| Toka kushoto ni Meneja Uhusiano Airtel Tanzania, Jackson Mmbando, Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania, Isack Nchuda na Meneja Uhusiano wa itel, Erick Mkomoye wakizindua simu mpya ya smartphone A23 hivi karibuni. Simu hiyo inakuja na GB 36, bure kwa mwaka mzima kutoka Airtel. A23 ina ukumbwa wa kioo cha inchi 5 pamoja na kamera ya kisasa ya 5mp nyuma na mbele 2mp na inaweza kupiga picha kwa mazingira yeyote yale. |
No comments:
Post a Comment