Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 17 December 2020

VIBE LA #EPL MSIMU HUU WA SIKUKUU NDANI YA DStv SI LA KITOTO!!!


Vibe la #EPL msimu huu wa sikukuu si la kitoto!

Jumamosi hii, wanakutana uso kwa uso Crystal Palace dhidi ya Liverpool, huku Everton wakivaana na Arsenal, uhakika wa kutazama mechi hizi ni kupitia DStv ndani ya kifurushi cha Compact TShs. 49,000 tu.

Piga *150*53# kulipia mapema ili usikose mechi hizi.

#SokaLisiloPimika

#VibeLaSikukuuNaDStv

No comments:

Post a Comment