims per 12-month period.

The product dubbed NMB Mkononi Insurance cover provides protection against accidental damage in the event of an accident to mobile phone.

“With an increasing numbers of phone users in the country, there is an increased urgency to drive greater efficiency and improve the overall consumer experience at every touchpoint of the customer journey, “said Filbert Mponzi, NMB Bank’s Chief Retail Banking.

MILLICOM INTERNATIONAL CELLULAR S.A TO SELL ITS ENTIRE TANZANIA OPERATIONS TO AXIAN CONSORTIUM


Dar es Salaam 19th April 2021Millicom International Cellular S.A. (“Millicom”) the parent company of MIC Tanzania PLC (Tigo) and Zanzibar Telecom PLC (Zantel) announces that Millicom has signed an agreement for the sale of its entire operations in Tanzania (Tigo and Zantel) to a consortium led by Axian Group, a company based in Antananarivo, Madagascar.

The sale of the Tanzania business is in line with Millicom’s strategy to focus on providing fixed and mobile services in Latin America after investing in the development of the telecommunications industry in Africa for more than 25 years.

The Axian Group-led alliance brings together distinguished experts in mobile communications who have created and developed industry leading brands in the Indian Ocean, Africa and Europe. Axian Telecom is the Group’s telecom arm, with leading operations in Madagascar, Reunion and Mayotte islands, the Comoros, Senegal and Togo.

BENKI YA NMB YAZINDUA BIMA YA SIMU ZA MKONONI

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi (kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Reliance Tanzania, Ravi Shankar wakizindua rasmi huduma ya Bima ya simu kwa watumiaji wa NMB Mkononi jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Bima nchini, Emily Kiria (katikati) Mkuu wa Idara ya huduma za Bima Benki ya NMB, Martine Massawe (kulia) na kushoto ni Mkuu wa Idara ya Fedha wa Kampuni ya Bima ya Reliance, Flora Mkaule.

Benki ya NMB kwa kushirikiana Kampuni ya Reliance Insuarance, wamezindua huduma mpya na ya kipekee ya bima, inayolenga kulipia gharama za matengenezo ya simu za mkononi za wateja wao wanaotumia huduma ya NMB Mkononi pale zinapoharibika.

Huduma hiyo iliyo chini ya mwamvuli wa BancAsuarance, inatambulika kama Muamala Wako, Bima Yako, ambako simu yenye NMB Mkononi, itakayotumia huduma hiyo angalau mara moja kwa mwezi, italipiwa gharama za matengenezo isiyozidi Sh. 500,000.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi, alisema Muamala Wako, Bima Yako ni huduma inayoenda kufaidisha zaidi ya wateja milioni 3 wanaotumia huduma ya NMB Mkononi kote nchini.

Aliongeza kuwa, ubunifu wa kihuduma ni kipaumbele cha benki yake na kwamba wanaamini wateja wao wataifurahia sana bima hiyo na kwamba kutokana na kuongezeka kwa watumiaji wa simu za mkononi, wameona umuhimu wa kugusa mahitaji ya kila mteja.

BENKI YA NBC YATOA MSAADA WA MADAWATI, YAWAFUNDA WAJASIRIAMALI KIBITI

Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Bw Gullamhussein Kifu (watatukushoto) akipokea msaada wa madawati, viti pamoja na meza 500 kwa ajili ya shule za wilaya hiyo kutoka kwa Mkurugenzi wa Wateja wa wadogo wa Benki ya NBC, Elibariki Masuke (wapili kulia). Msaada huo ukilenga kuboresha sekta ya elimu. Wengine pichani ni Mbunge wa jimbo la Kibiti Bw Twaha Mpembenwe (kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Neema Singo (wapili kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kibiti Bw Abduljabir Marombwa. Hafla hiyo imefanyika hivi karibuni wilayani kibiti.
Mkurugenzi wa Wateja wa wadogo wa benki ya NBC Bw Elibariki Masuke akizungumza na wajasiriamali wanawake wilayani Kibiti wakati wa mafunzo ya kibiashara na ujasiriamali kwa wanawake wajasiriamali 150 wilayani humo ili kuwajengea uwezo wa kuendesha biashara zao kwa ufanisi huku wakizingatia nidhamu ya fedha kabla hawajapatiwa mikopo kwa ajili ya kukuza mitaji yao na benki hiyo.

