| Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo, akikabidhi mfano wa hundi yenye dhamani ya shilingi 138,603,889 ikiwa ni gawio la wanahisa kutoka Benki ya DCB kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa, pamoja na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo Zawadia Nanyaro, hafla hiyo imefanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment