Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Friday, 1 January 2021

#EPL INAZIDI KURINDIMA HUKU LEO TUKIANGAZIA MTANANGE WA MAN UNITED DHIDI YA ASTON VILLA



Wakati tukiendelea na shamrashamra za Mwaka Mpya 2021, #EPL inazidi kurindima huku leo tukiangazia mtanange wa Man United dhidi ya Aston Villa.

Na kama kawaida DStv wanazidi kukupa Vibe kwa kuhakikisha unatazama mechi hii Live kupitia SS PL 223 ndani ya kifurushi cha Compact.

Piga *150*53# kulipia sasa kifurushi chako ili usikose mechi hii.

Na kama hujajiunga jiunge sasa kwa kupiga simu 0659  07 07 07.

#SokaLisiloPimika

#VibeLaSikukuuNaDStv

No comments:

Post a Comment