Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 30 September 2019

BENKI YA NMB YAAHIDI MAKUBWA KIKAO KAZI CHA MAOFISA WA POLISI

Kutoka kushoto: Kamishna wa Police, Operesheni na Mafunzo, Liberatus Sabas, Kamishna Msaidizi Mwandamizi: Mipango na Bajeti, Yustus Kamugisha, Kamishna wa Polisi; Inteligensia, Charles Mkumbo, Kamishna Msaidizi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Biashara za Serikali wa Benki ya NMB, Vicky Bishubo baada ya kikao kazi cha Maofisa wa Polisi kilichofanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam hivi karibuni.
Maafisa wa Benki ya NMB, Ally Ngingite (kushoto) na Isaac Mgwassa (kulia) wakibadilishana mawazo na Kamishna Msaidizi; Tathmini na Ufuatiliaji, Semiyono.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, S.R. Handuni akifurahia jambo na Afisa wa Benki ya NMB, Amanda Feruzi.
BENKI ya NMB, imewahakikishia askari wa Jeshi la Polisi na wafanyakazi wa Serikali nchini, huduma bora, rafiki na sahihi za kibenki, zitakazokuza pato la mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, ili kuendana na kasi ya maendeleo kuelekea Uchumi wa Kati.

Ahadi hiyo imetolewa na Meneja Mwandamizi wa Wateja Binafsi na Kati wa NMB, Ally Ngingite, katika siku ya pili ya Kikao Kazi cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Mikoa na Vikosi, kinachofanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam.

CÔTE D'IVOIRE AND KENYA NAMED RISING STARS OF GLOBAL TRADE


African economies come first and third in the Standard Chartered Trade20 Index, which identifies the markets with the greatest potential for future trade growth

DUBAI, United Arab Emirates, September 30, 2019/ -- Côte d'Ivoire is the market that has most rapidly improved its trade growth potential over the past decade, according to new research from Standard Chartered (www.SC.com). The Trade20 index, which identifies the 20 rising stars of trade, places African markets Côte d'Ivoire in the top spot, and Kenya at number three.

The Trade20 index determines each market’s trade growth potential by analysing changes within the last decade across a wide range of variables, grouped into three equally-weighted pillars: economic dynamism, trade readiness and export diversity.

BANK OF AFRICA SECURES 22.9BN/- CAPITAL INJECTION

Bank of Africa (BOA) Tanzania Limited Managing Director, Joseph Iha (centre) speaks to journalists in Dar es Salaam recently. He announced that the bank has secured a hefty 22.9bn/- general capital increase as part of the strategy to broadening and improving services in the market. He is flanked by Deputy Managing Director, Wasia Mushi (left) and Deputy Managing Director - Business Development, Samir Yassine.

BENKI YA NMB YABORESHA MFUMO WA ULIPAJI KWA KUTUMIA KADI

Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Maofisa wa Benki ya NMB alipotembelea banda la benki hiyo kwenye Maonesho ya pili ya 'Zanzibar Tourism Show' Visiwani Zanzibar hivi karibuni.
Maofisa wa Benki ya NMB wakifurahi pamoja na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo baada ya kukabidhiwa cheti cha shukrani kwa udhamini wao.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd (mwenye miwani) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya pili ya 'Zanzibar Tourism Show' Visiwania Zanzibar hifi karibuni.
UONGOZI wa Benki ya NMB umesema kuwa unazidi kuboresha mifumo ya huduma zao za kadi ili kuhamasisha watalii pamoja wananchi wa kawaida kutumia kadi kwenye malipo na ununuzi.

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi wa Benki ya NMB, Philbert Casmir wakati akizungumza kwenye maonesho ya Utalii visiwani Zanzibar, ambapo benki hiyo ni moja wapo ya mdhamini mkuu wa maonesho hayo yaliyofika tamati siku ya Jumamosi.

