| Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la kampuni hiyo lililopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya Vodacom nchini. Kulia ni Meneja wa maduka ya rejareja Vodacom, Vanessa Mlawi. |
No comments:
Post a Comment