Kibiti, Pwani: April 17, 2021: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa msaada wa madawati 250, viti viti pamoja na meza 250 wilayani Kibiti mkoni Pwani ikiwa ni sehemu ya Mpango wa kipekee wa uwajibikaji wa Jamii (CSR) ambao unaplenga kuchangia utoaji wa elimu bora nchini.

Zaidi, benki hiyo pia imetoa mafunzo ya kibiashara na ujasiriamali kwa wanawake wajasiriamali 150 wilayani humo ili kuwajengea uwezo wa kuemdesha biashara zao kwa ufanisi huku wakizingatia nidhamu ya fedha kabla hawajapatiwa mikopokwa ajili ya kukuza mitaji yao.

Sunday, 18 April 2021

WAZIRI MWAMBE AHIMIZA WATANZANIA KUINGA MKONO BENKI YA CRDB ASEMA NI BENKI YA KIZALENDO YENYE NIA YA DHATI YA KUWAKOMBOA WANANCHI KIUCHUMI

Waziri wa Uwekezaji, Geoffrey Mwambe akizungumza katika Semina ya Uwekezaji iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wanahisa wake na wadau wengune mbalimbali iliyofanyika pia kwa kupitia mtandao na kuhudhuriwa na washiriki zaidi ya 3,000, Semina hiyo ilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Picha zote na Othman Michuzi.
  • Asema ni benki ya kizalendo yenye nia ya dhati ya kuwakomboa wananchi kiuchumi
  • Aitaka Benki ya CRDB kuanzisha dirisha la Viwanda kuchochea Uwekezaji
Dar es Salaam, 17 Machi 2020
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Geoffrey Mwambe amewataka Watanzania kuiunga mkono Benki ya CRDB kwa kwa kupata huduma katika benki ili kuendelea kuiimarisha kwani benki hiyo inaonyesha uzalendo wa hali ya juu katika kuwainua wananchi kiuchumi. Waziri Mwambe amezungumza hayo wakati wa Semina ya Uwekezaji na Fedha iliyoandaliwa na Benki ya CRDB na kufanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere na kuhudhuriwa na watu zaidi ya 3,000 ambapo wengi wao walihidhuria kupitia mtandao.

“Benki hii imekuwa ikiwathamini sana Watanzania kwa kuandaa kuanzisha huduma na programu wezeshi kiuchumi kwa wananchi. Hivyo tunapaswa kuiunga mkono ili iendelee kuwepo na kuwahudumia Watanzania. Fungueni akaunti katika Benki hii na mtumie huduma za kisasa za kidijitali ambazo zinatolewa hapa,” alisistiza Waziri Mwambe.

 

Waziri Mwambe alisema kwa kuwa Benki ya CRDB imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia agenda za maendeleo ya nchi anaialika Benki hiyo kushiriki katika mkakati wa kupanua wigo wa uwekezaji nchini kwa kuanzisha dirisha maalum la viwanda ili kuchochea kuimarika viwanda vidogo na vikubwa kwa kuwawezesha wawekezaji kupata mitaji ya uhakika.

“Kwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hii Abdulmajid Nsekela ndio Mweneyeki wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) nimuombe ashawishi na mabenki mengine kutekeleza hili ili. Nitaandaa mkutano na umoja huu iliyuweze kulijadili hili kwa upana,” aliongezea Waziri Mwambe.

Friday, 16 April 2021

BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) NA BENKI YA TAIFA YA BIASHARA (NBC) KUWAWEZESHA MAELFU YA WAKULIMA KUPATA MIKOPO NAFUU

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Derick Lugemala (katikati), akizungumza na waandishi wa kabari wakati wa hafla ya kutia saini mikataba kwa ajili ya kuingia makubaliano yakufanya kazi pamoja na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) yenye lengo la kuwawezesha maelfu ya wakulima wadogo katika minyororo ya thamani ya kilimo. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa NBC, Elvis Ndunguru (kushoto) pamoja na Meneja wa Mfuko Maalum wa Dhamana kwa wakulima wadodo kutoka Benki ya TADB,  Asha Tarimo.
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Elvis Ndunguru (Kulia), akizungumza na waandishi wa kabari wakati wa hafla ya kutia saini mikataba kwaajili kuingia makubaliano yakufanya kazi pamoja na Benki ya Maendeleo ya kilimo (TADB). Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya TADB, Derick Lugemala.
Mkurugenzi wa Biashara Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya TADB, Derick Lugemala wakitia saini Mikataba ya makubaliano ya kufanya kazi pamoja.
  • Zadhamiria kukuza mitaji na kuleta mageuzi katika kilimo, uvuvi na ufugaji
Dar es Salaam. Jumanne, 13 April, 2021 - Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeingia katika makubaliano na benki ya biashara NBC kuwawezesha maelfu ya wakulima wadogo wadogo nchini kupata mikopo yenye riba nafuu ili kuweza kukuza biashara zao na kufanya mageuzi katika sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji.