Alisema kutokana na ukuaji wa Teknologia Duniani, ndivyo wanavyo buni mbinu zitakazo wawezesha wateja wao kupata huduma bora na za kimataifa. Vilevile, mifumo ya Kidigitali na matumizi ya kadi za MasterCard ambazo zinatumika kitaifa na kimataifa zimekua zikiondoa usumbufu kwani huduma hizo zinaweza kutumikaa ndani na nje ya nchi.

Friday, 27 September 2019

MAREKANI KUTOA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 120 KUPAMBANA NA UGONJWA WA SELI MUNDU (SICKLE CELL)

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya wa Marekani Admiral Brett Giroir. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ubalozi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioko New York Marekani.
Naibu Waziri wa Afya wa Marekani Admiral Brett Giroir akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Hayupo Pichani) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ubalozi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioko New York Marekani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa katika kikao na Naibu Waziri wa Afya wa Marekani Admiral Brett Giroir. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ubalozi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioko New York Marekani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa katika picha na Naibu Waziri wa Afya wa Marekani Admiral Brett mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ubalozi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioko New York Marekani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Afya wa Marekani Admiral Brett mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ubalozi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioko New York Marekani.
Tanzania ni miongoni mwa baadhi ya Nchi zinazotarajiwa kunufaika na kiasi cha dola za Kimarekani milioni 120 zilizotengwa na Serikali ya Marekani kwa ajili ya utafiti wa kupambana na ugonjwa wa seli mundi (sickle cell).

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya wa Marekani Admiral Brett Giroir wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi jijini New York Nchini Marekani.

HOW TO REDUCE THE RISK OF MOBILE BANKING FRAUD

By Kelvin Mkwawa, Seasoned Banker.
Mobile banking has changed the way we bank. Managing your money has never been easier as now you can do banking transactions anywhere, anytime, thanks to alternative channels like mobile banking. The rapidadoption of digital banking channels, especially mobile, is forcing banks to rethink customer experience and processes. Because of the lower cost of banking, most customers are choosing mobile banking over traditional banking channels. While mobile banking seems like the obvious future of banking because of lower costs, and increased convenience, this convenience and accessibility are opening new doors to people who are always looking for vulnerabilities to exploit the customer’s financial data for their own gains.

So, the big question today is this: is mobile banking safe for baking transactions? Mobile banking is generally secure but the main challenge is from the customer side as most consumers do not understand the technology their bank is using but need to feel confident that their financial data is protected. I have not seen any research data in Tanzania regarding security concerns of mobile banking but, 73% of non-users of mobile banking in the US Federal Reserve Board Survey cited security concerns as a common reason for not using mobile banking. The primary responsibility of the safety of mobile banking is with a bank: the bank must ensure that its mobile banking app has adequate fraud prevention built-in to maintain the trust and safety of its customer’s data. The secondary responsibility of ensuring mobile banking frauds are limited is with the customer: customers must play their part to mitigate the risks of someone breaching their data. In this article, I will share a few things that customers and banks can do to mitigate the chance of falling victim to mobile banking fraud.
  • Multi-Factor Authentication – Having a single password methodology to access customer’s account is not recommended because passwords can be easily broken by fraudsters. Multi-factor authentication adds another layer of defence by requiring the user to submit something else other than the login password. For example, a bank can require additional login information such as facial recognition scanning option, biometric ID such as fingerprint, and special generated one-time passwords to ensure that only authenticated person can access your data. In addition, make sure your phone is always locked when not in use and makes sure your phone's browser does not automatically input your passwords or usernames for you. Also, it is recommended changing your Online or Mobile Banking password at least every 90 days. I would suggest changing your password frequently to help you maintain confidentiality.
  • Choose and Act Wisely – One of the basic routes for fraudsters to access your information is through phish links, unofficial apps, and non-secured networks. Therefore, don’t follow links in any emails that claim to be from your bank. If you want to do your banking, it is widely advised to go to your bank’s website directly and not otherwise. In addition, download your bank’s app only from the direct official app store or your bank’s website as fraudsters are capable of developing similar apps that contain malware and invite you to download them through emails or text messages. Furthermore, makes sure that you are connected to a secured network when you are conducting transactions through mobile banking, hence preventing the unauthorized user(s) from accessing your data. So, usage of public Wi-Fi hotspots for mobile banking should be avoided.
  • Subscribe for Mobile Notification – It is very important to subscribe to mobile notification because they will alert you quickly of any suspicious transaction. For any transactions that are done through mobile banking, you will get a notification which helps you monitor your transactions closely. Also, through mobile notification, the bank will alert you of the unsuccessful login attempts to your mobile banking account which helps you to stay vigilant. So if you haven’t subscribed to mobile banking notification already, do it now.
Criminals are increasingly turning into mobile fraud as traditional channels have become more protected. In the world of mobile transactions, criminals are constantly preying on customers and banks to exploit vulnerabilities, hence fighting mobile fraud requires speed and flexibility from both banks and customers.

Written by Kelvin Mkwawa, MBA
Seasoned Banker
Email address: Kelvin.e.mkwawa@gmail.com

WATEJA WA TIGO JIJINI MWANZA KUFIKIWA NA HUDUMA KWA URAHISI BAADA YA UFUNGUZI WA DUKA JIPYA LILILOPO KATIKA JENGO LA ROCK CITY MALL

Mkuu Wilaya ya Ilemela Dk Severine Lalika, akikata utepe kuzindua duka la Tigo kwenye jengo la Rock City jijini Mwanza, kushoto ni Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice Kinabo na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati wakishuhudia.

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthman Madati akitoa hotuba kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo kwenye jengo la Rock City jijini Mwanza.
Mkuu Wilaya ya Ilemela Dk Severine Lalika, akitoa hotuba wakati wa kuzindua duka la Tigo kwenye jengo la Rock City jijini Mwanza

PROF. KABUDI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA WHO NEW YORK MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa pamoja na Dkt. Tedross Adhamon Ghebreyesus, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kulia ni Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Modest Mero.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa katika mazungumzo na Dkt. Tedross Adhamon Ghebreyesus, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Mazungumzo hayo yamefanyika New York, Marekani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiagana na Dkt. Tedross Adhamon Ghebreyesus, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) mara baada ya kumaliza mazungumzo walipokutana Jijini New York Nchini Marekani.

Thursday, 26 September 2019

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA KIDIJITALI KURAHISISHA MALIPO


Ofisa wa Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Oswald Kashasha (kulia) akiendesha zoezi la usajili wa kidijitali kwa mmoja wa wateja wa benki hiyo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa kampeni ya huduma mpya ya kidijitali ya benki hiyo iliyopewa jina ‘Kulipa Inalipa’ iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mkuu wa Tawi la Kati la benki hiyo, Mariam Kombo (kushoto).
Mkuu wa Tawi la Kati la benki hiyo, Maraiam Kombo (kulia) akifuatilia huduma zinazotolewa na benki hiyo kwa mmoja wa wateja waliofika kwenye tawi la benki hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya huduma ya mpya ya kidijitali ya benki hiyo iliyopewa jina ‘Kulipa Inalipa’ iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya wateja wa kati na wadogo wa Benki ya NBC, Elibariki Masuke (katikati) akifafanua jambo wakati wa wa uzinduzi wa kampeni ya huduma mpya ya kidijitali ya benki hiyo iliyopewa jina ‘Kulipa Inalipa’ iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Idara ya Huduma za Kidigitali kutoka benki hiyo, Deogratius Mosha (kushoto) na Mkuu wa Tawi la Kati la benki hiyo, Mariam Kombo (kulia).
Mkuu wa Idara ya Huduma za Kidigitali kutoka benki hiyo, Deogratius Mosha (kushoto) akifafanua jambo wakati wa wa uzinduzi wa kampeni ya huduma mpya ya kidijitali ya benki hiyo iliyopewa jina ‘Kulipa Inalipa’ iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam. 
Benki ya NBC imezindua huduma yake maalumu ya kidijitali ambayo pamoja na mambo mengine inalenga kurahisisha huduma ya malipo kwa wateja wake wanaofanya miamala ya malipo kwa taasisi mbalimbali ikiwemo malipo ya serikali, umeme na huduma za maji.

