| Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Ally Laay (kulia) pamoja na Mjumbe wa Bodi, Abdul Mohamed (kushoto) wakati wakifuatilia hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20 iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, jana Juni 13, 2019. |
No comments:
Post a Comment