Makubaliano haya, yaliyosainiwa katika makao makuu ya TADB jijini Dar es Salaam, yataiwezesha benki hiyo kutoa dhamana kwa wakulima watakaoenda kuomba mikopo NBC kufanya shughuli za kilimo, ufugaji pamoja na uvuvi kwa riba nafuu ya asilimia kumi na nne (14%) tu. Dhamana hii inaratibiwa na TADB chini ya mfuko maalum wa dhamana kwa wakulima wadogo nchini ‘SCGS’.

“Kwa muda mrefu tumeona wakulima wetu nchini wakipata changamoto ya mitaji. Wengi wakilazimika kukopa kwa riba za kibiashara ambapo wengi wao wamekuwa wakipata changamoto ya kuhimili riba hizo kubwa. Hivyo, kama taasisi ya maendeleo ya kifedha, kupitia mfuko wa dhamana kwa wakulima wadogo, tumeona umuhimu wa kutoa mikopo hii nafuu kwa kushirikiana na NBC ili kuwawezesha wakulima wengi zaidi kupata mitaji,” alieleza Derick Lugemala, Mkurugenzi wa Fedha kutoka TADB.

MAWAKALA WA TIGO PESA WASHINDA MAMILIONI


Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa, Angelica Pesha, akiongea na waandishi wa habari katika hafla ya kuwakabidhi mfano wa hundi mawakala walioibuka washindi katika promosheni ya Push promotion, ikiwa kama maadhimisho ya miaka 10 ya Tigo Pesa. Pembeni yake ni Paison Baruti (wakala kutoka Zanzibar)


Kampuni ya Tigo Tanzania jana imewazawadia mawakala 12 wa Tigo Pesa walioshiriki na kushinda katika kusherehekea miaka 10 ya Tigo Pesa.

Huduma hiyo ya kifedha, ilianza Machi 2 hadi Machi 31 mwaka huu.

Mawakala hao 12 wanatoka katika maeneo tofauti ya Kikanda ya Tigo, ambayo ni pamoja na Kanda wa Pwani, Ziwa, Kaskazini na Kanda ya Kusini maeneo ambayo shughuli zinazoendelea za maadhimisho ya miaka 10 ya Tigo Pesa hapa nchini.

Ushirikishwaji wa mawakala umeandaliwa na Kitengo cha Huduma za Fedha za Mkononi cha Tigo, Tigo Pesa, ili kurudisha zaidi ya Tsh milioni 260 kwa Mawakala kote nchini.

Ushirikishwaji huu ambao ulifanyika kwa kipindi cha mwezi mmoja, uliwazawadia mawakala ambao wamefanya miamala mingi katika Kanda zao kwa mwezi.

CHIEF INSPECTOR OF MINES AUTHORIZES GEITA GOLD MINING LIMITED 2021 MINING PLAN

Geita Gold Mining Limited Managing Director, Richard Jordinson

Geita Gold Mining Limited (GGML) has recently received the approval of the 2021 Mining Plan for underground and open pit operations. The Chief Inspector of Mines Dr. Abdul Rahman Mwanga has authorized Geita Gold Mining Limited’s (GGML) 2021 Mining Plan for underground and open pit operations. The authorization signed recently is based upon the documentation provided by the Company to the Mining Commission.

Following the approval, GGML is expected to conduct mining operations as described in the complete evaluated application package approved by the Chief Inspector of Mines. The Company is also required to conduct its business in compliance with the terms and conditions of the Tanzania Laws. Furthermore, the Company will update the approved Mining Plan annually and in occurrence of major changes in the operations.

Commenting on the authorization, GGML’s Managing Director Richard Jordinson commended the Government for continued collaboration over the years and disclosed that GGML would now have the opportunity to maximize the mine’s potential and meet stakeholder expectations.