Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 14 June 2019

MKURUGENZI MTENDAJI WA DCB ASHUHUDIA UWASILISHWAJI WA BAJETI YA SERIKALI BUNGENI DODOMA

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kulia), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), Bungeni Dodoma jana mara baada ya Waziri Fedha na Mipango, kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.
Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo (kulia), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), Bungeni Dodoma jana mara baada ya Waziri wa Fedha na Mipango kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (katikati) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kulia), Bungeni Dodoma jana mara baada ya Waziri Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa, Bungeni Dodoma jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Geodfey Ndalahwa (kushoto), pamoja na baadhi ya waalikwa wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa Bajeti ya Serikali Bungeni, Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment