| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi watatu kutoka kulia, Balozi wa Tanzania kutoka Qatar Fatma Rajab wapili kutoka kushoto. |
No comments:
Post a Comment