Akizungumza wakati wa hafla fupi ya Uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya wateja wa kati na wadogo wa Benki ya NBC, Elibariki Masuke alisema huduma inayohusisha usajili wa chini ya muda wa dakika tano tu na inaondoa kabisa matumizi ya karatasi katika usajili ambao hapo awali ulikuwa ukitumia muda mrefu huku pia ukihusisha mahitaji ya nyaraka nyingi.

“Kupitia huduma hii mteja anachotakiwa ni kufika tu kwenye matawi yetu akiwa na kitambulisho cha uraia kutoka NIDA na ndani ya dakika 5 tu tayari atakuwa amefanikiwa kujisajili sambamba na kupatiwa kadi yake ya ATM na kuunganishwa na huduma ya Simbanking,’’.

“Na kwa wateja ambao watashindwa kufika kwenye matawi yetu wanaweza kuwatumia mawakala wetu pamoja na mamia ya maofisa wetu watakao kuwa tayari kuwasaidia kufanikisha usajili huo bila gharama yoyote,’’ alibainisha.

PROF. PALAMAGAMBA JOHN KABUDI KATIKA PICHA YA PAMOJA NA RAIS WA MAREKANI DONALD TRUMP NA MKEWE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani, Donald Trump na Mkewe Melania. Prof. Palamagamba John Kabudi yuko New York, Marekani kuhudhuria mkutano wa 74 wa Baraza la Umoja wa Mataifa.

STANBIC BANK TANZANIA COMMITS TZS 177 BILLION TO INFRASTRUCTURE PROJECTS IN TANZANIA

DAR ES SALAAM, Thursday 26 September 2019: Stanbic Bank Tanzania has reaffirmed its commitment to the development of Tanzania and announced that in 2019 it provided TZS 177 billion in funding to various infrastructure development projects in the country. Providing finance and financial expertise to the private and public sector in Tanzania is a key focus for the bank.

Stanbic Chief Executive Mr. Ken Cockerill said, “Stanbic Bank is well positioned to play an important role in supporting Tanzania’s second Five Year Development Plan, which seeks to encourage industrialization and promote economic growth and social development.”

Mr Cockerill also mentioned that, “Infrastructure development is the cornerstone for sustainable long-term economic growth and competitiveness. With that in mind we are proud to be at the forefront of bridging the infrastructure funding gap to accelerate socioeconomic transformation in Tanzania.”

Unlocking private sector funding will create solutions to bridge Tanzania’s and the continent's infrastructure deficit and challenging business environment by developing and financing infrastructure, natural resources and industrial assets with a view to enhancing productivity and generating economic growth across Africa.

CAPITAL INJECTION INTO BANK OF AFRICA TANZANIA LIMITED

UTT AMIS BOND INVESTMENT OPTIONS

Wednesday, 25 September 2019

HONOURABLE KABUDI LAUDS AIRTEL OVER NEW SEAMLESS TRANSACTION IN EAST AFRICA

The Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Professor Palamagamba Kabudi welcomes the Airtel Tanzania Managing Director, Sunil Colaso to his office where he received a brief on the newly launched Airtel Money seamless transaction in East Africa. Left is the Airtel Tanzania Corporate Affairs Director, Beatrice Singano.

  • Airtel Tanzania supports cross boarder financial services to boost regional integrations
The Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Professor Palamagamba Kabudi has lauded Airtel Tanzania for partnering with sister operators within East Africa to facilitate seamless transactions between Tanzania, Kenya, Rwanda and Uganda.

He made the remarks in his office recently when the Airtel Tanzania Managing Director Sunil Colaso paid him a courtesy call to brief him on the current development where Airtel Money users from the four countries will be able to do transactions as the service has already been launched.

