| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Mabalozi wapya wanne walioteuliwa kuwaikilisha Tanzania katika nchi mbalimbali walizopangiwa mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020. |
No comments:
Post a Comment