Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 13 June 2019

BENKI YA KCB TANZANIA KUTOA RUZUKU YA TSHS 85 MILIONI KWA WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI

Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB, Christine Manyenye (katikati) akizungumza na waaandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa programu ya 2jiajiri ambapo jumla ya sh. milioni 85 zinatarajiwa kutolewa kwa wanawake 17 ili kukuza biashara zao. Aliyekaa kushoto kwake ni Mnufaika wa mafunzo hayo pia ni Mkurugenzi wa shule ya Sekondari ya East Coast ya Kibaha, Bhoke Mhini, kulia kwake ni Rojas Mdoe, Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji na Teknologia na mwishoni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa. Hafla hiyo imefanyika çivi karibuni Makao makuu ya Benki hiyo.
Mkuu Wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB, Christine Manyenye (katikati), akizungumza na waaandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa programu ya 2jiajiri ambapo jumla ya sh. milioni 85 zinatarajiwa kutolewa kwa wanawake 17 ili kukuza biashara zao, aliyekaa kushoto kwake ni Mnufaika wa mafunzo hayo pia ni Mkurugenzi wa shule ya Sekondari ya East Coast ya Kibaha, Bhoke Mhini, kulia kwake ni Rojas Mdoe, Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji na Teknologia.
Mnufaika wa Mafunzo hayo na Mkurugenzi wa shule ya Sekondari ya East Coast ya Kibaha, Bhoke Mhini, akizungumza wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB, Christine Manyenye pamoja na Maofisa kutoka Benki hiyo.

No comments:

Post a Comment