“This partnership between Airtel Tanzania and other Airtel operators in Kenya, Uganda and Rwanda will help to boost business between the four countries as it will be easy to pay through an integrated Airtel Money system,” he said.

TIGO YAZINDUA PROMOSHENI YA TIGO CHEMSHA BONGO, KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza, wakati wa ufunguzi wa msimu wa Tigo Fiesta Saizi Yako na bahati nasibu ya Tigo chemsha bongo, kushoto ni Meneja wa Tigo kanda ya Ziwa Daniel Mainoya na Afisa Huduma za Ziada wa Tigo Fabian Felician.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu gari atakalopewa mshindi wa Tigo chemsha bongo jijini Mwanza, wakati wa ufunguzi wa msimu wa Tigo Fiesta Saizi Yako na bahati nasibu ya Tigo chemsha bongo.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Uthmaan Madati, akiwasha gari la mfano atakalopewa mshindi wa Tigo chemsha bongo jijini Mwanza, wakati wa ufunguzi wa msimu wa Tigo Fiesta Saizi Yako na bahati nasibu ya Tigo chemsha bongo.
Mteja wa Tigo kuzawadiwa gari aina ya Renault Kwid na wengine kujishindia mamilioni kama zawadi katika promosheni iliyozinduliwa leo Mwanza,iitwayo Tigo Chemsha Bongo katika msimu wa Tigo Fiesta 2019-Saizi Yako.

Akizungumza na waandishi wa habari,(Septemba 24,2019), wakati wa uzinduzi wa shindano la Tigo Fiesta Chemsha Bongo, ambalo linatafanyia Tanzania nzima katika msimu wa Tigo, Mkurugenzi Tigo Kanda ya Ziwa, Uthmaan Madati, alisema kwa mara ya kwanza, mkoa huo umeweka historia ya kufungua shughuli zote za Tigo Fiesta Saizi Yako 2019

BENKI YA DCB YAZIDI KUNG’ARA

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, James Ngaluko (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kutangaza kumaliza kampeni ya Bidhaa yake ya muda maalum inayojulikana kama "DCB Lamba Kwanza’’ ambapo alitangaza kuvuka malengo kutoka amana za Shiling Bilioni 15 hadi Bilioni 18.5 sawa na asilimia 123. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rahma Ngassa, Meneja wa Tawi la Magomeni, Fortunata Benedict na Mkurugenzi wa Wateja Binafsi, Fredrick Mwakitwange.
Dar es Salaam, 24 Septemba 2019 - Benki ya Biashara ya DCB imetangaza kumaliza kampeni ya bidhaa yake ya akaunti ya muda maalumu inayojulikana kama ‘DCB Lamba Kwanza’ kwa mafanikio makubwa huku ikivuka malengo yake iliyojiwekea ya shilingi Bilion 15 na kuongeza amana kwa shilingi Bilioni 18.5 ambayo ni zaidi ya asilimia 123.

Kampeni ya DCB Lamba Kwanza iliyozinduliwa Mei 29 mwaka huu na kudumu kwa muda wa miezi mitatu huku ikiwa na lengo la kukusanya amana za kiasi cha shilingi Bilioni 15, iliwawezesha wateja wa benki hiyo kuwekeza na kupata riba ya hadi asilimia 14 ya amana wanayowekeza ambapo mteja alianza kupokea riba yake ya mwezi papo hapo.

Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa Biashara, James Ngaluko alisema ‘tunatoa shukurani zetu za dhati kwa wateja wetu kwa kuweza kuipokea bidhaa hii na kuweza kunufaika nayo kwani wamenufaika sana,kila mwezi umekua mwezi wa faida. Mteja anafurahia riba yake inayolipwa mwanzo wa mwezi kila mwezi, malipo ya riba ni rafiki mteja anaweza kuwekeza kuanzia miezi mitatu (3) mpaka miaka miwili (2). Ni jambo la fahari kuona Benki ya kitanzania inatoa fursa kwa Watanzania na kuwawezesha kuboresha maisha na uchumi’.

