Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo (katikati) akiotesha mti kwenye eneo la hifadhi ya msitu wa mazingira asilia wa Kazimzumbwi wilayani humo, ikiwa ni sehemu ya tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival linaloambatana na upandaji miti ili kutunza mazingira pamoja na shughuli mbalimbali za utalii. Kulia ni Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald ambao ni wafadhili wa tamasha hilo na Mhifadhi Mazingira kutoka WWF, Dkt. Severin Kalonga. WWF na Vodacom Tanzania ni wadau wa kulinda na kutunza mazingira nchini. |
No comments:
Post a Comment