| Balozi wa akaunti maalumu ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Neema Mziray (kulia), akizungumza na baadhi ya watu waliofika katika banda la benki hiyo katika maeneo ya Mlimani City Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu faida na jinsi ya kujiunga na akaunti hiyo inayomhakikishia mteja uhakika wa elimu ya mtoto wake hadi kufika chuo kikuu hata yanapotokea majanga yatakayosabisha ulemavu wa kudumu ama kifo. Kutoka kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja wa kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance, Dk. Maria Janja na Mfanyabiashara wa Vyakula, Happy Lyimo. |
No comments:
Post a Comment