PROF. KABUDI AMUWAKILISHA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI UNGA

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akifuatilia Mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu kuhusu upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ambao unafanyika sambamba na mkutano wa 74 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa New York, Marekani.
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika Mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu kuhusu upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ambao unafanyika sambamba na mkutano wa 74 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa New York, Marekani.

Baadhi ya wajumbe wanaoshiriki katika Mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu kuhusu upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ambao unafanyika sambamba na mkutano wa 74 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa New York, Marekani. Katika Mkutano huo Tanzania inawakilishwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb).

Tuesday, 24 September 2019

INVITATION FOR EXPRESSION OF INTEREST FOR DESIGN, IMPLEMENTATION AND SUPPORT OF A USER NETWORK FOR THE NEW CRDB BANK PLC HEADQUARTERS BUILDING

BANKERS CREATE CODE TO INCREASE CUSTOMERS' TRUST

Tanzanian Bankers have created the first common code of conduct to self-govern the sector, while the industry recovers from the bad loans trend in almost 25 years after forming their association.

The lenders under their umbrella, Tanzania Bankers Association (TBA), have come up with a common code to increase customers trust and create a fair playing field to enable positive competition.

JOB VACANCY AT DELOITTE - SENIOR CONSULTANT: ENTERPRISE SOLUTIONS

Company Description

About Deloitte


Deloitte is a leading provider of world-class professional services dedicated to providing value added solutions to our clients. We take pride in our reputation for providing a globally consistent quality service, an integrated approach and world-class expertise. Deloitte is renowned for its innovative and collaborative culture, where talented people work closely with like-minded individuals to achieve collective success.

Deloitte East Africa provides seamless cross-border services to multinationals, large national enterprises, small and medium sized enterprises and the public sector, across four (4) countries of the region: Tanzania, Uganda, Kenya and Rwanda. Deloitte Tanzania has an exciting opportunity for a qualified individual to join our Enterprise Solutions department as a Senior Consultant to support technology advisory services in our Dar es Salaam Office.

About the Department

The Enterprise Solutions provides a variety of Enterprise Applications and Technology Integration solutions to assist clients in achieving business value through Information Technology (IT). This is achieved by providing a spectrum of services ranging from advisory right through to implementation. We help clients gather, analyze, access, and use information from across the enterprise to create value in all aspects of their business – from the back office to the front desk, from Customer Relationship Management (CRM) to Supply Chain to Enterprise Resource Planning (ERP).


Job Description

What you will do/Specialized Competencies:

  • Ensures that client issues are identified and addressed appropriately in accordance with Deloitte policies while leveraging on firm resources; 
  • Anticipates client needs and keeps in touch with senior client management to address them without compromising the interests and integrity of Deloitte;
  • Provides business thought leadership in technology services;
  • Develops new and innovative approaches to analyzing raw data to help draw meaningful conclusions.;
  • Takes a lead role in coaching and providing performance feedback to the team and inspires others to do the same;
Continue Reading >>>

NMB BANK AND TADB FULFIL THE GOVERNMENT’S DREAM TO DEVELOP MORE FINANCIAL SERVICES TARGETING SMALLHOLDER FARMERS

Deputy Minister for Agriculture, Hussein Bashe (second right), speaks to journalists in Dar es Salaam recently, when NMB Bank inked a partnership agreement with Tanzania Agricultural Development Bank (TADB), whereby NMB will provide the financing while TADB will provide a 50 per cent loan guarantee. Second left is NMB's Acting Managing Director, Filbert Mponzi and first right is TADB Managing Director, Japhet Justine. First left is NMB Head of Agribusiness, Isaac Masusu.
Dar es Salaam – September 19, 2019: To ensure that the 2019/2020 season results in a good year for farmers in the cashew regions of Lindi, Mtwara, Ruvuma and Coast, NMB Bank has entered into a partnership agreement with the Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) where NMB will provide the financing and TADB will provide a 50% loan guarantee.

Tanzania Agricultural Development Bank, as the Administrator of the Smallholder Credit Guarantee Scheme (SCGS), signed the SCGS Agreement with NMB Bank PLC on 01st August 2018 to start operationalization of the fund.
As of to date, through the TADB Small Credit Guarantee Scheme (SCGS), NMB has disbursed a total of TZS 14.3 Billion, financed to thirty-two (32) different AMCOS that have a total of 14,310 individual member farmers engaged in the sugar cane, the cashew and the coffee subsectors from Coastal, Morogoro, Songwe, Arusha, Kilimanjaro, Lindi and Mtwara Regions.

For the month of September 2019 (only), NMB has approved and financed TZS 9,355,385,000 to 2,997 smallholder cashew nut farmers from Mtwara, Lindi, Ruvuma and Coast Regions through TADB SCGS. These farmers are in need of financial assistance to procure farming inputs for the new season.

ACCESSBANK TENDER FOR PROVISION OF AUCTIONEER AND DEBT COLLECTOR SERVICES

ACCESSBANK INVITATION FOR TENDERS

BANKERS ADOPT NEW CODE OF CONDUCT

Finance and Planning Minister, Philip Mpango (3rd-L) inaugurates a revised version of the code of conduct guiding the operations of banks in Tanzania at the Tanzania Bankers Association's conference on Financial Inclusion, held in Dar es Salaam recently. He is flanked with amongst other dignitaries, Tanzania Bankers Association Chairman and CRDB Bank Plc CEO, Abdulmajid Nsekela, Industry and Trade Minister, Innocent Bashungwa and Bank of Tanzania Governor. Prof. Florens Luoga.

BANK OF TANZANIA FINES FIVE BANKS OVER MONEY LAUNDERING RELATED TRANSACTIONS


The Bank of Tanzania (BOT) flexed its muscles over the weekend, striking fines totalling TShs. 1.88 billion on five banks over suspicious transactions.

Read More >>  

DKT. MPANGO AZITAKA BENKI KUFIKISHA HUDUMA VIJIJINI

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA), uliofanyika hive karibuni kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es salaam. Katika hotuba yake, Dkt. Mpango alisema kuwa Tafiti zinaonyesha Kuwa upanuzi wa huduma shirikishi za fedha unaweza kuongeza pato ghafi la taifa kwa kati ya asilimia 10 mpaka 15 kwa mwaka. Kutokana na tafiti hizo, asilimia 28 ya watanzania bado hawajafikiwa kabisa na huduma za kifedha, pia katika asilimin 65 ya waliofikiwa na huduma hizo, ni asilimia 17 tu wanaozipata kupitia mabenki, hivyo kuyataka mabenki kufikisha huduma zake kwenye maeneo ya vijijini na kuwafikia watanzania wengi zaidi.
Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA), Abdulmajid Nsekela, akizungumza katika Mkutano wa Umoja huo, uliofanyika hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es salaam, ambapo alisema kuwa mabenki yataendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo kwa kuwawezesha watanzania wengi zaidi kupata huduma za kifedha.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kanuni za Mwenendo za Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) pamoja na Mwenyekiti wa Umoja huo ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) katika Mkutano wa Umoja wa Mabenki, uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es salaam. Kushoto ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga na kulia ni Waziri wa Viwanja na Biashara, Innocent Bashungwa.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa pili kushoto) akipokea zawadi maalumu kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati) na Makamu wake, Sanjay Rughani, baada ya uzinduzi rasmi wa Kanuni za Mwenendo za Umoja wa Mabenki Tanzania, uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Viwanja na Biashara, Innocent Bashungwa na kushoto ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga. 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA), Abdulmajid Nsekela, Makamu wake, Sanjay Rughani pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mabenki Tanzania, Tusekelege Mwaikasu-Joune, wakikabidhi zawadi ya ngoma maalum kwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga, baada ya uzinduzi rasmi wa Kanuni za Mwenendo za Umoja wa Mabenki Tanzania, uliofanyika hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es salaam.